Punyeto imenimaliza

Dcxkobe

Member
Mar 5, 2023
57
136
Habar ndugu zangu,

Nimepiga punyeto kwa muda mrefu Sana nilianza 2009 Kama utani ilipofka2013 ndio nikaaza kuona madhara makubwa mwili ukadhoofu sana halafu nikawa mzito kuelewa yaani nakuwa kama zoba fulani mwili masaa yote umechoka ni nikawa napenda kulala tu.

Mpaka sasa hivi hali ni mbaya nina miaka 29 lakini niko kama mzee wa miaka 70 yaani uwezo wa kujiamini kujichaganya na watu Sina nishakuwa mtu wa kushinda nyumbani tu kwa wazazi, natamani kuwa na mpenzi anisaidie kuacha lakini kwa bahati mbaya sio wa kukubali kuwa na Mimi

Inaniumiza sana madhara makubwa niliyopata
1. Nimewahi kuzeeka
2. Nishaharibu mishipa ya fahamu nimekuwa mtu wa kujitenga na jamiii yaani niko kama mtu mwenye ugonjwa wa usonji

Najua humu kuna watu tofauti tofauti kama kuna mtu ambae atakuwa tayari kunisaidia hata kwa kunikutanisha na watalamu mimi nipo tayari

Mateso nayopitia ni makubwa sana, hapa nilipo sina uwezo wa kuongea na mtu nikaelewa yaani mishipa ya fahamu haiko vizuri kama imeleta tatzo hadi kwenye usikivu wa masikio

Ni hayo tu.
 
Punyeto ndiyo ina madhara lakini naona kama vile una matatizo mengine ambayo yanakupasa uende hospitalini.

Tafuta wanasaikolojia wazuri ukapate ushauri nasaha na uchunguzi wa kitaalamu. Nahisi kama vile pengine una upungufu wa madini na vitamins mwilini.

Pole mkuu utakuwa OK

Urban_legends_regarding_masturbation.jpg
 
Hizi nyuz za madhara ya punyeto mbona zmekua too much Sana kipind hiki?

Kuna kampeni inaendelea au vipi?

Inamaana madhara ulosema uwa yanatokea kwa wanaume TU?

Mbona sijawai kuskia tuhuma Kama hizo wakitoa wanawake?

Kwamba punyeto wakifany wadada Ni salama, ila wanaume wanaathirika?

NAHITAJI MAJIBU YA KUELEWEKA HAPO
 
Tiar = tayari. Nahisi una tatizo zaidi. Kama una miaka 29 na bado unashinda nyumbani kwenu ni tatizo kubwa zaidi ya punyeto. Kwa uandishi wako inaonyesha shuleni ulienda kusomea ujinga kwahiyo tafuta kazi ambazo hata watu kama wewe unaweza pata ili uweze kuwa bize na kuacha huo upumbavu uliokutawala.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom