Polisi Tanzania wamtaka Mwamposa kujisalimisha

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,010
9,875
Jeshi la Polisi nchini Tanzania limemtaka mtume Boniface Mwamposa kujisalimisha mwenyewe polisi kwa mahojiano kutokana na vifo vya watu 20 vilivyotokea mjini Moshi Mkoa wa Kilimanjaro jana usiku Jumamosi Februari Mosi, 2020.

Watu hao walifariki usiku wakati waliposhiriki kongamano la kidini uwanja wa Majengo, wakigombea kukanyaga mafuta ya upako yaliyomwagwa milango ya kutokea uwanjani.

Wakati Jeshi hilo likimsaka kwa udi na uvumba kiongozi huyo wa kiroho, Jeshi hilo linawashikilia watu saba akiwamo mchungaji wa Kanisa la Calvary Assemblies of God, Elia Mwambapa kwa mahojiano.

Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro, Salum Hamduni akizungumza na Mwananchi leo Jumapili Februari 2, 2020 amesema mchungaji huyo ndiye aliyeomba kibali cha kongamano hilo la siku tatu lililomalizika jana Jumamosi.

“Baada ya hilo tukio tumemtafuta sana huyo Boniface Mwamposa ambaye ni maarufu kwa jina la Bulldozer bila mafanikio. Kupitia kwenu tunamtaka ajisalimishe kwa mahojiano,” amesema

Kamanda Hamduni alifafanua kuwa idadi ya waliokufa ni 20 hadi sasa, ambapo kati yao watoto wadogo ni wanne, wawili wakiwa ni wa kike na watu wazima 16 wakiwamo wanawake 15.

Kwa mujibu wa Kamanda Hamduni, katika tukio hilo watu waliojeruhiwa ni 16 na wawili kati yao hali zao sio nzuri na kwamba kazi itakayoendelea kuanzia asubuhi ni kutambua miili ya marehemu iliyohifadhiwa Hospitali ya Mawenzi.

Mwananchi
 
Aibu sana kwa serikali na jeshi la polisi kwa ujumla , wanasubili majanga ndo wachukue hatua . Kuna makanisa mengi yanamlengo wa kishiririkina lakini cha kushangaza wakuu wa wilaya , mikoa wanayakumbatia makanisa hayo. kuna kanisa linaitwa MUNGU WA BENDERA linaendelea kusambaa nchini lakini mafundisho yake ni ya kishetani, watu wanakaa kanisaa hawafanyi kazi wanategemea kutajirika, wachungaji wanauza maji, mafuta ya upako , chumvi za upako na serikali inaangalia tu matokeo yake ndo haya
 
Jeshi la Polisi nchini Tanzania limemtaka mtume Boniface Mwamposa kujisalimisha mwenyewe polisi kwa mahojiano kutokana na vifo vya watu 20 vilivyotokea mjini Moshi Mkoa wa Kilimanjaro jana usiku Jumamosi Februari Mosi, 2020.

Watu hao walifariki usiku wakati waliposhiriki kongamano la kidini uwanja wa Majengo, wakigombea kukanyaga mafuta ya upako yaliyomwagwa milango ya kutokea uwanjani.

Wakati Jeshi hilo likimsaka kwa udi na uvumba kiongozi huyo wa kiroho, Jeshi hilo linawashikilia watu saba akiwamo mchungaji wa Kanisa la Calvary Assemblies of God, Elia Mwambapa kwa mahojiano.

Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro, Salum Hamduni akizungumza na Mwananchi leo Jumapili Februari 2, 2020 amesema mchungaji huyo ndiye aliyeomba kibali cha kongamano hilo la siku tatu lililomalizika jana Jumamosi.

“Baada ya hilo tukio tumemtafuta sana huyo Boniface Mwamposa ambaye ni maarufu kwa jina la Bulldozer bila mafanikio. Kupitia kwenu tunamtaka ajisalimishe kwa mahojiano,” amesema

Kamanda Hamduni alifafanua kuwa idadi ya waliokufa ni 20 hadi sasa, ambapo kati yao watoto wadogo ni wanne, wawili wakiwa ni wa kike na watu wazima 16 wakiwamo wanawake 15.

Kwa mujibu wa Kamanda Hamduni, katika tukio hilo watu waliojeruhiwa ni 16 na wawili kati yao hali zao sio nzuri na kwamba kazi itakayoendelea kuanzia asubuhi ni kutambua miili ya marehemu iliyohifadhiwa Hospitali ya Mawenzi.

Mwananchi
Huu ni mchezo wa kutupoteza kuhusu Mada ya Makonda watuonyeshe hizo Maiti.tusikubali.
 
Duh hivi hawa wanyakyusa wenzangu hawana uwekezaji mwingine zaidi ya dini,dah mara Mwamposa mara Mwambapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa jamaa wamewekeza kwenye ujasiriadini kule mbeya kuna kata fulani yaani kila baada ya nyumba tatu kuna kanisa hyo kata ipo baada ya mbalizi ukiwa unakuja mjini jina limenitoka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom