pombe

  1. JamiiForums Tanzania Hivi msiokunywa pombe usingizi huwa mnaupataje?

    Ni siku ya pili sijagusa tungi kabisa. Sasa changamoto ninayoipitia ni kukosa usingizi kabisa,yani nachelewa kulala na pia nawahi kuamka. Sasa nawaza nyie msiokunywa tungi kabisa,huwa mnatumia mbinu gani kupata usingizi?
  2. JamiiForums Tanzania Pombe na wanawake huwapotosha wanaume wenye akili

    Naomba tufungue kitabu cha mithali katika biblia: Mithali 31:4–5 3 Usiwape wanawake nguvu zako; Wala moyo wako usiwape wale wawaharibuo wafalme. 4 Kunywa mvinyo hakuwafai wafalme, hakuwafai wafalme; Wala haifai wakuu waseme, Ki wapi kileo? 5 Wasije wakanywa na kuisahau sheria, Na...
  3. JamiiForums Tanzania Vijana mnaojitafuta acheni kunywa pombe

    Vijana mnaojitafuta acheni kunywa pombe. Mtakuja kunishukuru
  4. JamiiForums Tanzania Pombe

    Kama Unapesa ndo kwanza Unajitafuta Achana Na Kunywa Pombe , Pombe Ni Starehe kama Starehe Nyingine........
  5. Q

    JamiiForums Tanzania Nambie kwanini mimi nisinywe pombe?

    Kwema wakuu Nikiona mtu anamuambia mtu asinywe pombe namuona kama ana matatizo ya akili. Hapo unakuta 1.Anakunywa Ernegy 2.Soda Pepsii Bariidi 3.Anapenda wanawake balaa 4.Anakula Gomba na Skanska Mpumbavu wewe
  6. JamiiForums Tanzania Jematangazo ya pombe katikati ya habari ni sahihi kimaadili?

    Ipo kero ambayo isiposemwa basi itaonekana ni utamaduni na desturi.Je uwepo wa matangazo ya pombe yanayowekwa na kuikatiza taarifa ni sawa kimaadili?
  7. JamiiForums Tanzania Pombe: Sumu inayoua zaidi kuliko vita na gonjwa lolote, lakini tunaiita burudani

    Kuna vitu duniani ukivisikia vinaua, unajua moja kwa moja havina mjadala. Sumu ya panya? Unakimbia. Risasi? Unakimbia. Lakini pombe? Tunaweka mezani, tunaita “kutoa heshima” na tunamimina kwenye glasi. Na tusidanganyane — pombe ni sumu. Sumu yenye jina la kitaalamu ethanol, inayotengenezwa na...
  8. JamiiForums Tanzania Kufurahia pombe za bure na vyakula vya bure ni ishara ya umasikini mbaya

    Ukiona mtu mzima hasa kijana anafurahia au anasifia kunywa pombe na kula nyama za bure au vyakula vingine vya bure kwenye msiba, harusi au tukio la aina nyingine yoyote basi ujue ni masikini sana wa kipato au fikra. Hii tabia wanayo sana vijana wa Kaskazini.
  9. JamiiForums Tanzania Taifa la Tanzania lilipata hasara kwa kifo cha Hayati Rais John Pombe Magufuli

    Baada ya kifo cha Hayati Rais John Pombe Joseph Magufuli, taifa la Tanzania lilirudi nyuma hatua tano katika nyanja zote za kimaisha, kiuchumi, kisiasa na kijamii Tumeona deni la taifa likiongezeka hadi trillion mia, tumeona uwajibikaji kwa Watumishi wa Umma ukipungua,Tumeona wizi wa Mali ya...
  10. JamiiForums Tanzania Wewe unatumia pombe zipi??? A. Pombe za Asili B. Pombe za Kiwandani

    📌 Kwenye jamii ya Sasa Kuna wimbi kubwa la ulevi wa tofauti tofauti... Kuna ulevi wa pombe, uvutaji wa Bangi, sigara na madawa ya kulevya pia. Ukiachana na vilevi hvyo vingine kwenye kilevi Cha pombe wewe unatumia pombe zipi?? Za kiasili au za viwandani??
  11. JamiiForums Tanzania Arusha; Ngarenaro;Dogo janja atoa ahadi ya kutokomeza Vibanda vya pombe haramu,mirungi pamoja na Bangi katika kata yake.

    Akihojiwa Asubuhi ya Leo katika Moja ya Radio jijini Arusha mtia Nia ya udiwani wa kata ya ngarenaro almaarufu dogo janja ambae pia ni mwanamuziki amesema kuwa endapo atachaguliwa kuwa Diwani wa kata ya ngarenaro Basi atahakikisha Vibanda vyote vya pombe haramu, Bangi na mirungi vitaondolewa ...
  12. JamiiForums Tanzania Wapenda mitungi wenzangu - njooni hapa tuitetee Pombe

    Maskini pombe, haina mdomo wakumsema mtu vibaya, haina miguu kusema itamfata mtu nyumbani kwake, yenyewe imejitulizia ndani ya kifungashio chake kimya.... lkn kutwa kuchwa ipo midomoni mwa watu kusemwa vibaya na kusingiziwa malalamiko kibao. Hebu cheki hapa baadhi ya hali/mambo ambayo pombe...
  13. JamiiForums Tanzania Sheria inasemaje kuhusu mtu kujitengenezea pombe ya kunywa nyumbani?

    Wakuu Sheria yetu inasemaje kuhusu mtu kujitengenezea hombwa ya kunywa home? Nchi kama US nyumba inaruhusiwa kutengeneza hadi lita 1000 kwa mwaka. Hapa Tz muongozo ukoje? Na vipi mtu akifungua baa na kutengeneza bia yake hapo hapo?
  14. JamiiForums Tanzania Hunywi pombe ila unakunywa soda? Usimcheke mnywa pombe

    Uzi tayari. Mods edit header hiyo
  15. JamiiForums Tanzania Baada ya hili tukio jana, nimeacha pombe mazima

    Moderator wiki jana sio jana. Wiki iliopitia Wife kanipigia simu saa kumi umeme umekata na gesi imeisha, ila akili yangu ilikuwa settled katika kutuliza koo kidogo koo kwa dakika 10 alafu nikimbie home ninunue umeme fasta Ebwana eeh, si raha ya maji ikazidi mixer nyagi nikasahu kila kitu...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Eti nauza dawa ya kuacha Pombe! Kha unataka niwe nakunywa kahawa?

    Nimekereka sana na huyu mmasai. Mbaya zaidi ananifuata ofisini kwangu! Niwe nashinda kwenye vijiwe vya kahawa ? Niache ugimbi kweli?
  17. JamiiForums Tanzania Ingekuwa John Pombe Magufuli anamaliza muda wake leo hii bado aliyemuamini Rais Samia

    Hakuna mwanasiasa mpya ndani ya CCM Ambaye angeweza kuaminiwa na kukabidhiwa kijiti iwapo hayati Magufuli angekuwa anamalizia muda wake leo hii. Kama yupo basi Magufuli kwa uwazi kabisa angemteua kama mgombea mwenza kipindi kile. Itakumbukwa pia Mtu wa pili aliyetajwa kuaminiwa na Magufuli ni...
  18. JamiiForums Tanzania Hivi kuna madhara gani kuacha pombe ghafla?

    Mambo vipi wadau? Kama mnakumbuka kwenye tar 16/2025 nilileta uzi wa kuomba msaada wa kuacha pombe ,sasa kuanzia siku iyo sijanywa pombe baada ya kuzamilia kuacha kabisa ila sasa kuna shida imejitokeza yaani nasikia homa ,kichwa kuuma ,usiku nikilala ndoto kibao za ajabu ajabu , mwilini naskia...
  19. JamiiForums Tanzania Nikiwa mkuu wa mkoa wa Tabora nitahakikisha mkoa unakuwa tajiri kwa kuzalisha pombe ya asali(Mead)

    Wakuu mi sitaki vyeo vikubwa kama ndugu Dennis Robert Shughuru , ukuu wa mkoa tu unanitosha. Pombe/wine ya asali ni pombe moja ghali sababu ya ughali wa asali. Tanzania ni ya pili Afrika baada ya Ethiopia kwa uzalishaji wa asali. Mkoa wa Tabora ni mkoa unaoongoza kwa kuzalisha zao hilo nchini...
  20. JamiiForums Tanzania Pombe inaharibu maisha yangu nisaidieni

    Mambo vipi ndugu zangu? Leo nimekuja kwenu nipate ushauri maana napitia kipindi kigumu sana kwenye maisha yangu kutokana na ulevi wa kupindukia, labda nianze tu kwa kuwapa historia fupi tu ya maisha yangu nilivyoanza kunywa pombe Kunywa pombe nilianza 2016 nikiwa chuo kikuu na nilianza tu kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…