polepole

Humphrey Polepole is a Tanzanian politician serving as the Chama Cha Mapinduzi's Ideology and Publicity Secretary and Member of Parliament appointed by President John Magufuli. Before being appointed Humphrey Polepole was a District Commissioner for Ubungo district for five months and earlier Polepole also served as District Commissioner for Musoma District for two months.

View More On Wikipedia.org
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Polepole: Msitafute mchawi kokote (eti kuna mtu nyuma yangu). Nipo peke yangu!

  2. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Kauli ya Lissu 'Uchaguzi usipokuwa huru tutakwenda Ikulu kuichukua kwa nguvu ya umma' haikuwa ya kiuongozi

    Akijibu swali kuhusu kesi ya Lissu, Polepole amesema sheria zinambana hawezi kuzungumzia hiyo kesi sababu ipo mahakamani Ameongeza kuwa, 2015 nilikemea kauli mbili nikasema kauli hizi si za uongozi. Kauli ya kwanza ilikuwa ya Nape ya Goli la mkono, nikasema haiakisi misingi ya CCM, acha mambo...
  3. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Polepole: Sikubaliani na mambo ya utekaji, dada yangu alitekwa wakamchapa sana makofi

    “Kuhusu mambo ya utekaji, siyaungi mkono. Dada yangu ametekwa jana. Mimi napost post ya kwanza, wamesharuka ukuta. Wamemtia pingu dada yangu. Wamempiga vibao”
  4. S

    JamiiForums Tanzania Polepole asikitishwa na kada aliyefukuzwa uanachama kwa kukosoa mchakato wa kupata mgombea. Hoja haipigwi rungu

    Humphrey Polepole amehoji waliobadili utaratibu wa chama wametumwa na nani? Pia ameshangaa kuona mtu aliyehoji na kukosoa amefukuzwa.
  5. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Lugha ya kusema mgombea ni mmoja ni makosa, nilishindwa hata kuwapongeza, Unapongeza vipi kisicho halali?

    "Na hii lugha ya kusema mgombea ni mmoja ni makosa, sio kipindi hiki, hata kipindi cha Magufuli kuna baadhi ya viongozi walikuwa wanasema mgombea ni mmoja, siyo kweli na kwenye kauli rasmi ambayo mimi kwa wakati ule niliitoa kwa niaba ya Mwenyekiti wa CCM, tulisema tunafungua kwa watu wote...
  6. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Polepole: Rais aliniteua hadharani, nami barua yangu nimeiweka hadharani

    Humphrey Polepole akimjibu mmoja wa waandishi wa habari kuhusu kutoa barua ya kujiuzulu, amejibu kuwa Rais Samia alimteua hadharani na kila mmoja akaona, kwanini yeye asijibu hadharani.
  7. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Wakati mwingine inabidi tubomoe ili tujenge. Mchakato wa kupata wagombea tumeukosea

    "Unajua wakati mwingine lazima tubomoe ili tujenge mimi mkristo kuna mstari unasema wakati mwingine inabidi tubomoe ili tujenge. Huu mchakato wa kupata wagombe kwa kweli tumeukosea" Humphrey Polepole
  8. R

    JamiiForums Tanzania Polepole: Msingi wa chama chetu hakuna fomu moja

    Kama anakuja kwenye point....let us wait
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Polepole apigiwa Simu na Polisi wakati akizungumza na Watanzania

    Polepole apigiwa Simu na Polisi wakati akizungumza na Watanzania
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Polepole: Katiba iliyokuwa inapendekezwa ilikuwa mbaya

    "Kwangu mimi na wenzetu Watanzania kuahirishwa kwa Kura za Maoni ilikuwa jambo kubwa na la msingi kabisa kwasababu, Katiba inayopendekezwa ilikuwa mbaya" "Naamini Katiba inayopendekezwa na Watu"
  11. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Polepole: Nimeshindwa kutumia Youtube kutokana na 'restrictions'

    Balozi Humphrey Polepole ambaye alipanga kufanya mkutano na waandishi wa habari kupitia Zoom Meeting na kushindikana kutokana na changomoto ya kusikilizana, na baadaye alipotaka kutumia YouTube akakumbana 'Restrictions' kama alivyoeleza, akiongea Mbashara kupitia Facebook.
  12. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Hii Hapa Link ya Polepole Conference

    Nimekutana nayo mahali ila sijajua iko genuine kiasi gani, naona network kwangu iko chinii sana sana https://us06web.zoom.us/j/6818807495?pwd=Eu5qlqorqlOEchz9zkqEhjKW7GsbHv.1&omn=81835714199...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Watu wameruka Nyumbani kwa Dada yangu Bahari Beach, wadai wamefuata taarifa

    Wakuu! Usiku wa saa Sita, Humphrey Polepole amedai kuwa; "Watu wameruka ukuta wa nyumbani kwa dada yangu Bahari Beach. Wamemwambia dada yangu wamefuata taarifa." "Ninakwenda kujiridhisha. Sina tatizo kabisa, nilishamwambia Mungu wa mbinguni na anajua nina yeye tu." Andiko lake limekuja masaa...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo dada yake Polepole katekwa?

    Hili ndio swali ninalojiuliza hasa baada ya kusoma maelezo ya Maria Sarungi kwenye mtandao wa X . Katika andiko lake kwa lugha ya kingereza zaidi ya muda wa lisaa limoja lililopita, amegusia kuwa dada yake Polepole ametekwa(abducted) Swali ni ametekwa au wavamizi wameishia tu kuruka ukuta na...
  15. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Machawa msiotumia akili mjihoji, Kama Polepole na ndugu zake wanafanyiwa hivi je kwa vidampa wasio na mbele au nyuma?

    Mnapiga kelele hovyo na kupaza sauti kutetea uovu kisa tu mnapata posho. Kila kukicha mnashadadia mambo ya ajabu yasiyo na kichwa wala miguu. Mnaona kifo cha watu kama mzee kibao ni kama panzi aliyeuliwa na watoto wakicheza. Mjihoji sana. Kama mti mbichi unatendewa hivi je kwa mti mkavu?
  16. chiembe

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba na Polepole wamekuwa na mawasiliano mengi sana miezi ya karibuni wakipanga tukio la leo

    Katika mawaziri wakuu ambao hawawezi kuonyesha hata choo walichosimamia kijengwe ni Warioba. Kimsingi, Warioba kaharibikia ukubwani kwa kuunda magenge yenye nia ya kuvuruga amani ya nchi.
  17. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Kuvamiwa kwa dada wa Polepole, kumenikumbusha Historia ya kutekwa kwa kaka zake Kambona

    Hamna Jipya chini ya Jua. Ila safari hiii Utekaji umefanywa dhidi ya MTU ambaye ni Mzalendo kwelikweli. Hivi Polepole Kwa namna alivyo Mzalendo, ni wa kumtekea Familia yake???.
  18. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Kama Polepole yupo nchini, Basi atakua kwenye Moja ya Kambi ya Wazalendo wa Taifa Kwa Mujibu wa Katiba yetu !!

    Nadhani Askofu Gwajima aliiweka wazi hii,ndio Wazalendo namba Moja nchini . Kuna MTU aliandika humu, kua Wazalendo wetu Kwa Mujibu wa Katiba wanataka mtu ambaye ni Mzalendo pia kwenye Kiti atakyelinda Rasilimali za Nchi na Maisha ya Watu Kwa Wivu mkubwa. Naam Kwa Nguvu za watekaji, mbinu zao...
  19. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Polepole akifanya press conference leo nipigwe ban ya siku mbili

    Za ndani ndani kabisa kutoka central huko kwenye mfumo Amri imetoka kutoka juu mpaka kwa wakuu wote wa ulinzi kuwa ni marufuku polepole kufanya conference na waandishi wa habari. Hata dada yake kuchukuliwa ni threat ili jamaa akaushe. Nimemaliza nazima data Hata
  20. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kwamba CCM walicheza na upepo baada kusikia press ya Polepole leo wakamuita Mbowe

    Ina maana Dar to Dodoma ni karibu kuliko anapoishi Mbowe kwenda kisitu kusikiliza kesi ya Lissu. CCM washajijua kuwa hawasikilizwi na hawafatiliwi.Kumuita Mbowe ni kuchanganya masafa ya wasikilizaji ambayo watu wengi walitaka kujua polepole anasema nini.
Back
Top Bottom