polepole

Humphrey Polepole is a Tanzanian politician serving as the Chama Cha Mapinduzi's Ideology and Publicity Secretary and Member of Parliament appointed by President John Magufuli. Before being appointed Humphrey Polepole was a District Commissioner for Ubungo district for five months and earlier Polepole also served as District Commissioner for Musoma District for two months.

View More On Wikipedia.org
  1. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Kama Polepole yupo nchini, Basi atakua kwenye Moja ya Kambi ya Wazalendo wa Taifa Kwa Mujibu wa Katiba yetu !!

    Nadhani Askofu Gwajima aliiweka wazi hii,ndio Wazalendo namba Moja nchini . Kuna MTU aliandika humu, kua Wazalendo wetu Kwa Mujibu wa Katiba wanataka mtu ambaye ni Mzalendo pia kwenye Kiti atakyelinda Rasilimali za Nchi na Maisha ya Watu Kwa Wivu mkubwa. Naam Kwa Nguvu za watekaji, mbinu zao...
  2. Solo Traveller

    JamiiForums Tanzania Polepole akifanya press conference leo nipigwe ban ya siku mbili

    Za ndani ndani kabisa kutoka central huko kwenye mfumo Amri imetoka kutoka juu mpaka kwa wakuu wote wa ulinzi kuwa ni marufuku polepole kufanya conference na waandishi wa habari. Hata dada yake kuchukuliwa ni threat ili jamaa akaushe. Nimemaliza nazima data Hata
  3. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kwamba CCM walicheza na upepo baada kusikia press ya Polepole leo wakamuita Mbowe

    Ina maana Dar to Dodoma ni karibu kuliko anapoishi Mbowe kwenda kisitu kusikiliza kesi ya Lissu. CCM washajijua kuwa hawasikilizwi na hawafatiliwi.Kumuita Mbowe ni kuchanganya masafa ya wasikilizaji ambayo watu wengi walitaka kujua polepole anasema nini.
  4. Nipe Maji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Zitto Kabwe amesema PolePole ni mnafiki, akisema 'ulikuwa wapi wakati nashughulikiwa 2020?

  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Polepole, usisahau nchi au taifa lolote la Maana Msingi wake ni Mambo haya Makuu matatu; Chama chako kinavunja Msingi Mkuu wa taifa, hayo ni matokeo

    Mpo Salama! Taifa lolote la Maana, ndoto ya watu ni lile linalojengwa katika Misingi Mikuu miitatu; 1. Utawala Bora na Sheria (Good Governance and Rule of Law) Huu ni kama msingi wa nyumba. Bila utawala bora hakuna amani, hakuna haki, hakuna maendeleo. Sheria hutuliza, huongoza, na hutoa...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua Mafanikio yaliyopatikana kwa Tanzania kutoka nchini Cuba tangia Polepole awe Balozi au lolote la maana alilolifanya huko

    Nasubiria kuyasoma hapa hayo Mafanikio. Asanteni.
  7. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Mwanaharakati maarufu wa haki za binadamu, Kombo, ametuma ujumbe mzito kwa aliyekuwa balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, kufuatia

    Mwanaharakati maarufu wa haki za binadamu, Kombo, ametuma ujumbe mzito kwa aliyekuwa balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, kufuatia kujiuzulu kwake hivi karibuni. Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari leo Julai 16, 2025 , Kombo alieleza kushangazwa na kauli za Polepole...
  8. Fanfa

    JamiiForums Tanzania Uchungu wa Polepole kuhusu Haki, Demokrasia na Utawala bora unatoka wapi?

    Hivi karibuni ndugu Polepole baada ya kujiuzuru ubalozi ame-trend sana na kujipatia maujiko (umaarufu) kuwa ni mpigania haki, demokrasia na utawala Bora. Swali la kujiuliza ni kweli Polepole ana uchungu na mpigania haki, demokrasia na utawala Bora???. Hebu tujiulize maswali mengine haya tena...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Polepole asogeza mbele Mkutano na Vyombo vya Habari hadi Julai 18, 2025

    Wakuu! Humphrey Polepole ametangaza kusogeza mbele mkutano wake na waandishi wa habari uliokuwa umepangwa kufanyika Julai 17 hadi Ijumaa, tarehe 18 Julai 2025 saa 5:00 asubuhi, ili kupisha uzinduzi wa Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050. Soma> Polepole kuzungumza na Vyombo vya Habari Julai 17...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Polepole popote ulipo nikuulize swali: Ukiteuliwa say, kuwa Waziri Mkuu, uta decline uteuzi kuwa huwezi kuwa sehemu ya mfumo wa kutotenda haki?

    Tunakujua toka ukiwa katika Tume ya Katiba na kabla ya hapo kuwa MTETEZI MKUBWA WA HAKI. Baadaye ukaja kwa Magufuli ukawa sehemu ya KUZIMA HAKI /DHULUMA YA HAKI...... Magufuli kafa, ukakosa CHEO ULICHOKITEGEMEA, UKAANZISHA DARASA LA SIASA. Ukateuliwa kuwa balozi....ukaenda, ukabadilishwa...
  11. Daraja2

    JamiiForums Tanzania Polepole ni zaidi ya Gwajima

    Habari wapendwa, Kuna raia mtaani nimewasikia wakisema "wakiungana na kuanzisha chama watashinda" Napenda kusema,watu hao hawajielewi na wapo katika kundi la "intellectual impairment" kwa sababu gani ? (1). Wameshindwa kusoma alama za nyakati. (2) Kutokana na uwezo mdogo (IQ) wa kuchambua...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Balozi Humphrey Polepole aungwe mkono ana jambo zuri kwa watanzania. Tunasubiri kwa hamu kusikia hotuba yake hapo 17-07-2025.

    Balozi mstaafu wa Tanzania nchini Cuba ndugu na comred Humprey Polepole anatarajia kuzungumza na umma hapo kesho 17-07-2025. Sina uhakika atatumia platform gani ila jambo hili ni kubwa na tunalisubiri kwa hamu. Huu sio wakati wa kuangalia sana madhaifu ya comred Polepole bali ni wakati wa...
  13. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Polepole yupo nchi gani?

    Ajitambulishe ili tujue alipo(exact location).
  14. M

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole, Nyoosha msitari Taifa likuenzi milele au piga blahblah Taifa likudharau

    Ndugu Humphrey Polepole nakusalimu. Lakini pia nataka nikueleze mambo yafuatayo. 1. Timing yako kulifanya hili jambo ni nzuri sana, umechagua muda muafaka Kipindi hiki bi kilembwe anapambania hali yake, japo ana majeshi na mavyombo yote ya kumfanyia anachokitaka lakini hulka ya binadamu huwa...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Huku Polepole atakuwa na Press Conference mara tena Askofu Gwajima nae atakuwa na Press Conference nyie endeleeni tu kutufanya Watanzania ni Fools

    Yaani mnajitekenya wenyewe halafu tena mnacheka wenyewe. Kwahiyo mmeana Suala la 'Genius' Lissu huko Mahakamani linawaendea vibaya mkaamua kukaa Kikao na Mfumo ili kuja na Jambo la ghafla ambalo litateka Akili za Watanzania na kutotilia maanani Sakata la Lissu? Halafu nikiwaambia hamna Akili...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya barua ya kujiuzulu, Polepole atambue kwamba Press Conference ina jambo moja kwake, akisimama nchale akikimbia nchale

    Wengi wetu, walio na wasio wanachama au mashabiki wa CCM, tumeiona barua ya kujiuzulu ya Polepole, na sababu za yeye kujiuzulu. Kuna waliompongeza na kumwona shujaa wa Tanzania, na kuna waliomlaani na kumwona msaliti na mnafiki kwa CCM na Tanzania. Na ni wazi kwamba CCM watakuwa wamemfikia kwa...
  17. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Namsihi Humphrey Polepole asitishe press ya tarehe 17, tafadhali sana

    Najua amepanga kuongea mengi ikiwa ni pamoja na suala la Dp World, nadhani asitumie hasira kutuadhibu. Huu ni muda wa kurelax na kuenjoy na familia yake baada ya utumishi wake ulio tukuka.
  18. F

    JamiiForums Tanzania Polepole na Bashiru hawakulelewa na CCM !

    Humphrey Polepole na Bashiru Ali hawa ni WanaCCM walioibuliwa na Hayati John Pombe Magufuli!! Hawana historia yoyote ya kuwahi kuwa na mapenzi na CCM hapo kabla ya kuibuliwa na Magufuli! Waonyeshe kadi zao walizipata lini na wapi kama siyo kadi za michongo. Mtu aliyelelewa vizuri na CCM hawezi...
  19. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Watu wanataka kujua kama Polepole amejiuzulu. Hawataki kujua kwanini amejiuzulu

    Kwa sababu Amos Makalla amesema hana taarifa. Kwa sababu siku hizi kuna fake news nyingi watu wanataka uhakiki wa hii taarifa. Na hata Makalla amesema mwachie Polepole mwenyewe athibitishe. Kuhusu sababu za kujiuzulu kama zinaweza kusemwa bila kuanzisha ugomvi. Tunakumbuka Kolimba alivyosema CCM...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Polepole ni mnafiki kama wanafiki wengine

    Siandiki mengi. Ila mtu huyu ni mnafiki mkubwa. Alikuwepo serikalini na Chamani wakati serikali aliyokua akiitumikia iliwatendea baadhi ya Watanzania kama wanavyotendewa Leo hii. Mbona hakujiuzuru. Mfano wagombea wote wa vyama vya upinzani kuenguliwa kwa vijisababu vya uonevu TU. Baadhi ya...
Back
Top Bottom