pombe

  1. Mtoto wa nzi

    JamiiForums Tanzania Naacha pombe rasmi

    Bila kushawishiwa na yeyote nimekaa nimeona imetosha Sasa. NAACHA RASMI POMBE ..Sigara niliacha zamani Sana.
  2. Brojust

    JamiiForums Tanzania Nakupa wazo wewe Mwekezaji, yule Bilionea wa Manyara ametumia fursa ya kutengeneza pombe, Sasa anamiliki hadi Helikopta

    Mimi binafsi shida yangu ni Mtaji tu. Nawasilisha opinion zangu kwako mwekezaji katika pombe kali, sasa hapa hutakiwi kushindana na smart gin maana yeye alitengeneza formula zake na akaliona soko sasahv smart gin ipo kwenye mzunguko mkubwa sana. Twende kwenye wazo, Kumbuka kama unataka...
  3. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Narudia kusema! hakuna adui mbaya kama pombe!

    Kwakweli hakuna adui mbaya wa binadamu ambaye hatumtambui kama POMBE! Pombe ni mbaya jamani! Ubaya wa pombe unakamata fikra! Pombe Ikishakamata fikra zako inakulazimisha uitetee na kuipigania huku ikiendelea kuharibu afya na uchumi wako! Pombe ni mbaya! Ebu fikiria kitu kinaharibu afya yako...
  4. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Jose Chameleone: Baba yangu afya yake si nzuri, lakini waandaaji hawa wanaendelea kumualika na kumtumia kama chombo cha kuzalisha pesa

    Abba Marcus Mayanja, mtoto wa msanii maarufu wa muziki nchini Uganda, Jose Chameleone, kupitia ukurasa wake wa TikTok ameongea kwa hisia kubwa na mashabiki wa baba yake kuhusu changamoto za kiafya anazopitia baba yake kutokana na matumizi ya kupitiliza ya pombe (Addiction). Katika ujumbe wake...
  5. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Arusha, Kilimanjaro. Kuna ongezeko kubwa la viwanda bubu vya pombe za makopo

    kila panapokucha panakucha na toleo jipya la pombe , Kuna ongezeko la kutisha la viwanda bubu majumbani vya utengenezaji wa kila aina ya pombe za makopo ambazo hazina viwango,jambo ambalo linahatarisha usalama wa wananchi hususani vijana. Wananchi wengi wamekuwa wakilalamika serikali...
  6. Tuagize

    JamiiForums Tanzania Nikinywa Pombe nasikia Raha

    Wandugu maisha ya pombe ni mazuri sana yani ukiwa na stress ukinywa tu kila kitu kinakaa poa sana yani unasahau kila kitu ***** binafsi nikilewa nasikia burudani sana ila zingatio usinywe kupita kiasi kunywa kidogo tu kama mimi 😁
  7. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Ukweli Usiosemwa Kuhusu Uraibu (addiction): ni zaidi ya Dawa za Kulevya na Pombe

    Muhtasari Uraibu si suala la dawa za kulevya au pombe pekee; ni suluhisho lililokosewa kwa matatizo ya kina yanayotokana na hali ya kutokuwa na amani na nafsi. Kuelewa uraibu kunahitaji kutazama mizizi ya kihisia inayosababisha hali hiyo na siyo kuangalia tu dalili zake za nje. Mambo Muhimu ya...
  8. kyagata

    JamiiForums Tanzania Hivi kunywa pombe ni dhambi?

    Wakuu, jana nimetoka kwenye mishe zangu nikapitia bar flani ya jirani kupooza koo kidogo. Wakapita walokole flani hivi tunafahamiana nikawapungia mkono,wakaniita pembeni,jambo Lao kubwa likawa wananiambia eti niache kunywa pombe kwani unywaji wa pombe ni dhambi kubwa sana. Nikawaitikia ila...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Furaha ya Kweli haiji kwa ku Boost na Pombe au ulevi. Furaha ya kweli haihitaji Gharama

    True happyness does not demand expensive stuff. Watu wengi duniani hawana furaha, hivyp basi inawalazimu kuforce Furaha ije hata kwa kiki ya piki piki. Watu wafuatao hawana fursha hata kama wanajifaragua na makeke mengi. 1. Mtu anayehitaji kunywa pombe sana na vilevi vikali 2. Watu...
  10. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Wafadhili wa nini? - Hayati Rais John Pombe Magufuli

    Wafadhili wa nini wakati tuna kila kitu Almasi,Dhahabu,ardhi yenye rutuba,sisi ndio wafadhili,naomba niwaambie ukweli,tulikuwa na shida kwa viongozi wetu.
  11. G

    JamiiForums Tanzania Wajuzi mtueleweshe, Tofauti na mategemeo yetu ni kwanini wanywaji wa pombe bado wanafanikiwa

    Muhimu: Wanywaji wanakunywa bila kuharibu ratiba za shughuli zao muhimu, ni tofauti na walevi. Haimaanishi kwamba ni wote lakini kuna kundi kubwa si haba la wanywaji wa pombe wana maendeleo kwenye jamii kwa levels kama ngazi ya familia, ukoo, mtaa, ofisi, soko, n.k. Ukienda pale kariakoo jamii...
  12. M

    JamiiForums Tanzania ITV kwenye taarifa za habari achaneni na matangazo ya pombe

    TCRA pia Dkt. Gwajima D waangalie namna ya kulinda watoto. Matangazo ya pombe kuwekwa katikati wakati unatazama taarifa ya habari binafsi naona sio sawa. Maana ni mazuri na unakuta watoto wanayafurahia kweli. Tafsiri yake inawachochea kutamani kutumia. Hii iwe hata kwa matangazo mengine...
  13. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano Prince Dube aliingia uwanjani akiwa na wenge la pombe ya usiku (hanging over) Yanga kuna tatizo kubwa.

    Mpaka sasanikitizama video za marudio ya mechi ya Yanga vs Al hilal nikiangalia jinsi ambavyo prince Dube alikuwa anaanguka peke yake bila kuguswa 😆 tena yupo kwenye position ya kufunga anaanguka kama walevi wa ambiance au K vant Mpaka wqchezaji wa Al hilal wakawa wanaonyesha ishara ya...
  14. KENZY

    JamiiForums Tanzania Kikao cha kuniachisha pombe nilivyokimaliza kibabe!

    Ilikuwa mida fulani hivi ya saa mbili usiku ile naingia nyumbani kabla sijafika sebuleni nikasikia ndugu zangu wanajadili "Tumemletea tiba leoleo lazima aache hizo pombe zake!" hapo walikuwa hawajashitukia kama nimeingia na siku hiyo mpk narudi sikua nimeweka vyombo!, wakati nimeendelea...
  15. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli pombe ni haramu kama usemavyo uislam mbona kuna ahadi ya mito ya pombe peponi?

    Huwa inanichanganya. Inakuwaje pombe iwe haramu katika uislam na hapohapo watakaoingia peponi waahidiwe pombe. hebu msikilize shehe kipozeo akiwaahakikishia waislam peponi kuna pombe.https://www.youtube.com/watch?v=LW7e3PudD7k&t=14s
  16. Trainee

    JamiiForums Tanzania Kweli hakuna mkate mgumu mbele ya chai: Matangazo ya kamari, riba na pombe yameingizwa mpaka sehemu ambazo zilionekana ngumu kufika

    Zamani (kabla ya smartphone) nilikuwa nikitaka kudownload miziki naingia Waptrick. Simu kubwa zilipokuja nikaona process za kudownload kwenye browser ni ndefu kwanza vitu vyenyewe unakuta vimeongezewa au vimepunguzwa mfano ukidownload kupitia mdundo lazima ukiplay mwanzo yasikike maneno "...
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mbunge ataka kusitishwa kuhamasisha matumizi ya pombe na sigara

    Leo Mbunge Mwantumu wakati akitoa hoja yake Bungeni ameiomba serikali kusitisha kuhamasisha matumizi ya Pombe na tumbaku ( sigara). Hoja yake ikajibiwa na Naibu Waziri wa Afya - Dkt.Godwin Mollel kwa kusema kweli mchakato umeanza lakini utaona kwenye sigara na kwenye mambo mengine kweli...
  18. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Upo vipi ufanisi wa kutumia dawa hii katika kupunguza matumizi ya pombe...

    Nataka nirudi kama zamani , japo kazi ninayoifanya ni ya kutumia akili sana, kwa hiyo kuna muda nakuwa nahitaji utulivu ili kazi niifanye kwa ufanisi...nilijiingiza kwenye uraibu wa kutumia pombe Kali ( konyagi) kwangu Mimi nikinywa pombe nakuwa Na hamu ya kula Na hata kunenepa Huwa nanenepa...
  19. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Adaiwa kutaka kujichinja baada ya kukamatwa ndani ya Kiwanda Bubu cha kutengeneza Pombe Feki Kigamboni

    Inadaiwa kuwa huyu Jamaa alikua amepanga nyumba maeneo ya Kigamboni, barabara ya kuingia Baracuda Beach. Ndani ya nyumba alikua na kiwanda cha kutengeneza pombe feki aina ya K-vant, Konyagi, Henessy na brand nyingine. Inadaiwa alimuua mmoja wa wafanyakazi wake na akamtupa kisimani. Sasa ile...
  20. JEJUTz

    JamiiForums Tanzania Msiotumia pombe kuna kitu mna-miss muwapo faragha na wenzi wenu

    Lengo si kuhamasisha ulevi au kutumia pombe no! Ila ipo hivi: Imagine wewe na mpenzi wako mlikaa muda mrefu bila kuonana ile shauku ya kumuona tena mwenzako plus hamu ya ku-do! Kunywa tu juice na maji mtakuwa hamtendeani haki. Ili kunogesha penzi mnatakiwa muwe high mtaenjoy sana. Imagine mtu...
Back
Top Bottom