pili

The arrector pili muscles, also knows as hair erector muscles, are small muscles attached to hair follicles in mammals. Contraction of these muscles causes the hairs to stand on end, known colloquially as goose bumps (piloerection).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nigeria inakuwa nchi ya Pili duniani kuridhia majaribio ya Chanjo ya Malaria baada ya Ghana

    #Nigeria imekuwa Nchi ya pili duniani kuidhinisha majaribio ya Chanjo mpya ya #R21Malaria iliyotengenezwa na Wanasayansi kutoka Chuo Kikuu cha Oxford, Uingereza. Majaribio ya kwanza yamefanyika #Ghana. Mkuu wa Idara ya Kitaifa ya Chakula na Dawa wa Nigeria, #MojisolaAdeyeye, amesema Chanjo hiyo...
  2. JamiiForums Tanzania Ukiwa shabiki wa pili lazima ujue vitu hivi vitatu..

    Salaam wasalaam. Ukiwa shabiki wa pili lazima ujue vitu hivi vitatu.. KUSHINDA KUFUNGWA DROO ukishajua hivi kamwe hautaumizwa na matokeo yeyote. Ndo maana mpira nime ufanya ni starehe kama sterehe zingine. Siwezi nikaumia kisa mpira. Siwezi nikagombana kisa mpira. Daima sitauwamini mchezo...
  3. JamiiForums Tanzania Mkoa wa Kumamoto nchini Japani waadhimisha miaka 7 tangu kutokea kwa tetemeko kubwa la pili la ardhi

    Inatimia miaka saba leo Jumapili tangu tetemeko kubwa la pili la ardhi kuutikisa mkoa wa Kumamoto unaopatikana kusini magharibi mwa Japani. Tetemeko hilo lililokuwa lenye kiwango kikubwa zaidi cha saba kwenye kipimo cha matetemeko nchini Japani lilitokea katika mji wa Mashiki Aprili 16 mnamo...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia na awamu ya pili ujenzi wa sekondari za kata zote nchini

    Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Deogratius Ndejembi, amesema serikali imedhamiria kujenga shule za sekondari katika kata zote nchini awamu ya pili. Alisema shule hizo zitajengwa katika halmashauri zote 184 nchini na kila halmashauri itapata...
  5. JamiiForums Tanzania Lakini si tulikubaliana kuwa tukiwachokoza kwa mara ya pili ndipo mtutukane?

    Sasa shida ni nini mpaka mnakiuka utaratibu? The storyteller wenu nimefall in love kwa kabinti kadogo dogo ka QT. Kutokana na mitego kaliyokuwa kakinielekezea, ya kufunga khanga vibaya mbele yangu, kujikwaa huku akitoa mgugumio wa maumivu ya ukuni, vibodi vyake vya v pana, bila kusahau mbususu...
  6. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yesu Wa Tongaren Asema Hakuna Palipo Andikwa Katika Kitabu Takatifu Kuwa Atasulubishwa Mara Ya Pili

  7. JamiiForums Tanzania Uraia Pacha na Uraia wa Pili (Dual and Second Citizenship)

    Tofauti kati ya Dual na Second Citizen Mtu anaweza kuwa na uraia wa nchi tofauti mbili (dual au Second Citizen) au hata zaidi ya hapo kama nchi ambazo ana uraia zinaruhusu mtu kuwa na uraia zaidi ya nchi moja. Uraia Pacha: Muhusika anatambuliwa na nchi zote mbili, analipa Kodi na hata kufanya...
  8. JamiiForums Tanzania Natafuta Mkulima wa Pili pili kichaa aina ya African Birds Eye (ABE)

    Hello Habari! Mwenye connection na wakulima wa Pili pili kichaa zile kali fupi nyekundu aina ya African Birds Eye chill (ABE). Please naomba unicheki.
  9. JamiiForums Tanzania Baada ya Yanga kutinga robo fainali kwa kishindo, timu zilizoshika nafasi ya pili kwenye makundi yao zinahaha kumkwepa

    Nimepenyezewa za chini ya kapeti. Zile timu zilizoshika nafasi ya pili kwenye makundi yao zinapishana pale HQ za CAF. Lengo lao eti CAF ichengeshe draw Ili wasikutane na miamba hii ya hapa Bongoland. Kuna wengine mpaka wakaamua kuwaconsult maofisa na mashabiki wa Ile timu iliyopigwa nje ndani...
  10. JamiiForums Tanzania Endeleeni Kujidanganya kuwa mtakacheza nao nafasi ya Pili ni timu dhaifu

    Yaani Wanafunzi Wote mmefaulu kwa kupata Division I halafu kwa Upumbavu wako usio hata na Aibu unajiona Wewe ni Bora kuliko Wengine. Kuna Watu mnaugua Akili sana tu!!
  11. JamiiForums Tanzania Wanaume, hawa wanawake walindwe huko walipo dhidi ya lile kundi la pili

    Sabato njema. Sitaki porojo la kuandika maneno mengi, weka bundle wasikize mwenyewe. No. 1
  12. JamiiForums Tanzania Mliotoa Ripoti ya Pili Ajali ya Precision Air wenye Akili tunajua Mamlaka imekwepa Uzembe wake na kutupa lawama kwa Marubani waliokufa

    Nimezipitia sababu zenu nane katka Ripoti yenu ya Pili mliyoitoa leo na kugundua kuwa, japo mmezunguka sana ila ukituliza kichwa ni kama vile 98% ya lawama mnazielekeza kwa Marubani ambayo bahati mbaya pia walifariki dunia siku ya ajali. Kama GENTAMYCINE baada ya ajali nilijitahidi kutafuta...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini wazazi wengi wa kiislamu hasa wa kike hawataki watoto zao kuolewa mke pili

    Wakati wa mwezi mtukufu wa ramadhan unakaribia vijana wanavuta jiko na wengine wanaongeza mke wa pili,tatu mpaka wa nne kama dini inavyoruhusu. Kuna tukio limetokea juzi mama wa binti ni muislam Safi tu na mumewe ni shekh mkubwa Ila mama wa binti amekataa mtoto wake kuolewa mke wa pili, Je hii...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Kwa ushindi huu wa Simba, Raja hawawezi kupanga kikosi cha pili, hivyo Simba mjipange

    Ushindi huu mkubwa walioupata Simba ni furaha kubwa kwao leo hiii, ila huko Morroco unaweza kuwagharimu. Sababu moja kubwa ni kuwa, kama Raja walikuwa wanaichukulia poa Simba , sasa watalazimika kubadili mtazamo na kuikabilli Simba kama vile wanasaka point tatu muhimu japo wameshafuzu. Muda...
  15. JamiiForums Tanzania Nimeota Simba atapigwa 5 ila atafanikiwa kurudisha kipindi cha pili, Sijajua ni kati ya Horoya au Raja Casablanca

    Wakuu, Hii ndoto nimeota mtu kapigwa 5 then zikarudi kwenye secons half, Japo sijajua ni mpinzani yupi kati ya Horoya au Raja Casablanca. NB: Ni ndoto tu, No guarantee.
  16. JamiiForums Tanzania Kuweka appointment Ubalozi wa Ujerumani kwa mara ya pili (Rebooking appointment)

    Habari! Naombeni mawazo ya nini nifanye kuweza kubook appointment ubalozi wa ujerumani kwa mara pili. Niliweka appointment ya kwanza wakasema kuna document ya muhimu sina (blocked account) nifungue alafu nibook appointment tena. Nikijaribu kubook appointment inaniletea huu ujumbe 👇🏽👇🏽 "the...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nilidhani ningefika nao upande wa pili lakini ajali zinatokea

    Rais Samia amesema Waziri mmoja amedondoshwa kwa kuwa ni kawaida kwenye safari kuna ajali zinatokea. Amesema hayo katika hotuba yake baada ya kuwaapisha wateule wake aliowateua hivi karibuni. Rais amesema alitamani team yake ya awali amalize nayo hadi kufika ngwe ya pili (Muhula wa pili wa...
  18. JamiiForums Tanzania Simba tutamaliza Nafasi ya pili kundi C

    March 7, tunachukua point 3 Vs Vipers pale kwa mkapa. Tutafikisha point 6. Hiyo siku kama Horoya watajitahidi sana, watavuna point 1 Vs Raja. Watafikisha point 5. March 17, Horoya kwa mkapa hatoki. Tunavuna kwake point 3. Tutakuwa na jumla ya point 9. March 23 najua tutapoteza kwa Raja, ila...
  19. W

    JamiiForums Tanzania Kwanini ni nadra viongozi wetu kuzindua miradi bila kusikia, 'kwa Afrika huu ni wa kwanza, pili au tatu?'

    Hili jambo kwa muda nimekuwa nimekuwa nikilishuhudia mara kwa mara pale viongozi wetu wanaposhughulika na miradi yetu na vyombo vya habari kuwasogelea. Binafsi sijisikii kuipenda sana hii tabia. Hata Ayoub Riyoba nimemsikia leo anasema SGR yetu ni ya kwanza kwa Afrika. Kwanini hivi...
  20. JamiiForums Tanzania Nikki wa Pili alishawahi kumdhihaki MUNGU kisa Mwanamke

    Malipo ni hapa hapa. Ulimbukeni wa kupata mwanamke mzuri, ulimfanya Nikki wa Pilli kusema, "Mwanadamu wa kwanza kuumbwa alikuwa ni mwanamke, na sio mwanaume kama Biblia inavyosema" - hio ilikuwa ni 2019. Watu wengi walijaribu kumkanya afute kauli yake -akiwemo Bill Nas na Pastor Mmoja hivi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…