Rafiki (Swahili for 'friend') is a 2018 Kenyan drama film directed by Wanuri Kahiu. Rafiki is the story of romance that grows between two young women, Kena and Ziki, amidst family and political pressures around LGBT rights in Kenya. The film had its international premiere in the Un Certain Regard section at the 2018 Cannes Film Festival; it was the first Kenyan film to be screened at the festival.
Kwanza niseme natanguliza heshima zote kwako best yangu Marry Diana.
Pengine utafurahishwa ama kuchukizwa na bandiko hili, siwezi kuzuia hisia zako lakini ninaweza kuzipooza kwa kusema neno Samahani.
Marry nimeona kitu cha ziada ndani yako, bila shaka tutafiti tukiwa pamoja tukipambana na hili...
Habarini za wakati huu wanajukwaa.
Marakadhaa PSSSF wamekua wakilalamikiwa kama huduma zao ni mbovu
Ukipiga simu kwa mhudumu A atakupa majibu tofauti na mhudumu B.
Mfano mhudumu A atakuambia taarifa zako zinafanyiwa kazi piga wiki ijayo na wiki ijayo ukipiga simu anatokea mpuuzi mmoja sijui...
Kama unamiliki taasisi ya afya, maabara, kiwanda, chuo kikuu, au unahusika na huduma za matibabu ya maji(water treatment)— Alphacia Limited ni chaguo sahihi kwako
Tunahusika na usambazaji wa:
🧪 Reagents za Maabara (Lab Reagents)
🔬 Vifaa vya Maabara (Lab Equipment & Instruments)
⚗️ Kemikali za...
Umri miaka 28,
mwanamke,
dini mkristo.
Natafuta rafiki wa kiume umri kuanzia miaka 30-37.
Dini yoyote.
Mweusi/maji ya kunde.
Awe muajiriwa.
karibu pm ukiwa na picha Yako.
Asante.
Naitwa John
Umri wangu 28 Kabila msukuma
Natafuta RAFIKI wakike Ambae Tunaweza kushare mambo Mbali Mbali awe na Umri kuanzia 23/35 Ambae yupo Tayari Aje PM
Kama Hawa ndio washikaji zako , Kama ndio Hawa ndo marafiki zako ,
Ikitokea umekwama una shida unahitaji either buku tano au kumi either ni urgently au sio urgently sasa katika marafiki zako wa karibu ukakosa wa kukupiga tafu ..
Aisee jitafakari sana uhusiano wako na marafiki wanaokuzunguka
Karibu Sana ofisini kwetu ujipatie Mabati bora na ya kisasa kutoka Sunbank.
Tupo na aina zifuatazo za Mabati
1. Gloss ( Mtelezo )
2. Rich tile
3.Ridge /Valley
4. Matte (Chenga chenga )
Karibuni sana bei zetu ni rafiki Sana
Mawasiliano +255 786 017 371 Normal call and WhatsApp
Location...
Hii dunia ina watu wa ajabu Sana. Huyu rafiki yangu ana asili ya Mbulu na anaishi Bunju ambako ana mke na watoto wawili.
Last week alinipigia simu mida ya saa kumi na mbili jioni kuwa anataka tuone na yeye amefika jirani na nyumbani kwangu Ununio.
Nikamweleza kuwa nipo home. Nyumba yangu...
Ananisimulia Bukembe Mtobo, rafiki wa Muha.
Baada ya mambo kuniendea kombo mjini Arusha au Chuga kama waitavyo wengine. niliamua kukimbilia jijini Dar ili kuunusuru mtaji mdogo uliosalia.
Mwaka mmoja baadae nikiwa jiji Dar mambo bado hayakwenda kama nilivyotarajia. Nilifilisika kabisa.
Ndipo...
Gazeti la mwanahalisi liliwahi kupatwa na misukosuko ya kufungiwa kama lilivyo kanisa la Rev Gwajima.
Kama mtakumbuka, Waandishi walewale wa mwanahalisi ambao walikuwa victims wa kufungiwa kwa gazeti la mwanahalisi walihamia gazeti la Mawio wakiwa na maudhui yaleyale.....na kibano kiliendelea...
Nimeona picha na video za mwanamke mmarekani mmoja aliyebadili jinsia.
Kwa nchi za ulaya hii ni kawaida wao si kitu tena cha mjadala.Nadhani ni stage ya advancement waliyofikia ndio inawafanya wafikiri hivo
Sipati picha hapo baadae miaka 100 ijayo wanawake wote hawataki kua wanawake tena...
Miaka ya nyuma akili yangu iliwaza kwamba tajiri ni mtu mwenye fedha za kutosha na sikuwahi kuwaza kwamba tajiri mbali na kuwa fedha ila anaongozwa na umiliki wa asset za kutosha.
Tajiri anayemiliki ardhi ya kutosha na ndani yake akaweka mazao ya muda mrefu Hadi kuvuna ni tajiri mwenye maono...
Katika maisha ya binadamu ,tunao marafiki wa wili ambao bila wao hatuwezi kuishi duniani.
Rafiki wa kwanza kabisa ni Mungu,muumba wa mbingu na dunia.Alianza kuumba maji ,ardhi ikafuata miti ambayo inatupatia hewa ya oxygen,.Bila hewa ya oxygene huwezi ukaishi hata sekunde moja.
Ndiyo maana...
Kaka tumekuwa wote kijijini
Wote tumefeli darasa la Saba
Leo hii kaka una v8 3 nyumba Zaidi ya 11 mashamba ndio usiseme maduka ndio kabisa
Naomba siri ya mafanikio.
Akasema mdogo wangu kuku maji unaweza kusex na nyoka???
Mpaka hapo nikaondoka sikuwa na majibu tena
Uchunguzi wa IDF: Sajenti Yosef Yehuda Chirak aliuawa kwa risasi rafiki(Friendly-Fire)
Uchunguzi wa awali uligundua kuwa wakati SGT Chirak alipokuwa akifanya kazi ya kukagua shimo la handaki kaskazini mwa Gaza, kikosi kilichokuwa kikilinda eneo hilo kilimpiga risasi bila kujua kuwa huyo ni...
Naombeni ushauri au neno lolote.
Hapa ninapoishi (Ubungo) nimepata mgeni wa kike.
Dada huyu alikuwa ni rafiki yangu wa huko nyuma kabla sijaachana na ile kazi ya haramu niliyokuwa naifanya kule Mori na Dodoma.
Sasa huyu mgeni kwanza nimeshangaa kapajuaje hapa ninapoishi na licha ya hivo pia...
Wakuu
Kwa masikitiko makubwa sana naleta huu uzi hapa jamvini.
Nimemtembelea rafiki yangu ambae aliniambia yuko likizo nyumbani kwao,sasa nimefika nikapiga hodi hakuna aliyeitikia,nikaamua kukaa nje tu pale nisubiri wahusika waje,huyu jamaa kwao wanatumia bafu la nje,nikaona mlango wa bafu...
Ule uchuro wa rais Donald Trump wa Marekani wa kuvaa mavazi ya papa wakati wakristo wakiomboleza unaonesha aliufanya kwa malengo maalum kwani unaonekana kujidhihirisha katika ukweli.
Kwa mara nyengine mafunzo ya kanisa katoliki yanaelekea kuvurugwa na mafunzo ya kiyahudi na huenda ikawa ndio...
Nimeangalia kwa umakini haya marekebisho ya ratiba naona siyo rafiki kabisa kwa Simba. Sijajua ushirikishwaji wa wadau wa hizi timu upoje kabla ratiba haijatolewa au kufanyiwa marekebisho ila naona kuna mapungufu makubwa.
Tukianzia, nimeshangaa kuona game ya KMC vs Simba ya tarehe 11/05 bado...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.