pombe

  1. Y

    Vita ya kiuchumi ni mbaya sana kuliko vita vingine vya kawaida, rais wa Chad aliuawa na Waasi

    Hakika hayati magufuli atazidi kukumbukwa vizazi na vizazi kwa maneno yake yenye maono alikuwa mara nyingi kwenye hotuba zake anasema "vita ya kiuchumi ni mbaya sana kuliko vita vingine vya kawaida" hii kauli nimeitafakari sana baada ya kuona yaliyotokea nchi ya chadi juzi kiongozi wao...
  2. Jicho la siasa: Hayati John Pombe Magufuli ndiye aliyerithi mafuriko ya Edward Lowassa. Nani tena kuyarithi mafuriko hayo!?

    JICHO LA SIASA:DAKTARI JOHN POMBE MAGUFULI NDIYE ALIYERITHI MAFURIKO YA MH EDWARD LOWASSA,NANI TENA KUYARITHI MAFURIKO HAYO!? Leo 13:45hrs 25/04/2021 Muonekano,maamuzi yao,mitazamo yao kwa taifa la Tanzania,na sampuli ya utofauti kabisa katika siasa na uongozi ndivyo vilivyowainua watu na...
  3. R

    Pombe haramu ya gongo inaweza kufanyiwa processing kitaalamu ikawa pombe halali?

    Habari wakuu, Hili swali nimekuwa najiuliza kitambo. Pombe ya gongo ni haramu na inawaangamiza raia wengi kiafya. Pamoja na kupigwa marufuku lakini bado inatengenezwa na kuuzwa kwa kificho. Hakuna mchakato wa kitaalamu wa kuipitisha pombe hii kwenye mitambo ya kisasa ya distillation na kupata...
  4. Umoja wa Mataifa (UN): Kumbukumbu ya Hayati Dkt. John Magufuli

    Salama Wana Mapinduzi wa JF? Ndugu zangu huko Duniani kwa sasa ni Viongozi wa Dunia wanavyomuenzi Mpendwa Wetu Hayati John Pombe Joseph Magufuli kwa kuelezea Uimara na Misimamo Yake thabiti katika Kuunganisha Taifa Letu na Mapinduzi Makubwa ya kiuchumi. Link hii hapa chini karibu tufatilie...
  5. Mchango wa Dkt. John Pombe Magufuli nchini Tanzania na Bara la Afrika kwa Ujumla

    MCHANGO WA DR. JOHN POMBE MAGUFULI NCHINI TANZANIA NA BARA LA AFRIKA KWA UJUMLA. Dr. John Pombe Magufuli aliyehudumu kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa awamu ya Tano aliheshimika nchini Tanzania, Barani Afrika na Duniani kwa Ujumla kutokana na namna alivyosimama kidete kuhakikisha...
  6. President John Pombe Magufuli's Socioeconomic Achievements in 5.5 Years

    President John Pombe Magufuli's Socioeconomic Achievements in 5.5 Years 1. Governance Discipline and Accountability within the Civil Service - Retrenchment of 15,411 civil servants with fake certificates -Clearance of 19,708 ghost workers from the civil service payroll that used to cost the...
  7. Last moments of the ‘Bulldozer’ John Pombe Magufuli

    Tanzanian President John Magufuli was discharged from Nairobi Hospital while on life support and flown to Dar es Salaam late last week after doctors concluded that he could not be resuscitated, the Nation has established. The President, who was flown to Kenya secretly on March 8 after suffering...
  8. Ni siku 21 leo, endelea kulala salama kipenzi chetu Rais John Pombe Joseph Magufuli

    Tunaendelea kumshukuru Mungu kwaajili ya zawadi ya uhai wako John Pombe Joseph kwa taifa letu. Tunashukuru kwa kutuachia serikali makini na imara chini ya aliyekua msaidizi wako na rais wetu kipenzi Mama yetu Samia Suluhu Hassan. Kama alivyokuahidi ukiwa hai kwamba upumzike maana yeye...
  9. Je, wajua? Marekani waliwahi kupiga marufuku pombe

    Kuanzia mwaka 1920 -1933 pombe zilipigwa marufuku nchini Marekani. Ilikua ni kinyume cha sheria kuzalisha, kusafirisha au kuuza pombe nchini humo. Lengo lilikua ni kupunguza matatizo yaliyokua yanatokana na ulevi kama uhalifu, rushwa, matatizo ya kijamii, mporomoko wa maadili, afya duni nk pia...
  10. UKIMWI, Pombe, Kitimoto na Urbanization ni Threat to National Security

    Shikamoo mama Samia. Nimeona uko serious sana na report ya CAG. I love you. Nchi hii imejaa notable crooks. Please deal with them. Nenda kwenye public institutions and do something. Halmashauri nyingi ni wezi but hali ni worse kwenye public institutions. Unfortunately your CAG doesnt audit all...
  11. CCM - baada ya kifo, maombolezo na mazishi ya Hayati Dkt John Pombe Magufuli - tutawakabili CHADEMA, ACT, NCCR, CUF - Ofisi zao watafugia kuku

    Ndugu Wana - CDM, ACT, NCCR, CUF hii ni taarifa kwenu kwamba baada ya kuhitimisha siku 21 za maombolezo ya kiongozi wetu Hayati Dkt John Pombe Magufuli sasa tutaelekeza nguvu zetu ktk kuwashughulikia kisiasa. Demokrasia mnazoimbia Tanzania, Ubelgiji na Canada hatutataka kuzisikia - mkitaka...
  12. Mambo matatu aliyokuwa nayo Hayati Dk. John Pombe Magufuli kulingana na Rais Mstaafu Dk. Jakaya Mrisho Kikwete

    Bila kuzungusha sana uzi mambo hayo ni; (i) Kugusa maisha ya wengi (ii) Kusifiwa akiwa hai (iv) Kuondoka wakati bado anahitajika. Mambo haya kwa ujumla wake kulingana na hotuba iliyosomwa na Rais Mstaafu Dk. Jakaya Mrisho Kikwete leo ni bahati aliyokuwa nayo Hayati D.k John Pombe Joseph Magufuli.
  13. Aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt. John Magufuli azikwa Chato mkoani Geita

    Fuatilia mbashara hapa RAIS Samia Suluhu Hassan leo ataongoza waombolezaji kumzika Rais wa Serikali ya Awamu ya Tano, John Magufuli. Jeneza lililobeba mwili wa Hayati Dkt. Magufuli likiwa Kanisani kwa ajili ya Misa ya Mazishi Kaburi la Hayati Rais Dkt. John Pombe Magufuli Mama Janeth...
  14. Raila Odinga: The John Pombe Magufuli I knew

    Raila Odinga: The John Pombe Magufuli I knew TUESDAY MARCH 23 2021 Summary I first met Dr Magufuli at an international conference on infrastructure in Durban, South Africa some time in 2003. I had just assumed office as Minister for Roads, Public Works and Housing in the National Rainbow...
  15. Nguvu za asili za hali ya hewa mkoani Geita zimejiandaa vizuri kuupokea Mwili wa Hayati Dr. John Pombe Joseph Magufuli

    Katika hali ya upendo na nguvu za asili zinaotawala mazingira yetu ya kila siku. Nguvu zinazoifanya hali ya hewa kuwa tulivu au kuwa katika hali inayotahayarisha wanadamu na viumbe wengine hali mkoa huu imekuwa tulivu sana ikitawaliwa na mvua kiasi inayonyesha kwa upole mkubwa jambo...
  16. Nyimbo za Maombolezo za Kumuaga Rais. John Pombe Joseph Magufuli

    Nyimbo nyingi zimekua zikitungwa kwa ajili yakuonyesha namna tulivyompenda Rais wetu, nadhani kila mtu ana nyimbo ambayo kwa namna moja ama nyingine akiisikiliza anajikuta anatonesha kidonda anaanza umia upya. Kwa upande wangu nimeguswa sana na nyimbo mbili ambazo ki ukweli nimezipenda nimezi...
  17. Kwakweli Dr John Pombe Magufuli alipendwa sana

  18. Mapokezi ya Mwili wa John Pombe Magufuli: Wakazi wa Dodoma waizunguka Airport

    Wakazi wa Dodoma wamejitokeza na kuizunguka Airport ya Jiji la dodoma wakisubiri kuona Mwili wa Mh Rais Magufuli ukishuka tayari kuagwa hapo kesho. KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA! DODOMA NI MAKAO MAKUU YA CHAMA NA SERIKALI.HAWA NI WAKAZI WA DODOMA WAKISHIHUDIA SAFARI YA MWISHO YA Rais...
  19. Spika Ndugai: Miradi yote aliyoacha Rais Magufuli iko salama

    Leo Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai wakati akitoa salamu za pole kufutia kifo cha Rais Magufuli, amewataka watanzania kuwa watulivu na kusema ilani ya CCM ya 2020 - 2025 na miradi yote ya maendeleo aliyoacha Rais Magufuli itatekelezwa kwani fedha zote za miradi hiyo...
  20. Huyu ndio Shujaa wetu hayati John Pombe Magufuli - Rais wa Watanzania na kimbilio la wanyonge

    Mods Moderator naomba msiunganishe huu uzi🙏 Tumshukuru sana Mungu kwa zawadi ya uhai wa John Pombe Joseph Magufuli kwa nchi yetu. Ametutoa pagumu sana, ametuthubitishia yaliyoambiwa hayawezekani yanawezekana kwa vitendo Ametuachia viongozi makini aliowapika kuwa wazalendo kama yeye mwenyewe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…