Najuta kufanya mapenzi na rafiki yangu wa kike

Maswa Yetu

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2023
Posts
1,398
Reaction score
2,619
Ni rafiki yangu wa faida kwa miaka mingi, tumevuka milima na mabonde, alipopata mchumba akaniambia tukafuata mahali tukafanya send-off akaolewa huko, na mimi nilipooa alishiriki kwa hatua zote. Akigombana na mme wake nawatuliza.

Nikiwa na shida na hela ananisaidia hata nisipolipa haina shida.

Juzi kati aligombana na mme wake akatimkia kwao baadae nikamuunganisha dili fulani akawa anafanya. Shida ilianzia nilipoenda home na mimi tukakutana tukanywa bia sana nashangaa asubuhi tumeamka chumba kimoja alafu tumekulana sana!

Rafiki yangu alipotoka hapo kesho yake akafuatwa na mme wake na kesi yao ikawa imeisha.

Hiki kitendo cha kumtafuna kinaleta shida maana hawi serious kwenye issues za maana kama zamani. Sasa itabidi nitafute rafiki mwingine wa kike ambaye sitamla kamwe ili kuheshimiana kuendelee kuwepo.
 
Ni rafiki yangu wa faida kwa miaka mingi ,tumevuka milima na mabonde, alipopata mchumba akaniambia tukafuata mahali tukafanya send-off akaolewa huko, na mimi nilipooa alishiriki kwa hatua zote. Akigombana na mme wake nawatuliza.

Hiki kitendo cha kumtafuna kinaleta shida maana hawi serious kwenye issues za maana kama zamani.
Sasa itabidi nitafute rafiki mwingine wa kike ambaye sitamla kamwe ili kuheshimiana kuendelee kuwepo.
Unashangaa mko kitandani? Draw the line, mwambie yaliyotokea ni minor issue, asiendekeze tena
 
Ni rafiki yangu wa faida kwa miaka mingi ,tumevuka milima na mabonde, alipopata mchumba akaniambia tukafuata mahali tukafanya send-off akaolewa huko, na mimi nilipooa alishiriki kwa hatua zote. Akigombana na mme wake nawatuliza.

Nikiwa na shida na hela ananisaidia hata nisipolipa haina shida.

Juzi kati aligombana na mme wake akatimkia kwao baadae nikamuunganisha dili fulani akawa anafanya. Shida ilianzia nilipoenda home na mimi tukakutana tukanywa bia sana nashangaa asubuhi tumeamka chumba kimoja alafu tumekulana sana!

Rafiki yangu alipotoka hapo kesho yake akafuatwa na mme wake na kesi yao ikawa imeisha.
Hiki kitendo cha kumtafuna kinaleta shida maana hawi serious kwenye issues za maana kama zamani.
Sasa itabidi nitafute rafiki mwingine wa kike ambaye sitamla kamwe ili kuheshimiana kuendelee kuwepo.
Y wakike?uNataka friends with benefit
 
miaka ya nyuma kidogo kulikuwa na wimbo mmoja wa taarabu wenye maneno haya:

-umeyataka mwenyewe utanitambua,
-uliyeanza ni wewe vya watu kuvichukua,
-kila mla cha mwenzie na chake pia huliwa.

note: hapo kuna mawili aidha mkeo naye aliwe au uliwe mwenyewe (muhimu kutembea na mafuta na vilainishi)
 
Ni rafiki yangu wa faida kwa miaka mingi, tumevuka milima na mabonde, alipopata mchumba akaniambia tukafuata mahali tukafanya send-off akaolewa huko, na mimi nilipooa alishiriki kwa hatua zote. Akigombana na mme wake nawatuliza.

Nikiwa na shida na hela ananisaidia hata nisipolipa haina shida.

Juzi kati aligombana na mme wake akatimkia kwao baadae nikamuunganisha dili fulani akawa anafanya. Shida ilianzia nilipoenda home na mimi tukakutana tukanywa bia sana nashangaa asubuhi tumeamka chumba kimoja alafu tumekulana sana!

Rafiki yangu alipotoka hapo kesho yake akafuatwa na mme wake na kesi yao ikawa imeisha.

Hiki kitendo cha kumtafuna kinaleta shida maana hawi serious kwenye issues za maana kama zamani. Sasa itabidi nitafute rafiki mwingine wa kike ambaye sitamla kamwe ili kuheshimiana kuendelee kuwepo.
Na hili mkaliangalie
 
Muwa hauwezi kuwa fimbo ya kutembelea. Ilikua suala la muda tu. Na kwa taarifa yako ulilewa wewe mwenzio hakulewa🤣🤣🤣🤣

Wewe malaya unasingizia pombe na kwanini utafute tena rafiki wa kike kwani mnasaply viharage.
 
Back
Top Bottom