polepole

Humphrey Polepole is a Tanzanian politician serving as the Chama Cha Mapinduzi's Ideology and Publicity Secretary and Member of Parliament appointed by President John Magufuli. Before being appointed Humphrey Polepole was a District Commissioner for Ubungo district for five months and earlier Polepole also served as District Commissioner for Musoma District for two months.

View More On Wikipedia.org
  1. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Namsihi Humphrey Polepole asitishe press ya tarehe 17, tafadhali sana

    Najua amepanga kuongea mengi ikiwa ni pamoja na suala la Dp World, nadhani asitumie hasira kutuadhibu. Huu ni muda wa kurelax na kuenjoy na familia yake baada ya utumishi wake ulio tukuka.
  2. F

    JamiiForums Tanzania Polepole na Bashiru hawakulelewa na CCM !

    Humphrey Polepole na Bashiru Ali hawa ni WanaCCM walioibuliwa na Hayati John Pombe Magufuli!! Hawana historia yoyote ya kuwahi kuwa na mapenzi na CCM hapo kabla ya kuibuliwa na Magufuli! Waonyeshe kadi zao walizipata lini na wapi kama siyo kadi za michongo. Mtu aliyelelewa vizuri na CCM hawezi...
  3. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Watu wanataka kujua kama Polepole amejiuzulu. Hawataki kujua kwanini amejiuzulu

    Kwa sababu Amos Makalla amesema hana taarifa. Kwa sababu siku hizi kuna fake news nyingi watu wanataka uhakiki wa hii taarifa. Na hata Makalla amesema mwachie Polepole mwenyewe athibitishe. Kuhusu sababu za kujiuzulu kama zinaweza kusemwa bila kuanzisha ugomvi. Tunakumbuka Kolimba alivyosema CCM...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Polepole ni mnafiki kama wanafiki wengine

    Siandiki mengi. Ila mtu huyu ni mnafiki mkubwa. Alikuwepo serikalini na Chamani wakati serikali aliyokua akiitumikia iliwatendea baadhi ya Watanzania kama wanavyotendewa Leo hii. Mbona hakujiuzuru. Mfano wagombea wote wa vyama vya upinzani kuenguliwa kwa vijisababu vya uonevu TU. Baadhi ya...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Ansbert Ngurumo: Tusimshangae polepole, hii ndiyo CCM

    TUSIKILIZE ANALYSIS YA NGURUMO KUHUSU KUJIUZULU KWA POLEPOLE https://youtu.be/HK4ZQBXg6Xw
  6. Nucky Thompson

    JamiiForums Tanzania Picha: Polepole ndio alikuwa amesuka hili gazeti?

    Polepole kabla hajawa balozi msimamo wake ni kuwa hii ni awamu ya 5 na Samia hatakiwi kugombea tena baada ya kumaliza hii miaka 4 iliyokuwa imebaki Na amejiuzulu ubalozi kwa sababu mchakato wa kupata wagombea (wa Urals) haukuwa sahihi He ndio yeye alikuwa nyuma ya hawa waliondika hili gazeti?
  7. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Polepole Barua yako inajieleza, huna haja ya kuifafanua. Kama ni kupatia umepatia, kama ni kukosea umeshakosea!

    Tupo Salama! Kwa wagonjwa na wanaopitia changamoto ngumu, Mungu awapatie ufumbuzi. Unajua maji yakishamwagika yamemwagika. Yatazoleka lakini yakiwa na mchanga. Na hayatajaa kwa ujazo uleule. Polepole achana na Maji yaliyokwisha kumwagika, wahenga walisema hayazoleki. Sio kwa kumaanisha...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kafanya la Maana lakini Polepole ni mapepe

    Amefanya maamuzi ya maana sana kujiuzulu lakini kati ya watu mapepe wa kuogopa ni polepole. Alijiona Mungu mtu wakati wa Magu na kunyanyasa watu sana. Alitaka nankuchangia kudumiza democracy sana na ndiyo amechangia sana kwa matatizo tuliyonayo. Leo kaokoka na amekuwa mpenda haki za...
  9. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania Polepole kuzungumza na Vyombo vya Habari Julai 17, 2025

    Siku chache baada ya kutangaza kujiuzulu Ubalozi wa Tanzania nchini Cuba na visiwa vya Jirani, Kada wa CCM na aliyewahi kuwa Katibu Mwenezi wa chama hicho wakati wa utawawala wa hayati Rais Magufuli, Humphrey Polepole ameitisha Press kwaajili ya kutoa ufafanuzi wa Barua yake ya kujiuzulu hapo...
  10. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Shujaa, Mzalendo wa Kweli Kama Nyerere, Kang'atuka Kama Nyerere!, Amesema Ukweli Nusu!, Je Atoe Mguu Nje Aseme Ukweli Wote, Apewe Maua Yake?

    Wanabodi, Huu ni uzi wa swali, Polepole: Shujaa, Mzalendo wa Kweli Kama Nyerere, hata kujiuzulu kwake ni kwa kung'atuka kama Nyerere!, kwenye sababu zake kumi za kungatuka, kwa sisi wa jicho la tatu, tunajua amesema ukweli nusu!, ndio maana bado yuko mguu mmoja ndani, akisema atabaki kuwa...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Jambo nina uhakika nalo ni kwamba kuna team imeundwa iko busy kutafuta namna ya kumchafua Polepole, usishangae ukisikia kaiba fedha za ubalozi Cuba!

    Hawa CCM na serikali yao siku hizi wamekuwa predictable sana. Baada ya hii barua ya Polepole ya kujiuzulu na kuukosoa uongozi wa Raisi Samia hadharani, utakuta kuna team maalum imewekwa kutafuta namna ya kumchafua. Sasa hivi utaona statements zikianza kutolewa kuhusu maovu aliyofanya...
  12. I

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kigogo: Humphrey Polepole aomba hifadhi Sweden!

    Sijastushwa na kitendo cha Balozi Polepole kujiuzulu ubalozi na utumishi wa umma kama alivyosema kwenye barua yake kwa kuwa toka mwanzo hakupenda jinsi alivyotolewa kwenye ubunge na nafasi yake akapewa Vuai Shamsi Nahodha. Haikueleweka kipindi kile kama mbunge wa kuteuliwa anaweza kuvuliwa...
  13. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Unafiki wa CCM na Humphrey Polepole

    Moja kati ya tabia ya uanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM ni unafiki hasa wale viongozi wa juu ikitokea Rais aliyekuwepo madarakani analipendelea tabaka fulani basi humkingia kifua na kufumbia mabaya yake ila akija rais mwengne akiwatenga au kua na sera tofauti na zao wananza kukukosa kudhihaki...
  14. kavulata

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole hajamshitua mtu yeyote, amejitekenya na kucheka mwenyewe

    Tangu lini Tanzania iliwahi kuwa na uchaguzi huru na haki? Anajua kuwa mwenyekiti wa CCM ndiye Rais wa Tanzania pia anaeteua mwenyekiti na wajumbe wa tume ya uchaguzi? Anajua kuwa matokeo ya uchaguzi hayahojiwi mahakamani? Wakati yeye akiwa mwenezi anakumbuka kama vyama vya siasa vilipigwa...
  15. G.T.L

    JamiiForums Tanzania Umri wa Humphrey Polepole

    Wakuu, nilikua nimechill na jamaa yangu hapa tunajiuliza huyu Gwiji atakua na umri gani kutokana na muonekano wake. Sisi tulidhani anaweza kuwa kwenye 46 yrs. Ikabidi tuingie Google tukakutana na hii kwamba ana Umri wa miaka 55. Je, Ni kweli kwa wale wanaomjua au ni Google imeingia chaka? Ni...
  16. Knock life

    JamiiForums Tanzania Kuna habari nzito inakuja hii ya polepole ni cha mtoto .!

    Wakuu mkae kwa kutulia , jamaa wa super black anaelekea kuuchochea moto
  17. R

    JamiiForums Tanzania Kuna kitu nimegundua: Millard Ayo hajaripoti habari za Humphrey Polepole kujizulu Ubalozi

    Nimepitia mitandao yote sijaona ripoti yake kuhusu Polepole kujiuzulu.. Kama ni kweli, kwanini ? I STAND TO BE CORRECTED AND APOLYGIES IN ADVANCE IF I AM WRONG/MISTAKEN
  18. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Tuweke kumbukumbu sawa; Polepole siyo balozi wa kwanza kujiuzulu Ubalozi. Mwaka 1969 Christopher Kasanga Tumbo alijiuzulu akiwa Uingereza

    Naona vijana wa 2000, wanasema tangu uhuru hakuna balozi aliyewahi jiuzulu, jamani hata Nyerere enzi zake kuna watanzania walimuumiza kichwa kuna mwamba huyu hapa alikuwa mnyamwezi wa Sikonge Tabora huko ambapo mwaka 1969 aliacha ubalozi akiwa anaiwakilisha Tanzania nchini Uingereza, akamwambia...
  19. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Katiba Nzuri Sana Huvunja Taifa Polepole: Hadithi ya Afrika Kusini, Onyo kwa Watanzania

    Kuna maradhi ya kimyakimya yanayoshambulia mataifa ya Kiafrika, si kwa mapanga wala risasi, bali kwa nyaraka nzuri zilizopambwa kwa wino wa kimataifa. Maradhi haya si mengine bali ni imani butu kwamba katiba nzuri, yenye maneno matamu ya haki na uhuru, ni tiba ya kila ugonjwa wa taifa. Afrika...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Balozi Polepole naye anadai reforms akiwa ndani ya CCM!

    Salaam! Kwa andiko ulilloandika Jana Mh Polepole, ni dhahiri kuwa, watanzania tumekusamehe madhambi yako yote ikiwamo Ile ya kuturingushia v8 tulliyokununulia kwa pesa zetu. Baada ya Mh Gwajima,Mpina,Padre Kitima,Lissu, sasa ni zamu yako ndugu Pole Pole, ujasiri huu ni mkubwa,tunakupongeza...
Back
Top Bottom