rafiki yangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rafiki yangu wa Kike simuelewi jamani!

    Naombeni ushauri au neno lolote. Hapa ninapoishi (Ubungo) nimepata mgeni wa kike. Dada huyu alikuwa ni rafiki yangu wa huko nyuma kabla sijaachana na ile kazi ya haramu niliyokuwa naifanya kule Mori na Dodoma. Sasa huyu mgeni kwanza nimeshangaa kapajuaje hapa ninapoishi na licha ya hivo pia...
  2. K

    Nimeona uchi wa mama wa rafiki yangu.

    Wakuu Kwa masikitiko makubwa sana naleta huu uzi hapa jamvini. Nimemtembelea rafiki yangu ambae aliniambia yuko likizo nyumbani kwao,sasa nimefika nikapiga hodi hakuna aliyeitikia,nikaamua kukaa nje tu pale nisubiri wahusika waje,huyu jamaa kwao wanatumia bafu la nje,nikaona mlango wa bafu...
  3. R

    Kuna rafiki yangu ana changamoto ya kazi msaaidieni ana hali mbaya kiuchumi

    Habari kuna rafiki yangu ana changamoto ya kazi ameishia form4 hajafanikiwa kuendelea na wazazi wake wamefariki mda kidogo. Amekuja Dar amefikia kwa rafiki yangu mwingine wa kike kwa maana mimi ni mwanaume nilimdirect kwa rafiki yangu wa kike. Tatizo linaanzia huyo rafiki yangu wa kike...
  4. Rafiki yangu anaomba Msaada wa kisheria

    Rafiki yangu ametengana na Mkewe wa ndoa kanisani.Mke anataka kumpeleka Dawati la Jinsia kuhusiana na Matunzo ya mtoto suala la shule...Ni hatua gani anapaswa kuzichukua ikiwa akiitwa huko?
  5. Rafiki yangu ChartGPT

    Huyu jamaa yuko poa sana, unaweza jifunza mambo mengi sana, badala ya kuchati na wanafiki muda mwingi nachati nae, wewe unamtumiaje?
  6. M

    Najuta kufanya mapenzi na rafiki yangu wa kike

    Ni rafiki yangu wa faida kwa miaka mingi, tumevuka milima na mabonde, alipopata mchumba akaniambia tukafuata mahali tukafanya send-off akaolewa huko, na mimi nilipooa alishiriki kwa hatua zote. Akigombana na mme wake nawatuliza. Nikiwa na shida na hela ananisaidia hata nisipolipa haina shida...
  7. U

    rafiki yangu msabato akiri yapo mafundisho kinyume na Biblia yaliyoingizwa kanisani mwao analaumu kanisa katoliki lengo lao kuwavuruga kiimani

    Wadau hamjamboni nyote? Nilikuwa naongea na Msabato mmoja rafiki yangu kuhusu Kanisa kuruhusu baadhi ya mafundisho au Imani zinazoenda kinyume na Biblia Katika mazungumzo yetu nilimtajia mambo mawili tu ambayo yameruhusiwa Kanisani karibuni kuwa ni kuruhusu wachungaji wanawake , idara ya...
  8. S

    Siwezi kuthubutu kumshauri rafiki yangu aache ulevi au umalaya kama urafiki wangu na yeye unafaida namwacha alewe tu

    Sijui kama nakosea lakini mimi huo muda wa kumshauri mtu aache ulevi au umalaya huwa sina kabisa hususani kama mtu huyo katika ulevi wake ndo unaodumisha urafiki wetu. Tangu nikiwa mdogo hii tabia nilikuwa nayo! Wakati nasoma shule ya msingi kipindi hiko tulikuwa tunakaa kwenye mawe na...
  9. K

    Rafiki yangu babake ni shekhe wa mkoa ameajiriwa taasisi kubwa serikalini bila interview

    Wakuu, Rafiki yangu, ambaye baba yake ni Shekhe wa mkoa, ameajiriwa katika taasisi kubwa ya serikali bila kufanyiwa usaili.
  10. Msaada kwa rafiki anayeuguza moyo uliovunjwa

    Ivi kwanini wanaume hamna chembe ya huruma? Kuna mdada hapa hajui afanye Nini muda huu maana kaachwa na boyfriend wake.. Ni miezi kadhaa imepita ila naona Ile hali Bado inamsumbua...mwili wake umepungua mno na chuo kaacha kuja kabisa Ushauri nimempa ila naona bado haumsaidii..nimeleta huku...
  11. M

    Namtafuta rafiki yangu Mbazi Mkiramweni

    Kama huyu rafiki yangu yuko humu tafadhari nimtumie namba yako PM Nakutafta sana
  12. Mmeniponza! Nimecharuana na rafiki yangu!

    Weekend iliyoisha mida ya saa tatu usiku napigiwa simu "oya njoo umchukue rafiki yako huku yupo chakali!" nikang'oka fasta mi nilikuwa sijashitua siku hiyo, kufika namkuta jamaa yupo nzwii haswa nikabeba weka kwenye bajaji huyo tukaanza safari ya kumpeleka ghetto kwake!. tukiwa njiani jamaa...
  13. Rafiki yangu anaomba ushauri

    Anasema Kuna ka demu alikatongoza kakakubali Sasa kakaa nako mwezi kaja kugundua kana bwana wake wa boda boda Na hakakumuambia akikauliza kana leta Kona Kona wewe apo unaona Nini mdau mm nimeshindwa kumshauri
  14. Rafiki yangu Hezekiah Wenje Bunge la 11 yaani 2015-2020 Lissu ubunge wake ulifutwa na alikuwa hospitali angechangiaje?

    == Leo Ezekiah Wenje mjumbe wa Kamati Kuu CC anakuja kutuambia eti Mh LISSU hajachangia chochote kile akiwa mbunge kwenye bunge la 11. Tujiuluze, bunge la kumi na Moja (11) lilikuwa mwaka 2015-2020 Lissu alikuwa Bungeni? Nani asiyejua kipindi Mh LISSU alipigwa risasi na baadae Ubunge wake...
  15. Rafiki yangu anatafuta Mwanamke mwenye sifa zifuatazo

    Rafiki yangu anatafuta Mwanamke mwenye sifa zifuatazo. Umri 18-34 Elimu, yoyote ilimradi awe anajua kusoma na kuandika lugha ya kiswahili vizuri , maana huyu jamaa ana Biashara fulani kubwa na moja ya majukumu ya huyo mke atakuwa anasimamia baadhi ya Biashara zake na kutuma taarifa. Dini -...
  16. Jamaa yangu Kwa wazazi wake ni pachafu Sana. Mama yake anaishi Kama mnyama

    Kuna watu ni kama wamelaaniwa ikiwemo huyu rafiki yangu Tafsiri ya maendeleo Kwa MTU mweusi itakuwa Ina maana tofauti. Juzi nilimsindikiza jamaa yangu Kwa wazazi wake aisee ni pachafu Sana. mama yake anaishi Kama mnyama. Nyumba hovyo, choo cha makuti hamna maji, mama yake around 70 yrs...
  17. Pole sana ewe rafiki yangu mwema

    POLE SANA EWE RAFIKI YANGU MWEMA Yawezekana ulilala mwili tu ila akili na nafsi yako zilikesha zikiweweseka juu ya hilo jambo unalokabiliana nalo. Moyo na nafsi zimeinama Yawezekana ulilala ukiwa na maswali mazito yaliyokosa majibu, umeamka ukiwa na maswali yaleyale yasiyokuwa na majibu juu ya...
  18. Ushauri: Rafiki yangu ni msaliti na mnafiki nimfanyeje?

    Nisiwachoshe sana, tabia za huyu rafiki yangu ni hizi. *Ananizungumzia vibaya kwa masela nikiwa mbali, inafika point anawaambia wajaribu kuanzisha ugomvi na mimi halafu yeye atawalipa pesa. *Anamponda na kumkosoa kila mwanamke nitakae kuwa nae katika mahusiano ila nikiachana na huyo mwanamke...
  19. Rafiki yangu kaninunia kisa jina lake limekatwa kwenye kura za maoni

    Salamu sio Sasa labda badae. Ndugu nasikitika Sana na Sasa nahitaji ushauri maana nipo katika mtanziko wa huzuni na kutia huruma baada ya kunununiwa na rafiki yangu wa hapa kijijini. Ifahamike kuwa ili wananchi wakuchague kuwa mwenyekiti hasa huku vijijini basi uwe na vihela hela vya hapa na...
  20. Hii dunia hii, rafiki yangu kanyang'anywa gari na mshangazi wake

    Jamaa alikuwa anatamba sana na IST mpya kabisa, apartment kali. Sasa jamaa kajichanganya alikuwa na mtu wake sahihi huyu mshangazi alikuwa anamvuna tu. Swali langu kwenu wakuu kwanini mishangazi inapenda vijana wa makamo?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…