polepole

Humphrey Polepole is a Tanzanian politician serving as the Chama Cha Mapinduzi's Ideology and Publicity Secretary and Member of Parliament appointed by President John Magufuli. Before being appointed Humphrey Polepole was a District Commissioner for Ubungo district for five months and earlier Polepole also served as District Commissioner for Musoma District for two months.

View More On Wikipedia.org
  1. HumphreyHumphrey Polepole amefikisha saa 27 tangu adaiwe kutekwa ndo tunamsahau taratibu kama Mdude, why?

    Ndg watanzania, mtanzania mwenzetu ambaye alitekwa jana ameshaafikisha takriban masaa 27 tangu tulipopata taarifa hapo jana saa 3 asubuhi sawa na dakika 1,620, sekunde 97,200, mamalaka zipo kimya ndo umeshaakuwa utaratibu wa kawaida sasa watu kupotea ipi solution kama sio IGP Wambura kujiuzulu...
  2. Akaunti ya Instagram ya Humprey Polepole yafutwa?

    Akauti ya Instagram aliyokuwa anatumia Humphrey Polepole imefutwa ikiwa ni siku moja baada kusemekana ametekwa na watu wasiojulikana.
  3. SI KWELI Zitto Kabwe: Polepole si yupo nje ya nchi Canada sasa ametekwaje Tanzania?

    "Polepole si yupo nje ya nchi Canada sasa ametekwaje Tanzania?" Ni kweli kauli hii imetolewa na Mwenyekiti wa zamani na mgombea ubunge jimbo la Kigoma Mjini Zitto Kabwe?
  4. L

    Jeshi la Polisi limkamate pia mwenye nyumba inayodaiwa alikuwa anaishi Humphrey Polepole ili aeleze ni lini alimpokea na amekaa kwa muda gani?

    Ndugu zangu Watanzania, Nafikiri polisi wangemkamata pia mwenye nyumba inayodaiwa alikuwa akiishi Humphrey Polepole ili aweze kulisaidia jeshi la polisi katika uchunguzi wake. Aeleze ni lini alimpokea na mkataba wake ulianza lini na amekaa kwa muda gani na walionana lini na kama walikuwa na...
  5. Polisi: Tunamtafuta Augustino Polepole kutoa ushahidi juu ya shutuma za kutekwa Humphrey Polepole

    Jeshi la Polisi kama lilivyotoa taarifa yake jana Oktoba 6,2025 kwamba, limeanza uchunguzi wa tuhuma zilizo tolewa na Augustino Polepole kuwa, ndugu yao Humphrey Polepole ametekwa, jalada la uchunguzi lilifunguliwa jana hiyo hiyo. Pamoja na kukusanya taarifa mbalimbali, Jeshi la Polisi...
  6. GE2025 Polepole pamoja na kutekwa ninaamini watekaji hawatomfanya kitu. Ndani ya vyombo vya ulinzi na usalama na CCM (ukitoa Polisi) ana kishindo kikubwa

    Vyombo vya habari tangu jana vimeripoti aliyekuwa balozi nchini CUBA hampfrey polepole kutekwa na kupelekwa. kusipojulikana na shuhuda mmoja ambaye alijitambulisha kwa jina la augustino polepole alimtaja waziwazi mhusika mkuu wa utekaji kuwa ni mtu mmoja ajulikanaye kwa jina la MAFWELE hata hivo...
  7. GE2025 Kwa hili la Polepole wameshinda bila shaka, vipi wataweza kuikabili jamii ambayo sasa imeamka?

    Ni swali ninalo jiuliza kwa kiasi cha kutosha haja jamii imeamka na imefahamu ukweli na lipi ni lipi na na wakina nani wanahusika. Tumeseme wameweza kuwanyamazisha wote wanaoweza kuongea, vipi jamii ambayo imekua na ufahamu wakutosha watawambia nini wakiwa kwenye majukwa yao?
  8. Appreciation post kwa Ndg. Humphrey Polepole

    Hii ni post yangu ya ku -appreciate movement zako unazofanya kuhusu taifa letu. Polepole anaipenda Tanzania. Polepole anaipigania Tanzania. Polepole sio mwizi. Polepole sio mroho wa madaraka. Polepole ana nia njema na ya dhati kwa Tanzania. Nilipoona damu yako inachuruzika kwa ajili ya...
  9. Unadhani nani anafuata baada ya Balozi Humphrey Polepole?

    Baada ya kutekwa kwa Balozi Polepole natoa tahadhari kwa watu wengine ambao wapo kwenye hatari ya kutekwa kwanza Askofu Josephat Gwajima, pili Joh Heche na tatu Mkurugenzi wa JF Melo yupo hatarini sana kwa namna alivyokuwa akizungumza inaweza kuwa hatari kwake. Hawapaswi kabisa kuwa nchini...
  10. Sina imani kabisa na hali ya Polepole huko alipo sasa. Zile damu kumtoka alipelekwa wapi?

    Kwa namna nilivyotazama zile Damu sioni kama Balozi anaweza kuwa hai, nawaza tu baada ya zile damu kumtoka alipelekwa wapi? kama hajapelekwa hospitali anawezaje kuwa hai napata mashaka sana balozi inawezekana kabisa hatupo naye. Ni mawazo tu.
  11. R

    Kwa hili POLEPOLE umechemsha! Ulijiaminishaje kuwa nchini na kutamka haki dhidi ya wenye madaraka? Na hali ya kisiasa tuliyonayo

    Ulishauriwa vibaya kuwa hapa na kusema uliyoyasema. Aliyekushauri alikupoteza sana. Wewe ni Sterling na Sterling hapashwi kufa! Nakuombea "uponyaji" wa Mungu maana kuna mashaka makubwa na uhai wako!
  12. Polepole alikuwa akiishi na wasaidizi wawili lakini wakati anatekwa hawakuwepo, muda wote alikuwa nchini

    Hii ndio update ndogo niliiyoweza kuipata toka kwa wanafamilia wa Polepole
  13. Shekhe Haruna nilimuonya Polepole kwa maneno aliyokuwa akioyaongea dhidi ya Serikali

    Katibu wa Taasisi ya Dini ya Kiislamu ya TWARIQA Qadiria Jaylania Arrasziqia Tanzania, Shekhe Haruna Hussein, amekanusha na kupinga vikali video inayosambaa mitandaoni ikimuonyesha kana kwamba anamuunga mkono mwanasiasa Humphrey Polepole kutokana na hoja zake dhidi ya Serikali. Soma Pia...
  14. Kutekwa Polepole, Chama chao, kimya. Serikali, yao! Kunani? Kwanini mtufanya tuanze kubunia wakati mnaweza kujitokeza na kujibu

    Kikwete yuko kimya. Rostam yuko kimya! Samia kadhalika. Tunajua. Hawa ndiyo waliokamata na kuikamua nchi mbali na kuielekeza pabaya. Chama chao, kimya. Serikali, yao! Kunani? Kwanini mtufanya tuanze kubunia wakati mnaweza kujitokeza na kujibu. Wahusika, chonde chonde, jitokezeni mtuepushe na...
  15. Nani anaweza kusema kosa la Polepole?

    Polepole alikua anasema wahuni ndo kosa lake Je ni kweli wahuni wapo walikua wanachukia anayoyasema? Kwa hiyo maneno ya Polepole yalikua yana Ukweli sio propaganda za kisiasa. Kama ni kweli polepole katekwa basi tunakubaliana Polepole yote aliyokua anasema ni kweli. TANZANIA tuna safari ndefu...
  16. Maajabu ya Polepole

    1. Aliingiaje Tanzania? 2. Aliamini mwenye nyumba wake hangemchoma? Kumuhifadhi mtu wa aina hiyo ni sawa na kuunga mkono uhaini kwa serkali je aliamini mwenyenyumba wake asingemchoma? Maana kumpangisha ni sawa na kuhifadhi cocaine bangi au silaha nyumbani kwako. 3. Kwanamna yoyote alikuwa...
  17. Watanzania naomba kwa sasa tumpuuze Polepole, ni mhuni tu

    Kuna maswali mengi kuhusu Polepole na nafasi yake katika siasa za Tanzania, hususan baada ya taarifa kuhusu Captain Tesha kuibuka na kupata umaarufu mkubwa. Polepole ameonekana kuzingatia siasa za kivuli, na hatua zake zimekuwa zikichochea mashaka kuhusu nia yake halisi na ajenda anazozitetea...
  18. Je, Polepole kweli waliomteka ni watu wa serikali au maadui zake ili kukinukisha?

    Najua wengi wanafuatilia tukio chafu na la hovyo la kutekwa Humphrey Polepole mwanaCCM kindakindaki aliyeibuliwa na Magufuli. Hata hivyo, kuna mambo ya kujiuliza. Je, ni kweli kuwa Polepole alikuwa akiishi Tanzania tangu alipojiuzulu ubalozi? Je, licha ya kuwa zoba, alijiamini nini wakati...
  19. Kwamba Polepole atapotea na kusahaulika hivihivi? Watanzania tutakuwa wanyonge namna hii mpaka lini?

    Najaribu kuwaza ingekuwa Kenya, ambapo kijana mmoja tu aliuawa na polisi, maelfu ya raia wakajitokeza kuandamana mpaka haki ikatendeka, Najaribu kuwaza tangu alipotekwa Kibao, siku ileile wote walipohusika walitakiwa wawajibishwe ila wasilete tena madhara! Ila cha kushangaza Watanzania...
  20. Je, Polepole ni Honey Pot ya wasiojulikana?

    Ndugu wa Balozi amehojiwa na tumemsikia. Kuna maneno na yanayozungumzwa mitandaoni hasa hili la 'chip' ambayo ndio theory yangu inapokuja. Je, ni kweli Balozi ana bug katika mwili wake au ni scare crow tactic aliyotumia mtoa taarifa kuwatisha watekaji. Je, kama ni kweli Ana bug basi Lazima...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…