polisi

  1. JamiiForums Tanzania Wezi waliojifanya maafisa wa polisi, wamepora pesa kwenye gari la kubeba Pesa huko Italia

    Tukio hili limetokea mchana kwenye barabara moja huko Italia baada ya wezi kuisimamisha gari ya pesa na kuipora.. wawili wamekamatwa... Tukio hili limenikumbusha filamu moja ya Money heist inayoitwa HEAT ============== Genge lenye silaha limefanya shambulio la mchana kwenye gari la...
  2. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi linaendeleza hofu ya utekaji nchini

    Tukio la kukamatwa kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Madereva wa Malori Tanzania (TATAMATA), Godlove Materu limerejesha hofu ya utekaji nchini, kutokana na mtindo wa ukamataji unaofanywa na Jeshi la Polisi nchini. Materu Materu (45), ambaye ni mkazi wa Chapwa, Mji wa Tunduma, Wilaya ya...
  3. JamiiForums Tanzania Mwabukusi: Jeshi la polisi lichunguzwe kwa uhalifu wa wazi na uvunjaji wa sheria .

    JESHI LA POLISI LICHUNGUZWE KWA UHALIFU NA UVUNJAJI WA KATIBA. kwa barua hii sasa ni uthibitisho kwamba kuna hitajika uchunguzi maalum kwa Jeshi la Polisi. Huu ni Uharamia na Uvunjwaji wa Sheria .Sheria inataka unapo mkamata mtu moja ya haki ni kuwasiliana na Ndugu zake au mwanasheria wake au...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Aliyekuwa waziri wa sheria, Abubakar Malami na Mwanawe Abdulaziz wanakabiliwa na Mashtaka ya Ugaidi

    Polisi wa jimbo nchini Nigeria Jumanne wamewashtaki aliyekuwa Waziri wa Sheria, Abubakar Malami, pamoja na mwanawe Abdulaziz, kwa makosa matano yanayohusiana na ugaidi na umiliki wa silaha, miezi kadhaa baada ya taasisi ya kudhibiti uhalifu wa kifedha kuwafungulia mashtaka ya utakatishaji wa...
  5. JamiiForums Tanzania Wananchi wafunga barabara kwa mawe, Askari Polisi walazimika kuyabeba kuyatoa barabarani

    https://www.youtube.com/watch?v=ng1UQIcbLpQ
  6. JamiiForums Tanzania DOKEZO Jeshi la Polisi Wilayani Bunda chukueni hizi dondoo

    Jana nimetumia ukurasa huu kulipongeza Jeshi la Polisi wilayani bunda kwa operation iliyofanyika majuzi ambayo ilifanikisha kukamatwa kwa wahalifu watatu waliokuwa wakikabiliwa na tuhuma nyingi za uhalifu. Hao ni sehemu ndogo tu ya wahalifu ambapo kwa makisio ya haraka 90% ya vijana...
  7. JamiiForums Tanzania Mafwele amendelea kutuhumiwa na utekaji

    Kutoka na ripoti na Kwa taarifa za kuaminik zisizo na mashaka kutoka BBC afisa wa juu wa jeshi la "Mafwele" ameendelea kutuhumiwa na utekaji
  8. JamiiForums Tanzania Upendo wa Agape kwa Polisi

    Hivi sasa unaambiwa kuwa polisi wanatembelea nyumba kwa nyumba kuwajulia hali wananchi. Pichani: Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Lupakisyo Mwakyusa ametembelea familia ya Mzee Mabile Nunda na Bi. Chambi Licholi wa Kijiji cha Bilulumo, kwa lengo la kuwajulia hali na kusikiliza kwa makini changamoto...
  9. JamiiForums Tanzania Hasira za Mashabiki; Mangungu aokolewa na Polisi

    https://youtube.com/shorts/tOJxCv3CcT0?si=xSS3Qrohs5htvSKG Japo Kwenye mechi ya leo Mangungu hana kosa lolote, ila polisi wangeacha kidogo ale mitama
  10. JamiiForums Tanzania Mwanaume mmoja akamatwa na polisi, kwa tuhuma ya kumbaka mbuzi hadi kumsababishia kifo

    Mwanamume mmoja anayeaminika kuwa na umri wa miaka 40 aliyetambulika kama Mitchell Dopoh amedaiwa kumlawiti Mbuzi na kusababisha kifo cha mnyama huyo. Kulingana na ripoti, uchunguzi wa awali unaendelea kwa sasa, kwani maafisa wa sheria waliopewa eneo hilo bado hawajatoa matokeo rasmi kuhusiana...
  11. JamiiForums Tanzania TANZIA Naibu Kamishna Mstaafu wa Polisi (DCP) Michael Kamuhanda Afariki Dunia

    Naibu Kamishna Mstaafu wa Polisi (DCP) Michael Kamuhanda amefariki Januari 29, 2026 majira ya Asubuhi katika Hospitali ya Bugando Jijini Mwanza alikokuwa anapatiwa Matibabu. Huyu jamaa alokufa alizaliwa 1954 MY TAKE Huyu jamaa ndo aliamuru Mwandishi wa Habari wa CHANNEL TEN, Daud Mwangosi...
  12. JamiiForums Tanzania Katibu wa CHADEMA Rungwe, Award Karonga akamatwa tuhuma za uchochezi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Award Karonga, ambaye ni kiongozi mwandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kwa tuhuma za uchochezi na makosa mengine ya kijinai. Award Karonga, ambaye ni mkazi wa Katumba, anashikilia nyadhifa za Katibu wa CHADEMA Wilaya ya Rungwe...
  13. JamiiForums Tanzania Polisi Wamkamata Mwanachama wa CHADEMA kwa kosa la kuiba michango ya Tundu Lissu

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linamshikilia Fredrick Mbwambo, mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kwa tuhuma za wizi wa fedha za michango zilizokuwa zikikusanywa kwa ajili ya Mwenyekiti wa chama hicho aliyeko gerezani kwa tuhuma za uhaini, Tundu Lissu. Kwa mujibu wa...
  14. JamiiForums Tanzania POTOSHI Polisi auwawa kwa kuchomwa Moto na baadhi ya wananchi baada ya kubainika kushiriki kwenye mauaji ya October 29

    Auwawa kwa kuchomwa Moto na baadhi ya wananchi baada ya kubainika kushiriki kwenye mauaji ya October 29
  15. M

    JamiiForums Tanzania Polisi: Kifo cha Diwani wa ACT Wazalendo kimetokana na ajali, mwenye taarifa tofauti azilete

    Kufuatia tuhuma zilizotolewa na Chama cha ACT Wazalendo kupitia mitandao ya kijamii kuwa aliyekuwa diwani wa Kata ya Nyamgali, Majaliwa Abbas Hamis, kifo chake kina utata na kwamba hakikutokana na ajali, Jeshi la Polisi Mkoa wa Kigoma limesema yeyote mwenye taarifa na ushahidi wa kweli tofauti...
  16. JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu CHADEMA: Polisi wanazuia Wanachama wa CHADEMA wasipande miti, mbona ya Kizimkazi hawazuii?

    Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Wakili Dkt. Rugemeleza Nshala, amesema: “Tokea lini katika nchi hii kupanda miti ikawa kosa? Polisi anitajie kifungu chochote cha sheria kinachomruhusu kuwazuia wanachama wa CHADEMA kupanda miti. Tuna sheria ya mazingira...
  17. JamiiForums Tanzania Polisi wakisikia Chadema hao na bendera wanashusha lakini mpaka leo hawaja wakamata watekaji na sahivi wanateka hadi vituoni

    Polisi wakisikia Chadema hao na bendera wanashusha lakini mpaka leo hawaja wakamata watekaji na sahivi wanateka hadi vituoni.
  18. R

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Picha, Polisi Uganda wakikagua video ya mwisho aliyopost Bobi Wine kufahamu alipo

    Kama alivyotoa tamko Jenerali Muhoozi Kabobi atafutwe apatikane akiwa hai au amekufa Ila nimegundua ukishaitwa Polisi kidogo unakuwa hamnazo yaani zinafyatuka, hapo wakiulizwa mnamtafuta kwa kazi gani na wao watajibu ni order ya Jenerali
  19. R

    JamiiForums Tanzania PM Mwigulu, achana na pety issues, trillions zinaibiwa na wenzako...eg sare za polisi saga etc, etc achana na vidagaa

    Waziri Mkuu, Dk.Lameck Nchemba ameagiza kubadilishwa matumizi ya fedha za vinywaji, kalenda, sherehe na zawadi kisha zielekezwe kwenye miradi iliyokwama ili kuongeza mapato ya wananchi. My observation; Ufisadi uliokithiri kwa was kubwa serikalini anauacha anakuja kikimbizana na bidagaa!
  20. JamiiForums Tanzania DOKEZO Huu ukatili ni zaidi ya Unyama, Polisi chunguzeni mapema

    Leo asubuhi nimekutana na video mbili zinazosambaa sana mitandaoni ambazo kwa kweli zinahuzunisha na kusikitisha. Video hizo zinaonyesha vijana wawili wakipigwa vibaya kwenye miguu yao kwa kutumia mpini, hali inayoonekana kuwa ni mateso ya kikatili yasiyo na utu. Kwa sasa, haijulikani tukio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…