pili

The arrector pili muscles, also knows as hair erector muscles, are small muscles attached to hair follicles in mammals. Contraction of these muscles causes the hairs to stand on end, known colloquially as goose bumps (piloerection).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ni kwamba huko Arusha hatutaki Kufunga Kipindi cha Kwanza ili Kuzuga kuwa Mechi ni Ngumu ili tukimalizana nao Kipindi cha Pili ubao usome 9-0 au?

    Kwa Timu yangu ninavyoijua (tena baada ya Kijili hivi majuzi Kuwasaidia) hadi sasa ningekuwa mbele kwa Goli 4 hivi.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Upande wa pili walikuwa wanamsikia tu king ateba: Leo watamwona!

    Ateba leo watamwona live maana wamekuwa wakimsikia tu!! Simba 3 - Yanga 0, na Ateba atafunga mawili. Poleni uto!!
  3. JamiiForums Tanzania Wanaouliza eti Benja mbona hafi kishujaa kama wengine. Kwanza: Ushahidi huu hapa alipokuwa jeshini. Pili: Mnaoita mashujaa ni magaidi na matapeli

    SOURCE BBC: Benjamin Netanyahu, Israel's defiant leader "Katika umri wa miaka 18, alirudi Israeli, ambapo alitumia miaka mitano mashuhuri katika jeshi, akihudumu kama nahodha katika kitengo cha makomandoo wasomi, Sayeret Matkal. Alijeruhiwa katika uvamizi wa ndege ya Ubelgiji iliyotekwa nyara...
  4. JamiiForums Tanzania Upande wa pili wa ndoa

    Siku mbili tangu ziibuke taharuki na malumbano katika Mtaa wa Mabibo Wilayani Ubungo Jijini Dar es salaam baada ya nyumba zaidi ya nne na fremu zaidi ya tano kuvunjwa licha ya Mahakama kutoa zuio kwakuwa eneo lina mgogoro kati ya Mume na Mkewe. Anayedaiwa kununua eneo hilo amerudi tena na...
  5. JamiiForums Tanzania Deschamps ashangaa Mbappe kuipotezea Ufaransa upande wa pili akubali kuichezea Real Madrid

    Kocha wa Timu ya Taifa ya Ufaransa, Didier Deschamps amesema ameshangazwa na uamuzi wa Kylian Mbappe kuomba kupumzishwa katika Timu ya Taifa ili awe fiti baada ya kupona majeraha lakini mchezaji huyo ameonekana akicheza klabu yake ya Real Madrid. Mbappe (25) alipata majeraha ya thigh injury...
  6. M

    JamiiForums Tanzania KERO Singida: Wakazi wa Sabasaba Singida Hatuna maji wiki ya pili sasa

    Habarini wanajukwaa... Takribani wiki ya pili sasa Tarura walikuja kutifua barabara kwa ajili ya matengenezo ya barabara zilizopo eneo la Sabasaba Manispaa ya Singida. Kama wananchi hatupingani na shughuli za maendeleo zinazoletwa na Serikali ya mkoa shida ni kwamba wazee wa kazi walivyokuja...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Iran Lebanon apoteza jicho moja kwenye mlipuko, jicho lingine lajeruhiwa vibaya, apelekwa Iran Kwa matibabu

    Wadau hamjamboni nyote? Balozi huyo nayeye alikuwa na karedio kamasiliano yaani pager na kilipobipu kwa takribani sekunde 10 akakisogeza usoni Ili asome ujumbe na Mlipuko ukatokea na kuondoka na jicho lake Taarifa kamili hapo chini: Hassan Ammar) Mojtaba Amani, the Iranian ambassador to...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Huyu Mama leo hii akipatwa na msiba wa mtu wake wa karibu, hizo comments mitandaoni, zitakuwa ni msiba wa pili kwake

    Watu wakiwa kwenye madaraka, wanajisahau kabisa kuwa nao ni binadamu tu kama wengine na yote yanayowapata binadamu wengine (magonjwa, vifo, n.k), na wao yanaweza kuwapata wakati wowote wakiwa madarakani na hata baada ya kuondoka madarakani. Ni bahati mbaya sana, huyu Mama anaongea utadhani yeye...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wa Simba wanashushwa viwango na washirikina

    Wachezaji wetu wanakuja wakiwa wameacha historia kwao, Simba iliwasajili kutokana na Ubora wao, lkn huwezi amini jamaa wakianza t kuitumikia Simba uwezo unaporomoka kidogo kidogo. Joshua Mutale ni moja ya viungo hatar kabisa ukanda huu lkn ameanza taratibu kuonekana Saido aliyechangamka...
  10. JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba Billnass ni chaguo la pili la Nandy baada ya Ruge Mutahaba kufariki

    Huu ndo ukweli... Mdogo wangu Bilnass ajue kuwa Nandy alikuwa Dem wa Ruge. Sasa mwamba alivyo tangulia ndo hivi sasa...Show zimekuwa nyingi baada ya Ruge kuwa marehem. Sasa namtizama Nandy kwa unafki kwa Bilnass na huku namtazama Billnass Kwa kumuonea aibu kama second choice... Any way ndo...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Mweye taarifa official atusaidie kuhusu oral Interview ya TABIBU DARAJA LA PILI (Clinical Officers) kuhairishwa

    Kuna habari zinasambaa kuwa interview ya tabibu daraja la II (Clinical Officers ) imehairishwa mpaka Ijumaa tarehe 13/9/2024. Mwenye uhakika na tarifa hiyo atusaidie with evidence.
  12. JamiiForums Tanzania Nilimsomesha chuo akaniacha na kwenda kuolewa mke wa pili

    Nilimsomesha CHUO akaniacha na Kwenda kuolewa MKE wapili! Nilihangaika mpaka nikamlipia ada. Kipindi hicho, mimi nilikuwa nimemaliza diploma, yeye alikuwa anasoma digrii. Katikati ya masomo, baba yake aliyekuwa anamsomesha alifariki, hivyo kama mwanaume, kwa kuwa yeye hakuwa ameanza kufanya...
  13. JamiiForums Tanzania Mafinga: Wafanyabiashara wagoma kufungua Maduka siku ya pili baada ya Halmashauri kuwapangia kodi kubwa ya pango

    Mgomo wa wafanyabiashara katika Soko Kuu la Mafinga lililopo Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa wa kufunga maduka, umeingia siku ya pili leo Agosti 24, 2024 ukisababisha adha kwa wananchi kukosa huduma. Mwananchi limefika sokoni hapo na kushuhudia milango ya maduka hayo imefungwa huku baadhi ya...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yaripoti Kisa cha pili cha Mgonjwa wa MPOX

    Wizara ya Afya imethibitisha kisa cha pili cha Mpox katika kituo cha mpakani cha Malaba katika Kaunti ya Busia. Katika taarifa yake siku ya Ijumaa, Katibu wa Baraza la Mawaziri la Afya Dkt. Deborah Barasa alitangaza kwamba mtu husika, dereva wa lori mwanamume mwenye historia ya kusafiri hadi...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

    My Take Cheo ni dhamana, maisha yaendelee 🙏🙏👇👇 === Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi, utenguzi na uhamisho wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt, Moses Kasiluka, viongozi hao ni kama...
  16. JamiiForums Tanzania Mwalimu wa St. Doroth (Tabora) ashtakiwa kwa kumnajisi Mwanafunzi wa Darasa la Pili

    TABORA - MWALIMU Dotto Elias (29) wa Shule ya mchepuo wa Kiingeza ya Mtakatifu Doroth iliyopo maeneo ya kidatu Manispaa ya Tabora anayedaiwa kumnajisi mwanafunzi wa darasa la pili chooni amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Tabora. Akisoma mashtaka hayo jana Agosti 15, 2024...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Maisha ya ndoa na familia

    Sehemu YA kwanza *(Uandishi wangu si mzuri sana) Jina langu ni Vintage1q. Nimezaliwa mwishoni mwa miaka YA themanini na kukulia ughaibuni kwa takribani miaka 12. Nimezaliwa katika familia YA hali YA chini kabisa na mimi nikiwa ndo mtoto wa kwanza wa kiume. Kukulia na kuishi ughaibuni kwa miaka...
  18. JamiiForums Tanzania Ili la Fadlu David Simba litawacost mnoo. Huwezi kucheza Pre season ya pili na Telcom inayopigania isishuke kutoka Ligi daraja la pili.

    Nilishaonesha sana Ubovu wa kitwakimu huyu bwana akisimamia timu mara 7 tofauti. Simba wanabaki kumpamba tu kwenye media haita badili kitu kuhusu uwezo wake. Kinachomfanya aombe Timu mbovu sio kukosa timu nzuri bali ni muoga wa mechi kubwa. Ona Fadlu Sio kocha huwezi cheza na timu inayocheza...
  19. JamiiForums Tanzania Swali kwa Malegendary, hivi unapotaka kuoa mke wa pili, mke mkubwa unamuweka sawa vipi?

    Hili ni swali kwa Malegendary na kwa wanawake smart kichwani, hivi imefika hatua mwanaume unaona dhahiri kwa sababu zako binafsi na za msingi mke wako apate msaidizi, ni mistari gani ambayo mwanamke anaimbishwa mpaka anatowa kibali? Tafadhali hii siyo thread ya mahubiri, tujikite kwenye mada...
  20. JamiiForums Tanzania Usimpe nafasi ya pili mwanamke aliyekusaliti: Soma yaliyonikuta, unaweza jifunza kitu

    Habari ya mchana wana jf Mimi ni miongoni mwa member wachache ambao hatupendi kutoa mikasa yetu humu jf lakini kwa hili lililonipata nimeona tushare tunaweza jifunza vitu flani. Mimi nina miaka 27, nilikua na mpnzi wangu ambaye tulianza uhusiano 2022 yeye sasa ana miaka 21, na pia yeye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…