punguza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Spika Tulia punguza kuitetea serikali, waache wabunge watetee wananchi

    Ndugu Spika Ninakuelewa vizuri, pengine huna uchungu sana na wananchi, kwa sababu mazingira yako ya kuingia bungeni tangu mwanzo, na baada ya uchaguzi 'feki' wa mwaka 2020 ni kwa mbeleko ya dola. Kwa hivyo labda unadhani una cha kuilipa fadhila serikali. Lakini nataka nikukumbushe tu kuwa...
  2. kavulata

    Haji Manara punguza kuitaja Simba kwenye kila press na maongezi yako

    Binafsi nadhani kila mtu keshajuwa kwanini uko Yanga Sasa. Hakuna sababu ya kuendelea kuitaja Simba katika kila fursa ya kwenda hewani. Ubongo wa Binadamu una tabia ya kuchoshwa (fed up) na kitu kinachojirudiarudia kila wakati, hata harufu ya chooni inapotea puani kama utakaa chooni kwa muda...
  3. M

    Ushauri kwa Rais Samia kuelekea Mei Mosi: Usipandishe mishahara kwa wafanyakazi, bali punguza Kodi/PAYE

    Huu ni ushauri kwa Rais wetu kipenzi Cha Watanzania, mama Samia Suluhu Hassan. Nafahamu kwamba pamoja na Mambo mengine serikali ya mama Samia ina nia njema ya kuboresha maslahi ya wafanyakazi hapa nchini wawe wa sekta binafsi ama wale wa serikalini. Ushauri wangu kwa mama kuelekea mei mosi...
  4. Suzy Elias

    Rais Samia punguza upendeleo kila kitu kiwe Zanzibar

    Jambo hilo alipigiwa kelele sana Hayati Magufuli ajabu Samia naye amekuwa na aina ileile ya ufujaji mali za umma kwa safari zisizo na maana yeyote za huko kwao Zanzibar. Ki hafla kidogo tu tunaendelea kushuhudia hudhurio lake huko! Tunakoelekea huenda Samia atatumia ndege yetu kubwa kwenda...
  5. G.Man

    Sera ya Elimu Bure ni mtaji wa kisiasa unaopunguza uwajibikaji kwa wananchi

    Mambo vipi, Moja kwa moja kwenye mada. Juzi nikiwa kwenye daladala nikasikia watu wakilaumu Serikali kwamba ''Heri Magufuli alivyo kuwepo, saivi watoto wametakiwa kulipa michango ya kama 22k shuleni'', sikuweza kuchangia neno lakin niliwaza sana, Seriously! mchango kama huo kwa mwaka kwaajili...
  6. Magari ya Biashara

    Punguza gharama za kutumia mafuta kwenye gari lako. Sasa unaweza kutembea kilomita 180 kwa gharama ya Tsh.15,000 tu

    Kwa wale wamiliki wa magari ikiwa umekuwa ukiwaza ni namna gani utapunguza gharama za matumizi ya mafuta kwenye gari lako BASI UJUMBE HUU UNAKUHUSU. Tumekuwa tukilalamikia juu ya gharama za mafuta katika kuhudumia magari yetu ila kwa sasa mkombozi amewasili. Gharama za maisha zinapanda kila...
  7. B

    Rais Samia punguza dharau kwa unaowangoza, hazitokusaidia chochote

    Katiba yetu ya JMT pamoja na kupitwa na wakati inawatambua Watanzana kwamba ndiyo wenye nchi. Kwamba mamlaka zote katika nchi wenye kuziweka ni Watanzania. Sasa uhalisia wa hili na ubora wa mchakato wa kuwaweka watu kwenye mamlaka ni topic nyingine tofauti. Hivyo, kwa msingi huu Rais wa JMT...
  8. M

    Serikali ipunguze Tozo kwa Mbadala huu hapa...

    Story of Change kwa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan. Naanza kwa nukuu ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Aliwahi kusema ili tuendelee tunahitaji mambo manne. Watu, Ardhi, Siasa Safi na Uongozi Bora. Katika haya nachagua Ardhi na Watu kukusanya fedha ya kutosha ikiwa ni mbadala wa Tozo...
  9. chrisbleez

    Nimepata mbinu mpya ya kupunguza gharama ya tozo za miamala

    Bila shaka Mungu ni mwema na ninawasalimu kwa jina la jamuhuri. Nimeona nishee nanyi wenzangu katika kuwahabarisha kuhusu huduma tajwa hapo juu[emoji115] Katika kusheherekea na kufurahia ushindi wa simba hapo jana niliona nipombeke kidogo[emoji38]ndipo nikajikuta mzigo kama unakata hivi...
  10. GENTAMYCINE

    Sijui 'Tozo Umiza Komoa' ikibadilika leo utasemaje. Waziri Ummy Mwalimu punguza 'Kiherehere' na jifunze Kutafakari 'Masuala' mazito

    Waziri wa TAMISEMI, Ummy Mwalimu amesema wizara hiyo itanufaika na tozo za miamala ya simu kwa kujenga vyumba vya madarasa 10,000 na kukarabati shule kongwe za msingi 2,100. Ameeleza kuwa hadi sasa kuna uhaba wa madarasa 100,005 kwenye shule za msingi na sekondari nchini. Chanzo: Swahili Times...
  11. Doctor Ngariba

    Kodi ya miamala ya simu ifutwe ama ipunguzwe; itaongeza umaskini na kupunguza ajira

    Habari JF members, Naomba turejee kauli ya Rais wetu Samia alipokuwa anazungumza na wahariri wa vyombo vya habari alipoulizwa kuhusu katiba mpya na siasa za majukwaa. Simple tu alijibu dhamira yake kubwa ni kuifungua nchi kiuchumi japo katiba ni muhimu pia. Lakini kwa hali ilivyo inaonekana...
  12. minded tips

    Punguza misaada, watu hawana kumbukumbu

    Habari za majukumu wana mizengo bila shaka muwazima wa afya naomba kwenda kwenye mada moja kwa moja PUNGUZA MISAADA WATU HAWANA KUMBUKUMBU [emoji117]Watu wanapost sana huo msemo hapo bila kujua wanakosea san ipo hivi unapomsaidia mtu tarajia malipo kutoka kwa Mungu na sio kwa binadamu yeyote...
  13. Shujaa Mwendazake

    DC Jokate punguza kuji-brand. Kwanini TMK Marathon na COVID hii?

    Mh Jokate ndo kwanza una wiki ya kwanza kwenye wilaya hii baada ya uteuzi. Nakushauri ungeanza kujikita na kufanya assesment ya matatizo mbalimbali kwenye wilaya yako na kuyatafutia tiba. Instead umeanza na ileile tabia yako ya kujibrand ili uonekane. Kumbuka hizi ni zama za Samia Suluhu Hassa...
  14. M

    Makongoro Nyerere jifunze kutoka kwa Chalamila, punguza Masihara

    Brother Mako Najua wewe ni mtu wa masihara na utani utani mwiiingi. Utani hoye! Najua wewe ndivyo ulivyo toka long time kitambo. Ila nataka nikueleze kitu, Kuwa makini sana na utani wako usifikie hatua ya kuharibu haiba na taswira ya taasisi ya Urais au rais mwenyewe!. Namaanisha ukimtaja...
  15. msovero

    Waziri Ummy punguza kujieleza, unajifunga sana katika maelezo yako

    Dada Ummy sina shaka na utendaji kazi wako lakini nakushauri upunguze kujieleza kwa sababu maelezo unayotoa yanakufunga. Mtangulizi wako pamoja na kuwa na maneno mengi lilipokuwa linakuja suala nyeti la kitaifa alikuwa makini sana kuchunga kauli zake ili kuepusha maswali na mijadala isiyo ya...
  16. Meneja Wa Makampuni

    Siasa ya Mafuta na Gesi: Kuibadili gesi asilia kuwa mafuta ya petroli inaweza punguza gharama tunazotumia kuagiza mafuta hayo kutoka mataifa ya nje

    Petroli ni moja ya mafuta ambayo huagizwa kutoka katika mataifa ya nje kwa ajili ya kutumiwa katika magari madogo na ya kati. Mafuta ya petroli ambayo yanaigizwa kutoka mataifa ya nje yanachukua karibia robo (1/4) ya bidhaa za mafuta ambayo huagizwa kutoka mataifa ya nje kama ilivyo ripotiwa na...
  17. JMipicha

    Punguza wivu kwenye mahusiano

    Habari wana JF nina imani mko powa powa sana. Nyungu muhimu sana . Twende kwenye mada mmoja kwa mmoja .. Wanaume kwa wanawake punguzeni wivu wa kijinga katika mahusiano maana Matokeo ya wivu huo ni mbaya Unakuta kila saa unampigia simu mkeo au girl friend wako kila saa una mtext kama...
Back
Top Bottom