JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limedai kuwa limeua watu watatu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi, na kukamata silaha moja aina ya bastola
Jeshi hilo limesema kwamba bastola hiyo imefutwa namba na ilikuwa na magazine iliyokuwa na risasi moja.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa...