Air Chief Marshal Arup Raha, PVSM, AVSM, VM, ADC (Bengali: অরূপ রাহা) was the 24th Chief of the Air Staff of the Indian Air Force and served from 31 December 2013 to 31 December 2016. He was also the Chairman of the Chiefs of Staff Committee, a post occupied by India's senior-most military officer, who advises the government and ensures jointsmanship in the armed forces.
Ndugu zangu kamwene,
Katika ulimwengu wa madaraka, kuna wakati taasisi inabidi ijioshe ili ipate hewa ya kupumua. Nchi inapokwama kiuchumi kwa sababu ya doa la damu mfumo haulazimishi kila mtu kuwajibika maana kuna uwajibikaji hauna impact hivyo anatafutwa mtu mmoja mwenye uzito wa kubeba...
Wakuu naandika huu Uzi nikiwa mitungi kinoma noma. Kwa mara ya kwanza katika maisha yangu ya ULEVI na nimepiga nusu glass na kulewa chakariii..
Kuna bia zimetengenezwa na mkono wa jini wa jomba aminini nawaambia , alcohol ndogo ila Busta lake ni barahaaaa!!!
Madomo zege hawawezagi kutongoza wao hutumia kumwaga pesa na kuonesha mikogo ya kila aina.. Ufahari usio kipimo chap
Domo zege yuko tayari kunuka madeni ili aoneshe uwezo na ukwasi.. Bingwa wa kukopa mgumu kulipa
Ukitaka kuona hasira take muite domo zege kibamia
Kitandani hamna kitu pia.. Vile...
Nero Claudius Caesar aliingia madarakani mwaka 54 BK akiwa na umri mdogo sana, takribani miaka 16. Hakuingia kwa bahati mbaya. Mama yake, Agrippina the Younger, alikuwa mwanamke mwenye ushawishi mkubwa ndani ya siasa za Roma na ndiye aliyepanga kila hatua ili mwanawe apate kiti cha ufalme...
Tuwatengenezee shida ya maji kwa kusingizia mambo ya mvua .Tuzuie vyakula kutoka kwa wakulima kuingia mijini ili tuseme Kuna uhaba wa chakula watu waweke hifadhi za chakula..Tuwakatie umeme makusudi na tufanye mgao katika baadhi ya maeneo.
Halafu tukishafanikiwa kuhamisha ajenda za vijana...
Mambo yameanza kuchangamka!
Damu ya Polepole imeanza kuwalilia, sasa hivihivi mnajing'ata ndimi mnajikuta mnalitaja jina lake. Wakati ukifika mtatueleza tu mlimuweka wapi Polepole na mlifanya nini na mtajibia hiyo hukumu
Simulizi ya mkesha wa Christmas 1986
Vijana watatu waliokuwa wanatoka kwenye mkesha walikutana na binti aliyekuwa anakimbia huku akiomba msaada
Wakamsimamisha na kumhoji lakini mioyoni mwao wakiwa na nia ovu huku mioyoni mwao wakiwa tayari wameshawaka tamaa
Binti alikimbia m'bakaji mmoja...
Ndugu zangu tupewe nini tena? Hapa Tungekinya ukishaweka VPN unaona vyote duniani. Huna haja ya kukimbizana na wapiga mizinga ni mwendo wa bundle, sabuni na mkono wako tu
Sasa siyo tuvitako twenyewe tuwe kama skonzi. Yawe matako kweli kweli. Unaweza piga tumatako ukaumiza mkono au kenyewe kakaumia. Ndo maana sisi wengine tunapenda wenye mahips ya kufa mtu na makalio ya haja.
Usiumie, usilie wala usijipe unyonge kuona wengine wanapata mafanikio wakati wewe miaka nenda miaka rudi upo palepale.
Sikia nikwambie ndugu yangu, sio kila mwenye mafanikio ana raha na mafanikio yake. Kuna vilio vingi nyuma yao nje na haya ambayo tunayaona kwa macho.
Kuna watu wanacheka mbele...
Uharifu wake upowanzi kwa sas anachokifanya leo analetaa uhuni kama alivyo kuwa na lugha za kidikteta kwenye awamu ya 5, Taifa letu kwa sasa hatuko tayari na kwa uhuni anaoufanyaa ima achache imaa aendelee kuwaa chawa na watu alionao kwenye paaziaahaijapatakutokea.
Eti jamani me nina swali.ninachokijua kumchukiza mtu,kumuumiza,kumkandamiza,kumnyanyasa ndo ilipaswa iwe dhambi ila eti kumpa mtu
Penzi imekuaje ikawa termed kama dhambi?yaani kweli ufurahishe mtu iwe dhambi au tulipigwa na vitabu vya miongozo?
Kwa niaba ya walalahoi wenzangu jumla ya kaya 600 tunaomba serikali kubadikisha msimamo na kutuachia ardhi. serikali kupiti kilimo uyole inataka kutunyang'anya kipande cha ardhi cha heka 67 kwa ajili shamba la kilimo uyole. Ni ardhi yetu ya asili, tuliiendeleza kwa miaka mingi na kwa maelekezo...
Kitu nawapendea CCM likija swala la Kura na Kusaka vyeo hawachek na yeyote NI ama utoe pesa ya kueleweka (hii njia nayo haina uhakika 100%) au wakutose mazima. Wapi,
1. Ester Matiko
2. Nusrat Hanje
3.
4.
Muendelezo wa simulizi za maisha yangu ya ujanani na mapenzi.
Leo acha niwasimulie kuhusu kijana aliyevunja rekodi zangu za raha, akanivuruga kidogo nichanganyikiwe - pia nakujibu swali lako @ 26 Life
*******
Pita pita huku na kule nikakutana na huyo mkaka, nikamdate na ndiyo akawa...
Wengi hudhan anaekumbatiwa ni mwanamke tu wakati wa kulala ila ukweli ni kua hakuna shida mwanaume kukumbatiwa wakati wa kulala.
Unafeel confort and warm na pia inaongeza upendo na uaminifu, so msiogope kukumbatiwa wakati wa kulala na haiondoi uwanaume.
TOFAUTI KATI YA FURAHA NA RAHA. WATU WENGI HUTAFUTA RAHA WAKIDHANI NI FURAHA. MWISHOWE HUJIKUTA WATUPU.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Watu wengi huyachanganya maneno Furaha na Raha wakifikiri yanarejelea jambo Moja jambo ambalo sio sahihi.
Nitaeleza kifalsafa, kisaikolojia na kisemantiki...
Jamaa mmoja nimuite Marcus. Alinitangulia kuimaliza chuo kikuu nchini Uholanzi akarejea jijini dsm bahati mby hakuwa na makaz jijini kwa kuwa alikuwa akiish mkoa. Basi akaniomba makaz yangu akae akiwa anafukizia dili. Nikampa ruhusa ya kukaa isitoshe getho nililifunga mwenye nyumba akinichungia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.