posta

Czech Post (Czech: Česká pošta) is the state owned postal company of the Czech Republic. With its headquarters in Prague, the corporation has around 31,000 employees. Czech Post primarily serves the Czech Republic but also delivers to other countries.

View More On Wikipedia.org
  1. Naomba kujuzwa namna ya kutuma maombi ya kazi kwa njia ya Posta

    Habari, kama heading inavyosema haina haja ya kujaza seva za jamiiforums. procedures zikoje A to Z, gharama, bahasha ni yoyote tu, au wanataratibu zao.
  2. Watumiaji wa posta hii ina maana gani!

    Habari za Leo wanajamii forum. Nimetuma mzigo kwa njia ya posta siku kadhaa zilizo pita kwa EMS. Sasa niliyemtumia anadai hajaupata lakini nikiutrack napata notification hii kwenye picha hapo chini. Je mzigo umefika au Bado.
  3. DAWASA yarekebisha eneo la Posta kulipokuwa na changamoto ya majitaka kutiririka barabarani

    UTIRIRISHAJI MAJITAKA POSTA WADHIBITIWA Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imedhibiti utiririshaji wa majitaka kwa uondoaji wa majitaka na taka ngumu zilizokuwa zimepelekea chemba kuziba katika eneo la Posta. Mamlaka inasisitiza matumizi sahihi ya miundombinu ya...
  4. Chemba zilizokuwa zikitiririsha majitaka barabarani maeneo ya Posta (Dar) zimerekebishwa

    Juzi niliandika hapa JF taarifa kuhusu maji taka yaliyokuwa yakitiririka eneo la Posta barabara inayotokea Kanisa la KKKT kuelekea Karimjee ambayo yalikuwa yanatoka katika chemba zilizokuwa zimefumuka. Inadaiwa kuna maafisa wa Mamlaka ya Serikali wamefika na kutengeneza miundombinu iliyokuwa...
  5. KERO Responded Posta ya Dar kuna chemba zinatiririsha maji taka barabarani, Mamlaka hazijaona, mbona zipo kimya?

    Eneo la Posta barabara inayotokea kwenye Kanisa la KKKT kuelekea Karemjee kuna chemba zimepasuka zinatiririsha maji taka, hali ni mbaya hasa kwa watembea kwa miguu. Tunaomba mamlaka zitafute suluhu ya hii changamoto, njia nzima imejaa maji taka hali ambayo inaleta kero na hofu ya Watu kupata...
  6. Kama sina sanduku la posta, nifanyaje?

    Salamu, hivi kwenye kuomba kibarua sehemu then wananihitaji Mimi kuwaandikia barua, upande wa sender's address, SLP inakuwaje?
  7. N

    Bahati Nasibu ya Taifa yashirikiana na Shirika la Posta Tanzania

    Bahati Nasibu ya Taifa inayo furaha kutangaza ushirikiano wa kimkakati na Shirika la Posta Tanzania, wenye lengo la kuongeza upatikanaji wa michezo ya kubahatisha kote nchini. Kupitia ushirikiano huu, majukwaa ya Bahati Nasibu ya Taifa yatapatikana katika ofisi 207 za Posta, hatua...
  8. Nimekutana na secretary mzuri balaa Posta kidogo nichanganyikiwe wakuu

    Wakuu za usiku, Asee tembea uone leo niliwasili kwenye ofisi fulani posta kwa ajili ya shughuli zangu binafsi za kiofisi sasa kama mnavyojua utaratibu huwa ni lazima ukutane na secretary ndo uende sehemu zingine za ofisi Wakuu mimi ni mtu ambae huwa sishtushwi na wanawake wazuri hovyo hovyo...
  9. Shirika la Posta ladaiwa TSh. Bilioni 54.7, lashindwa kujiendeleza na kukopesheka

    Mbunge wa Jimbo la Mbagala, Abdallah Chaurembo amesema Shirika la Posta kwasasa linadaiwa TSh. Bilioni 54.7 hivyo kushindwa kujiendeleza na pia shirika limeshindwa kukopesheka, tuimbe sana serikali kama ripoti yetu ilivyoeleza tunaomba serikali ilichukue deni hili ili shirika hili la posta sasa...
  10. Usije Dar Es Salaam niagize hasa hasa soko Posta na Kariakoo, kwa uaminifu mkubwa sana

    Natanguliza shukran zangu kwenu Kama una kitu unataka kununua kutoka dar na kukisafitisha bas niagize usiogope , tutafanya kazi hiyo kwa uaminifu mkubwa sana Kikubwa tu tupendane Nashughulikia kila aina ya jambo na kila aina ya bidhaa, hasa hasa soko la posta na kariakoo Pia na kwa wale...
  11. Jana nimekwenda Posta Kuu jijini London kupeleka sanamu ya Kanisani, nimefukuzwa kwa ajili ya tabia yangu mbaya

    Nimeambiwa unafokafoka hapa, unadhani we nani, ondoka hapa. Nimekwenda pale jana ikapimwa uziti Ile sanamu nikaambiwa nilipe Sh.100,000( laki moja). Sina laki moja, nikaanza kuondoka. Nikaambiwa nenda counter ya mbele, itakuwa cheaper but it will take two weeks to arrive in London. Ikapimwa...
  12. Askari wa pale Posta mjini achoka kusimama baada ya miaka mingi, aamua kukaa 2025

    Chanzo Global Tv Online 🤣🤣🤣🤣
  13. Posta posta city centre

    SONEL - POSTA. Chorus.. Posta posta city centre Posta posta city centre Posta posta Dar hii bwana kila mtu ukimuuliza anakwenda posta / Say.. Verse.1.. hi ndio posta Dar town city centre / vijana kwa wazee bila kazi wanapeta/ posta barabara kabeti mighorofo ilivyo jiseti/ utadhani ulaya...
  14. Utaratibu wa kodi baada ya kupokea mzigo Posta ukoje?

    Wakuu, wiki kadhaa zilizopita nilinunua kifaa kutoka nje ya nchi, nimetumiwa mzigo wangu kwa njia ya POSTA. jana nimetumiwa sms kuwa kifaa changu kimefika, nimenunua kifaa kwa bei ya shilingi, aaah dola 100. Sasa kabla sijaenda kuchukua kifaa changu nimefanya mawasiliano na mtoa huduma wa POSTA...
  15. Naomba kujua Machimbo ya sehemu za kuchill pale posta, Vyakula na Vinywaji ni vya bei nafuu

    Nina jambo langu hapo Posta mpya naomba mtu mwenye kuyajua machimbo anipe area code. Asanteni
  16. Katika Hali isiyo ya kawaida FFU waanza shamra shamra huku mjini posta wanazunguka zunguka kabla ya tarehe 23 yenyewe

    Aman iwe nanyi wana wa MUNGU Katika Hali isiyo ya kawaida kabisa huku mjini posta FFU wanatembea kama kumbi kumbi na magari yao Kilichonishangaza zaidi ni silaha walizobeba, silaha hizi nazionaga kabeba myahudi kwa ajili ya kuwaulia magaid wa hamasi nimeshangaa sana FFU wakiwa wanalinda...
  17. Job description ya Posta Masta inafananaje?

    Hiki cheo kimevuma hivi karibuni. Mwenye kujua huwa anajishughulisha na nini huyu POSTAMASTA MKUU atujuze.
  18. Shirika la Posta linatumia kigezo gani kutoza pesa?

    Nilipokea SMS kuwa nifike posta nikachukue mzigo wangu na pia kuna malipo ya 3000/-. Mzigo wenyewe hata gram 10 haufiki na hiyo 3000 inakaribia nusu ya gharama ya kununulia bidhaa, pamoja na usafiri mpaka kufika Tanzania. Mimi nilitegemea mzigo wangu utakuja kwa speedaf kwa sababu nilichagua...
  19. Utenguzi: Maharage Chande wa Posta, Ulanga wa TTCL na Justina Mashiba wa UCSAF watumbuliwa

    Safi sana fagio linaendelea kupita👇👇 --- Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, viongozi waliotenguliwa ni kama ifuatavyo:- i. B.i...
  20. Shirika la Posta, linaweza kuja kuwa shirika tajiri endapo litajigeuza na kuwa kama Alibaba

    Umefika wakati sasa, shughuli zote za uagizaji wa vifurushi na mizigo zikafanywa na shirika letu la Posta, pekee, pamoja na makampuni ambayo yatakuwa yamesajiliwa rasmi nchini Tanzania katika kusaidiana na shirika hilo kwa vibali maalumu, - Umuhimu wa suala hili ni kwamba serekali yetu tukufu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…