Suti hii imevaliwa siku moja tu na ipo katika hali nzuri kabisa, kama mpya!
Inajumuisha:
Makoti Mawili: Rangi nyeupe na nyeusi.
Suruali: Kiuno size 31/32.
Kizibao
Tai nyeusi
Bei: Laki Sita TZS (600,000 TZS). Maongezi yapo!
Suti inapatikana Ubungo Makuburi, Dar es Salaam.
Kwa maelezo zaidi...