picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Uwepo wa asali katika picha ya Ikulu Mbowe alipokutana na Dkt. Samia ina maana gani?

    Heri ya Mwaka Mpya wana JF nyote. Nimekutana na picha ikimuonesha mwenyekiti wa CHADEMA bw. Freeman Mbowe akizungumza na Rais Samia lakini baada ya kuiangalia sana nimeona kwenye mandhari ya nyuma ya picha kumewekwa chombo chenye asali ndani yake. Nimejiuliza maswali mengi bila majibu. Kwa...
  2. JamiiForums Tanzania PICHA: Asali imelambwa lazima

  3. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Kiongozi wa ACT Wazalendo akijifanya mwema kwa raia kumbe ni mchumia tumbo tu

    Anatafuta kick
  4. D

    JamiiForums Tanzania Mashaka makubwa kuhusu ujio wa ndege kubwa duniani Antonov 124 iliyotua na kuondoka KIA Desemba 22

    Kuna ndege kubwa sana ilitua na kuondoka uwanja wa ndege wa Kilimanjaro tarehe 22 December! Ndege ile ni miongoni mwa madege makubwa matano tu duniani (MAXIMUM S AIR CARGO) inaitwa Antonov AN -225 Dege hilo kama likiamua kubeba watu basi ni wastani wa watu siyo chini ya elfu tatu na zaidi...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini kalenda za Hayati zinanunulika sana kuliko zenye picha ya Rais?

    Kama mjuavyo katika kipindi hiki Cha mwisho na mwanzo wa mwaka vijana wengi hujishughulisha na uuzaji wa kalenda zilizonakishiwa kwa sura na picha mbali mbali. Mojawapo ya picha ambazo zimezoeleka kupamba kalenda hizo ni picha mbali mbali za viongozi wa kitaifa, ambapo wanunuaji hununua...
  6. JamiiForums Tanzania IGP Wambura na Jeshi lako, Kurusha Picha za "Wanawake wafanyabiashara ya Ngono", mitandaoni, ni Uvunjaji wa haki za Mwadamu... hatua zichukuliwe.!!.

    Mimi sitoongea sana, kwakua kilichotokea kinajulikana na tumeona. Mtuhumiwa lazima Alindwe, kitendo cha Askari wako wajinga wajinga kujichukulia sheria mkononi, kupiga picha hao Wanawake na kuanza kuwasambaza mitandaoni kwa Sura, Majina, na Kabila, ni kitendo cha ajabuu , cha kudhalilisha na...
  7. JamiiForums Tanzania Kuweka picha ya profile tofauti na jinsia yako

    Habari za leo wadau... Hivi kwann unakuta member wa kiume ila kaweka picha ya kike & vice versa. lengo haswa ni nn? Na picha nazozungumzia hapa ni zile za kutega kama kiuno chenye shanga au dem kajibinua.. Hivi wakikufata dm kukutongoza utaona ni dharau? Najua kuna wengine ni matapeli huku wako...
  8. JamiiForums Tanzania Picha ya Messi akibeba Kombe la Dunia 2022 yaweka rekodi kwenye Social Media zote

    Picha hiyo ya Lionel Messi aliyoposti kwenye ukurasa wake wa Instagram saa kadhaa baada ya timu yake ya Argentina kutwaa taji hilo, imeweka rekodi ya kuwa picha yenye ‘likes’ nyingi katika mitandao ya kijamii yote kwa jumla kuwahi kutokea. Picha hiyo ina likes milioni 67.5 imeivunja rekodi ya...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Picha ya mchezaji wa Argentina yachafua ulimwengu mzima

    Jamaa baada ya kupewa golden globe akafanya ishara Kama Ana**MBA vile mbele ya watu bilioni 4
  10. C

    JamiiForums Tanzania Nilipokosa kupiga nae Picha mlinicheka Mitandaoni, mbona Jana nimepiga nae White House na hamnipongezi?

    Mkijua Kudhihaki mjue pia na Kupongeza. Na hakuishia tu Kupiga Picha nami bali hata ile Dola Milioni 55 tuliyohaidiwa Ngozi Ngumu (Bara la Afrika) kwa anavyoipenda Tanzania Nusu yake tutapewa Sisi na Mimi kwakuwa nimeshawajua mlivyo Wanafiki wala sizileti Kwenu (siwapi) na naziweka Kibindoni ili...
  11. JamiiForums Tanzania Umegundua nini kwenye picha hizi?

    Wale wataalamu wa lugha ya picha na photorealistic mtusaidie kidogo
  12. JamiiForums Tanzania Picha yangu bora ya kufungia mwaka 2022

    Nawewe tupia yako
  13. JamiiForums Tanzania Unaona nini kwenye hii picha?

    wazee wa VAR😂😂😅😅
  14. JamiiForums Tanzania Picha yenye maelezo: Wabara milioni 59 kupata wawakilishi 20 na Wazanzibari milioni 1.8 kupata idadi sawa haijakaa sawa

    Kwa common sense ya kawaida kabisa ukitazama hii picha unapata jibu. watu milion 2 wanawakilishwa na watu 20 na watu milioni 58 nao wanawakilishwa na watu 20.
  15. B

    JamiiForums Tanzania Wasiwadanganye kwa picha wanazotupia mtandaoni, Watanzania waliokuja Qatar kwa ajili Kombe la Dunia wengi wanaishi kwa shida sana

    Toka nimekuja Qatar kwa ajili ya Mapumziko nikitokea Sweden ambako nlipitia kusalimia nikiwa nimetokea Japan kwenye meeting iliyokuwa imeanzia Usa. Nipo hapa Qatar toka tarehe 10 November. Nabadilisha badilisha Hotel maana sipendi sana mazoea na watu so kuna dada mmoja ambaye yeye huwa namtumia...
  16. JamiiForums Tanzania Picha ya Harmonize akiwa uchi na kipichu inahuzunisha sana

    Hawa vijana wanajiingiza kwenye maisha ya ushetanini. Kama ushetanini siyo Kiswahili basi tutajua, huwezi ukatoka nje na kipichu tu. Hata kama unakasoro mwilini ni siri ya ndani. Hata kama nimeachwa na nimpendaye ni siri ya ndani. Niliapa kwamba nitamshauri Harmonize na kama utaamua kuchukua...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Wazee wa 'unbeaten' tujikumbushe somo la 'map reading'. Soma picha hii kisha ujibu maswali

    MASWALI: 1. Hii picha ilipigwa wapi? 2. Huyo aliyetoa macho na kubaki mdomo wazi ni nani? 3. Kwa nini macho yalimtoka na kubaki mdomo wazi? 4. Hii picha ni ya tukio gani? Wazee wa "unbeaten" karibuni kwenye map reading!
  18. JamiiForums Tanzania Picha zikiwaonyesha Wazamiaji wakidandia meli kwa kukaa kwenye kizimba cha majembe ya kusozea meli kwa muda wa siku 11

    Watu watatu wamekutwa wamekaa juu ya kizimba cha majembe ya kusozea meli Mlinzi wa pwani ya Uhispania amewaokoa watu watatu waliopatikana wakiwa wamejiegesha juu ya ukingo wa majembe ya kusozea meli iliyowasili katika visiwa vya Canary kutoka Nigeria. Wanigeria Watatu Wapatikana Wakiwa...
  19. JamiiForums Tanzania Picha mbalimbali za Ihefu dhidi ya Yanga, zipe maneno

  20. JamiiForums Tanzania Tunga sentesi moja kwa kutumia hii picha.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…