Rafiki (Swahili for 'friend') is a 2018 Kenyan drama film directed by Wanuri Kahiu. Rafiki is the story of romance that grows between two young women, Kena and Ziki, amidst family and political pressures around LGBT rights in Kenya. The film had its international premiere in the Un Certain Regard section at the 2018 Cannes Film Festival; it was the first Kenyan film to be screened at the festival.
Kuna mchungaji mmoja nilimuuliza KWA nini unapenda kutembelea Nyumba za MATAJIRI na Sio masikini akasema hata Yesu aliifanya hivyo. Mwingine Nigeria anashambuliwa KWA kutoa kauli kama hiyo.
Ikabidi nizame kwenye NENO kumchunguza Yesu. Nikagundua....
Yesu alipokutana na Tajiri Zakayo...
Sifa zangu
1) Spiritual lakini siamini katika dini za watu weupe
2) Culture ya maisha yangu ni Vegan
3) Umri wangu ni 35
4) Ni mweupe, Mtanzania
5) Nimejiajiri
Sifa za ninayemtaka
1) Awe mweusi wa asili
2) Awe mrefu na sio mfupi
3) Akiwa na utamaduni wa Vegan au Vegetarian itapendeza
4)...
Sheria moja kubwa ya Kaz ni kutochanganya mapenzi kwenye kazi au kutoruhusu mahusiano ya kimapenzi kazini (Inamaana kubwa hasa kama unafikiri kwa kutumia kichwa cha juu)
Je, vipi kuhusu kumuajiri rafiki yako kwenye kampuni au ofisi yako?
Ngosha kasalitiwa na Mke wake, kulingana na tukio linavyoonekana ni kwamba hata Mtoto si wake..
Analalama kwa uchungu sana..
KATAA Ndoa wanachukua points 3 za wazi.
Inaonekana Binti pia hana aibu kabisa.. (Jeuri).
Mbaya zaidi hasira za mtu aliyesalitiwa (Ngosha) anazihamishia kwa Mke msaliti...
Rafiki yangu ametengana na Mkewe wa ndoa kanisani.Mke anataka kumpeleka Dawati la Jinsia kuhusiana na Matunzo ya mtoto suala la shule...Ni hatua gani anapaswa kuzichukua ikiwa akiitwa huko?
SEHEMU YA KWANZA: URAFIKI WA DHATI.
Ni kwenye ile wilaya niliyoiongelea kwenye ile stori yangu ya jinsi nilivyokutana na singo maza wa kiarabu.
Ni miaka mingi imepita, wakati huo nilikuwa kidato cha kwanza.
Marehemu mama yangu alikuwa na rafiki yake, mama mmoja ambae alikuwa mpambanaji sana...
Wengine mmeanza iddi Leo wengine mnasema iddi Kesho, ili tukija kutaka Kula Biriani Leo mseme iddi ni Kesho, na tukija Kesho msema ilikua Jana, acheni uchoyo aisee ndugu zangu katika Imani Sisi NI ndugu.
Halafu kumbe kuna mwezi wa kimataifa na mwezi wa kitaifa nilikua sijui.
Ni rafiki yangu wa faida kwa miaka mingi, tumevuka milima na mabonde, alipopata mchumba akaniambia tukafuata mahali tukafanya send-off akaolewa huko, na mimi nilipooa alishiriki kwa hatua zote. Akigombana na mme wake nawatuliza.
Nikiwa na shida na hela ananisaidia hata nisipolipa haina shida...
Msomi anapata Fursa ya kwenda kuwa muuguzi Dubai au uingereza lakini kwenye suala la kupata passport na nyaraka nyinginezo inakuwa ni kipengele, ukiritimba na udwanzi umejaa sana kwenye ofisini za uhamiaji, kuliko kumshusha hadhi msomi mwenye shahada serikali ingeweka mazingira rafiki watu...
Watu wengi wamekuwa na marafiki wanaowaeleza Siri mbalimbali.
Siri hizo huweza kuwa za kimahusiano, kikazi na Mambo kama hayo.
Je uliwahi mueleza mtu Siri yako na ukaikuta kwa mtu mwingine kama ilivyo.
Ulichukua hatua gani?
hivi kwenye haya maisha yetu ya kila siku tumewai kujiuliza baadhi ya njia za maisha ya akhera,
basi nimepitia nukuu moja inasema "uwe hodari na jasiri usiogope,usife moyo,kwa maana mwenyezi wako atakuwa pamoja nawe kila uendako"
Kutokana na changamoto ambazo zimekuwa zinawakumba Watu wenye ulemavu pamoja na wale wenye mahitaji maalumu pindi wanapotumia usafiri wa umma, Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka Dar (DART) ilijipambanua kwa kuzingatia kipaumbele cha huduma rafiki kwa makundi hayo suala ambalo lilipigiwa chapuo...
Hayu jamaa suala la Kula, kwake ni sawa Sawa na kuvuta oxygen ndiyo maana kipindi cha mfungo hubadili jina.
Najua mnaokwepa kufunga mko wengi humu ndani,
hebu mniambie mbinu nitakayoitumia kukwepa kufunga.
Ni hayo
Wakuu niko na obsession ya kusafiri kama wale youtuber shida sijapata company .
Au mtu mwenye hoby kama yangu.
So naishia kugairi kila mara
Imagine sijafika hata BURUNDI tu.
Kusafiri mwenyewe naona ni Risk sana hasa nchi za ugenini.
Tuanze na nchi za Africa kwanza
Mawazo tafadhari
Ndugu zangu, jihadharini sana na marafiki wa karibu hasa kwenye maswala yanayohusu hela. Nimekutwa na utapeli wa aina ambayo yeyote mwenye rafiki anayemwamini hawezi kutoboa kwenye utapeli huo.
Huyu rafiki nilimkuta mwaka 2021 huko Iringa kwenye mazingira ya kilimo cha nyanya. Alikuwa muungwana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.