polisi

  1. Mwabukusi akemea vurugu za polisi mahakamani, asema ni shambulio dhidi ya haki

    Rais wa Chama cha Wanasheria nchini Tanzania (TLS), Boniface Mwabukusi, ametoa tamko kali akilaani kitendo cha polisi kuwashambulia raia na Wakili Mahinyila ndani ya viunga vya Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam. Amesema, “Shambulio lolote dhidi ya wanasheria ndani ya eneo la Mahakama ni...
  2. Polisi Mara Wakamata Bangi Kilo 1,103 na Mirungi Kilo 65

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara linawashikilia watu 192 kwa tuhuma za kujihusisha na usafirishaji na uuzaji wa dawa za kulevya, uvuvi haramu na utengenezaji wa pombe haramu aina ya gongo, kutokana na oparesheni maalum zilizofanyika kwa nyakati tofauti katika mkoa huo. Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
  3. Polisi Mtwara wakamata Viongozi AMCOS na Watumishi wa Umma kwa wizi wa Pembejeo za Korosho zaidi ya Milioni 15

    Jeshi la Polisi mkoa wa Mtwara linawashikilia watu13 kwa tuhuma za wizi wa pembejeo za wakulima wa korosho msimu wa 2024/2025. Akizungumza na wanahabari siku ya Jumatano, Kamanda wa Polisi Mkoa huo SACP Issa Sulemani amesema mnamo Agosti 29, 2025 polisi kwa kushirikiana na vyombo vingine vya...
  4. Polisi wanachunguza chanzo Cha kifo Cha wakili

    Polisi jijini Nairobi wanachunguza kisa ambapo Wakili maarufu katika Kaunti ya Nairobi Mathew Kyalo Mbobu, alipigwa risasi na kuuawa na watu wasiojulikana Jumanne jioni. Mbobu alimiminiwa risasi na kuuawa papo hapo na watu wasiojulikana waliokuwa kwenye pikipiki huku akiwa kwenye gari lake...
  5. Fikra Tunduizi: Ukatili wa Polisi dhidi ya CHADEMA unaashiria nini?

    Awamu hii ya sita, hususan baada ya Rais Samia kumteua Wambura kuwa IGP, tumeshuhudia ukatili mkubwa tena wa wazi unaotekekezwa na polisi dhidi ya viongozi na wanachama wa CHADEMA. Mara kadhaa tumeona viashiria vya uhusika wa Polisi kwenye utekaji, ulawiti, utesaji na hata vifo vya wanachama wa...
  6. W

    Polisi wakanusha tuhuma za Abdul kuua mtu Jangwani

    Kuna taarifa inasambazwa kwenye mitandao ya Kijamii yenye kichwa cha habari kinachosomeka "ABDUL NA KUNDI LAKE WAMTEKA MWANDISHI WA HABARI WAMNYONGA NA KUMTUPA MTO JANGWANI". Maandishi hayo yanaonekana kama ilivyo hapo kwenye kiambatisho na pia kinaonekana kitu kinachoelea. Jeshi la Polisi...
  7. GE2025 Polisi waendeleza ukamataji wa Wana CHADEMA siku ya Mashujaa wa Demokrasia

    Taarifa kutoka Arusha Wazee maarufu na wa CHADEMA hapa Arusha Baba Boni, Mzee Lenald Mao na Mzee William Lusingo wamekamatwa tar 07.09.2025, wanashikiliwa kituo kikuu cha police Arusha. Wamenyimwa dhamana.. #Mashujaaday💔
  8. Ofisi za TLS zazingirwa na Polisi kuzuia mkutano wa CHADEMA

    Chadema walikuwa wameomba ukumbi pale kufanya mkutano wa kuwakumbuka mashujaa yote. Eneo lote limezingirwa na ‘Mapolisi’ === CHADEMA kupitia ukurasa wao wa X wameandika kuwa; "Jeshi la Polisi limezingira ofisi za @TanganyikaLaw na kufunga barabara zote za kuelekea katika ofisi hiyo na kuzuia...
  9. Aliyemnywesha pombe mtoto anasakwa na polisi

    Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini, David Misime amesema Jeshi hilo linamtafuta mwanamke aliyeonekana katika picha mjongeo inayosambaa mitandaoni akimnywesha pombe mtoto mdogo na kumtaka atakapoona taarifa hii ajisalimishe mara moja katika kituo chochote cha Polisi. Misime amesema tukio hilo...
  10. Festish yangu ni wadada walio ma askari/polisi, wewe fetish yako ni ipi?

    Nazimika kinooomaaaa.. MAONI:
  11. Polisi wamewatia mbaroni wanaume wawili raia wa Uturuki waliokuwa na silaha, katika tamasha maarufu la Kitaliano karibu na jiji la Rome

    Huko Viterbo, Italia, polisi waliwakamata wahamiaji wawili wa Kituruki waliokuwa na bunduki, bastola, na risasi nyingi waliokuwa tayari kufyatulia umati wa Wakatoliki 40,000 waliokusanyika kwa ajili ya Sikukuu ya Santa Rosa. Magaidi hao wawili walikuwa wamejipanga katika nyumba ya kukodi...
  12. Kauli ya diamond na ommy kama mashaikh,basata,TCRA,JESHI LA POLISI, wasipojitokeza kumuonya basi ndo haya haya wanayoendeleza kubariki huu utawala

    Ni kwamba sasa washatuzarau kuonesha wanakula keki ya taifa na watala wa CCM mpaka kufikia steji ya kututukana. Hivi kwa nini wananchi na mashabiki kuweka ajenda kuunfollow na kutosupport kazi zake.
  13. A

    DOKEZO Jeshi la Polisi Arusha limchukulie hatua Askari huyu aliyempora Mwandishi kamera akiwa kazini

    Usiku wa kuamkia leo Septemba 9, 2025 katika maeneo ya Washington karibu na Stand Ndogo Jijini Arusha, kulitokea tukio la kusikitisha ambapo Mwandishi aliyekuwa akitekeleza majukumu yake alivamiwa na askari anayefahamika kwa jina la Inspekta.... (jina linahifadhiwa kwa sasa) kutoka Kitengo cha...
  14. Polisi Pwani Watoa Mafunzo ya Maadili kwa Waandishi wa Habari

    Jeshi la polisi mkoani Pwani limetoa mafunzo kwa waandishi wa habari mkoani humo yaliyolenga kuwaongezea ujuzi wa masuala mbalimbali ikiwemo maadili. Mafunzo hayo yaliyoongozwa na Kamanda wa Polisi mkoani humo, ASP Salimu Morcase yaliangazia pia usalama kuelekea, wakati na baada ya Uchaguzi...
  15. Tukio la Mtoto kufungwa na mnyororo darasani, Polisi yawashikilia Mwalimu Mkuu na Mlinzi

    Baada ya kusambaa kwa video ikumuonesha Mwanafunzi amefungwa mnyororo darasani, kama hukuiona ipo hapa ~ Mwalimu Mkuu amfungia mwanafunzi darasani kwa Mnyororo, Jeshi la Polisi limechukua hatua. MWALIMU MKUU, MLINZI WAKAMATWA KWA TUHUMA ZA UKATILI Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linawashikilia...
  16. Polisi: Hakuna ukweli wa Kontena la Silaha kuingia nchini

    Msemaji wa jeshi la polisi nchini Tanzania David Misime amekanusha kuwepo kwa kontena la silaha na kusema kuwa ni taarifa za uongo. ameyasema hayo wakati wa Mkutano na waandishi wa habari uliofanyika Dodoma, na kusisitiza kwamba hakuna ukweli juu ya taarifa hizo Misime ameonya pia juu ya baadhi...
  17. VIDEO: KWA MSIOJUA PESA ALIZOPIGA ANJELA KWA JESHI LA POLISI NI HII ISSUE MSIKILIZE LATE MAGUFULI HAPA

    BILIONI 60 ZA SARE ZA POLISI ZILIVYOLIWA MIAKA 9 ILIYOPITA NA MHUSIKA HAJACHUKULIWA HATUA
  18. U

    Inakuwaje mtu anawaibia Polisi?

    Ni jambo la kushangaza hawa FFF kila siku wanadeal na wanachadema wakati wenzao wanapiga madeal ya vifaa na tender za angel kizigha. Ni aibuu see sisi wananchi kujua eti walinzi wa raia na mali zao nao wanaibiwa.
  19. N

    Kuna foleni kubwa sana maeneno ya Ruvu Pwani inayosababishwa na matengenezo ya muda mrefu ya Daraja

    Kuna foleni kubwa sana maeneno ya Ruvu Pwani inayosababishwa na matengenezo ya muda mrefu ya Daraja. Hii inachelewesha usafirishaji wa abiria na mizigo Shida ni nini? 1. Speed ndogo ya ujenzi wa daraja ambapo ni zaidi ya miezi sita sasa au 2. Polisi wameshindwa kudhibiti foleni pamoja na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…