radi

Radi (or Radhi) is a town in Trashigang District in eastern Bhutan.Radi is a town located in the northern part of Trashigang. It is popularly known as the rice basket of the east. Following the royal decree, Bhutan became a democracy in 2008. Jigme Tshultrim is the first Member of Parliament from the Radi-Sakteng constituency which comprises four gewogs (blocks) named Radi, Phongmey, Merak and Sakteng. At the national assembly, Jigme Tsheltrim holds the post of the speaker.
Radi has a middle secondary school, a basic health unit, a gup (head of the local government), and an animal husbandry office. The area where the school is located is commonly known as fai singma, which means "a new house". This name was derived from when the school building was new in 1960s.
Today, the gewog is connected by roads to almost all its villages and also to the neighbouring gewogs. The gewog was electrified from the Rangjung mini hydro power plant in 1998.
Rice is the main staple of food in Radi, but maize and other vegetables are also grown. However, paddy cultivation is solely dependent on monsoon rain which usually begins in June.

View More On Wikipedia.org
  1. tpaul

    Chanzo cha mvua za radi Dar es Salaam na Pwani

    Wahenga mtakubaliana na mimi 100% kwamba miaka ya nyuma mvua zilizokuwa zikinyesha Dar es salaam hazikuambatana na radi hata kidogo. Tulizoea kusikia matukio ya radi hasa huko Kigoma, Shinyanga, Tabora na mikoa mingine ambako matukio ya watu kuuliwa na radi yalikuwa yakiripotiwa mara kwa mara...
  2. Think2

    Radi ya leo saa nane usiku

    Aisee waja tumlejelee Mungu radi iliopiga leo saa nane usiku asee ilikuwa na nguvu sana hadi nikahisi labda siku ya kiama 😂 Wewe mdau hii radi ulikukuta unafanya nini??
  3. upupu255

    SI KWELI Kondoo anaweza kupambana na kuzuia radi

    Kuna huu uzi nimukutana nao umenikumbusha nilikua mdogo nilikua naambiwa sana stori za uwezo wa Kondoo kupambana na Radi, Hapa stephot kwenye uzi wake alisema "kuna kipindi nilipokuwa likizo nilitembelea mikoa ya Dodoma, Singida, Manyara na Arusha, nilichokigundua ni kuwa wafugaji karibu wote...
  4. figganigga

    Leo radi zinapiga sana, Mwanangu wa Miaka 3 nimefurahi aliponiuliza kama ni mabomu

    Nawashukuru sana Polisi kwa kupiga mabomu na Risasi. Sasa sijui mtatutisha na nini tena. Kama Mabomu mumepiga hadi mkachoka, yakawaishia mkaanza tumia risasi.. Maji ya kuwasha tumewashwa sana. Mwanangu sasa hata Mlio wa mabomu haogopi tena. Kabla alikuwa anasikia radi tu anaanza kulia...
  5. S

    Niko njiani naelekea Sumbawanga nikanunue radi ya kumtupia mgombea urais

    Unadhani ni mgombea yupi anastahili kutupiwa radi?? Mgombea atakayetajwa na wengi ndiye nitamtupia hiyo radi.
  6. KING MIDAS

    Huu sio uchawi jamani, ni hali ya kawaida kabisa radi kupiga kukiwa kukavu kabisa, hamna mvua wala mawingu.

    Radi inaweza kupiga hata kama hakuna mvua inayoonekana mahali ulipo, na hali hii huitwa "dry lightning" (radi kavu). Hii hutokea kwa sababu: 1. Radi hutokea mbali na mvua: Radi inaweza kusafiri hadi kilomita 10–15 kutoka kwenye mawingu yanayotoa mvua. Unaweza kuwa kwenye eneo kavu, lakini...
  7. tonicimmobility

    Wakuu huku watu wanauza radi!

    Wakuu huku watu wanauza radi
  8. JanguKamaJangu

    Askari wawili wafariki kwa kupigwa na radi Simanjiro

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Manyara Kamishna msaidizi Mwandamizi SACP Ahmed Makarani amethibitisha kufariki kwa Askari wawili wa Kikosi cha usalama barabarani, waliofariki kwa kupigwa na radi wakati wakiendelea na majukumu yao ya udhibiti wa usalama. Tukio hilo limetokea katika Mji Mdogo wa...
  9. ndege JOHN

    Mvua za radi zinapiga muda huu napata picha wanachokutana nacho wakazi wa Gaza

    Mvua za vuli zinazoendelea Lindi usiku huu Toka mchana sio ndogo radi zinarindima sijapata kuona. Ule mngurumo wake na sauti yake MPAka nyumba unahisi inashake ..sasa najaribu ku imagine wakazi wa Gaza ambao sio member wa hamas jinsi wanavyokumbana na mabomu ya Israel Eeh Mungu baba tusamehe...
  10. Roving Journalist

    Geita: Watoto watatu wa familia moja Bukombe wajeruhiwa na radi, mmoja afariki Dunia

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita linathibitisha kwamba Machi 23, 2025 majira ya saa 12 jioni katika Kitongoji cha Igwamanoni, Kijiji cha Kakoyoyo Wilayani Bukombe mtoto mmoja Ibrahim Masumbuko (09) mwanafunzi wa Darasa la Kwanza Shule ya Msingi Kakoyoyo alifariki baada ya kupigwa na radi...
  11. D

    Ombi la kuelimishwa; hivi radi Zina mchango gani katika mvua?

    Najiuliza itawezekana kweli iwe zipo tu kwa ajili ya kutuhangaisha sisi waogopa radi?!!! Kwamba inajisikia Raha tu kutuona tukikimbilia vunguni mwa vitanda Kila zinapopiga?!! Hapana, lazima zitakuwa na sababu na uhusiano mkubwa na mvua. Elimu yenu tafadhali 🙏🙏
  12. judy0

    Betri inaisha kama radi simu ikifisha 50% kushuka

    Habari ya mchana! Nimeshavurugwa na hii simu yangu. Jamani betri linaisha kama mwanga spidi yake! Yani nikiichaji 100%, nikianza kulitumia, pindi likifikisha 50% heeee spidi yake inaongezeka kama kadongo! Yan ukifumba na kufumbua unakuta lina zero na simu imezima. Jamani. Shida ni simu au...
  13. Ibn Unuq

    Mfahamu Ibn Unuq: Kiumbe Aliyewahi Kuikimbiza Radi na Maajabu Yake 33 ya Kushangaza!

    Huyu ndiyo Ibn Unuq aliyeshikilia maajabu yake kihistoria kwa miongo kadhaa mpaka akaingia kwenye viumbe wa kale wa ajabu. #1 Aliwahi kuikimbiza radi mpaka ikachoka na kuomba mapumziko. #3 Aliwahi kupiga chafya — upepo ukabadilika mwelekeo ghafla. #5 Siku moja aligombana na kivuli chake kwa...
  14. RoadLofa

    Nimenusurika kuuliwa na radi

    Aisee leo mvua imepiga balaa uku lushoto tena ya maradi, nilikuwa ghetto nimetulia naperuzi JamiiForums kwa kutumia internet ya router ya YAS. Huku radi zikiendelea kupiga sina ili wala lile mara nikasikia mlio mkubwa wa radi paap na mwanga mkubwa mwekundu hatari wa moto pembeni yangu mita kama...
  15. Muimba SINGELI

    Hizi radi leo kazini kwangu kuna kazi

    Hakuna kitu nakiogopa (nina hofu nacho) duniani kushinda radi. Radi zinapopiga huwa nakosa amani kabisa. Tena zikigonga zile kubwa zaidi wakati nipo homu huwa nafunga milango na madirisha naingia chumbani nachukuwa shuka zito najifunika. Kivumbi huwa pale zinapo piga wakati nipo kazini, kazi...
  16. B

    Ujenzi wa madarasa salama dhidi ya radi, kufuatia vifo Bukombe ni muhimu

    Geita, Tanzania https://m.youtube.com/watch?v=vUhvYl7Mfww Wanafunzi saba wa Shule ya Sekondari Businda, wilayani Bukombe wapoteza maisha huku 73 wakijeruhiwa nchini Tanzania Tukio hilo lilitokea jana Januari 27,2025 baada ya mvua kubwa iliyoambatana na radi kunyesha wilayani humo wakati...
  17. Mkalukungone Mwamba

    Mbeya: Radi yaua watu watano wa familia moja

    Watu watano wa Familia moja Wakazi wa Kitongoji cha Nkangi kilichopo Kijiji cha Isangawana, Kata ya Matwiga, Tarafa ya Kipembawe, Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya wamefariki dunia kwa kupigwa na radi usiku wa kuamkia leo December 29,2024 wakiwa wamelala. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Benjamin...
  18. Poppy Hatonn

    Wawili wafa kwa radi Mkoa wa Rukwa

    Jana,katika Mkoa wa Rukwa watu wawili wameuawa kwa kupigwa radi walipokuwa shambani baada ya mvua kunyesha kidogo mchana kweupe. Shuhuda mmoja wa hili tukio amesema,"Kama yupo mtu yoyote aliyefanya hiki kitendo,anapaswa kuona aibu. Angalia watu wote hawa wanavyolia!" Waliokufa ni mama na mtoto...
  19. Kinyungu

    Video: Radi yapiga Jengo la Mekkah Clock Tower

    Video ikionesha radi ikipiga jengo la Makkah Clock tower. Wakuu hii ina maana yoyote katika matukio ya siku za mwisho? adriz Maghayo Kosugi https://x.com/BRICSinfo/status/1828454013852905681?t=nDRuVs0Jjy6m0hj2bGc7HA&s=19
  20. uran

    Mamelodi vs Esperence, Mechi Imesimama Radi Kali Uwanjani

    Hii game imesimamishwa kwa sababu ya Radi. Dakika 21' Weather conditions cause a suspension of play. The referee brings play to a halt and signals for both teams to head to the changeroom with the increased lightning around the stadium. Game imeendelea baada ya Hali ya Hewa kukaa sawa Hadi...
Back
Top Bottom