radi

Radi (or Radhi) is a town in Trashigang District in eastern Bhutan.Radi is a town located in the northern part of Trashigang. It is popularly known as the rice basket of the east. Following the royal decree, Bhutan became a democracy in 2008. Jigme Tshultrim is the first Member of Parliament from the Radi-Sakteng constituency which comprises four gewogs (blocks) named Radi, Phongmey, Merak and Sakteng. At the national assembly, Jigme Tsheltrim holds the post of the speaker.
Radi has a middle secondary school, a basic health unit, a gup (head of the local government), and an animal husbandry office. The area where the school is located is commonly known as fai singma, which means "a new house". This name was derived from when the school building was new in 1960s.
Today, the gewog is connected by roads to almost all its villages and also to the neighbouring gewogs. The gewog was electrified from the Rangjung mini hydro power plant in 1998.
Rice is the main staple of food in Radi, but maize and other vegetables are also grown. However, paddy cultivation is solely dependent on monsoon rain which usually begins in June.

View More On Wikipedia.org
  1. FRANCIS DA DON

    Kama kuna kaya hata moja hapa nchini iliyoondokana na umaskini kupitia TASAF, basi nipigwe radi!

    Literally nashindwa kuona how a sane person anaweza kuamini kwamba kumpa mtu shs. 2,000= , 3,000/= nk. kwa mwezi inaweza kumuondolea umasikini huyo mpokeaji wa hizo monthly handouts, nisaidieni, how mtu huyu anaondokana na umasikini? HOW? Lengo la TASAF ni nini hasa?
  2. Nyendo

    Radi yaua wanawake watatu

    Mmoja alikumbwa na mauti wakati akikinga maji ya mvua nje ya nyumba yake wakati wawili walikuwa wakitoka shambani. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Wilbroad Mutafungwa, alisema tukio la kwanza lilitokea jana saa 12 asubuhi katika Kijiji cha Kisaki kituoni wilayani Morogoro, ambapo mwanamke...
  3. Analogia Malenga

    Kijana anakunywa maji lita 100 kwa saa mbili, tangu apigwe na radi

    Mkazi wa kijiji cha Maguu wilayani Mbinga mkoani Ruvuma Erick Msuha ayesumbuliwa na matatizo mbalimbali ya kiafya yanayomsababishia kunywa lita mia moja za maji kwa saa mbili ili aendelee kuishi anaomba msaada aweze kutibiwa. Mgonjwa huyo anasema matatizo yake yamemuanza baada ya kupigwa...
  4. beth

    Radi yaua wanafunzi watatu na kujeruhi wengine 53

    Wanafunzi watatu wa shule ya msingi Mkulima wamefariki dunia baada ya radi kupiga kwenye chumba cha darasa walichokuwa wanatumia. Tukio hilo limetokea katika mji wa Nakuru nchini Kenya siku ya Ijumaa jioni wakati wa kipindi cha michezo Shuleni hapo. Mbali na vifo vya watatu hao umedaiwa kuwa...
Back
Top Bottom