picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. Viongozi wetu ni picha halisi ya jamii yetu

    Ndio inaweza onekana kauli ya kushangaza lakini ndio ukweli halisia kwa asilimia nyingi tu. "Viongozi wetu ndio picha halisi ya jamii yetu" Kwa asilimia kubwa viongozi wetu wanawakilisha tamaduni,malezi,tabia na fikra za watu wa jamii yetu kwa kiwango kikubwa. Vile wafikiriavyo viongozi wetu...
  2. Hii picha imenifikirisha sana, naamini hata ww itakufanya ufikiri zaidi

    Nimeipata katika pitapita zangu mtandaoni.
  3. Picha: Idadi ya HAMAS wanaojisalimisha huku wakiwa uchi yazidi kuongezeka, baada ya kiongozi wao katoweka

    Wapewe chakula kwanza maana hapo najua wanakua njaa, wameogopa kuwahishwa kwa mabikira kule akhera... Dozens of Hamas terrorists lost contact with the terror group's leadership, leaving them with no option but to lay down their weapons and surrender to Israeli forces in the Gaza Strip, Army...
  4. Picha: Jinsi magaidi ya HAMAS yanajisalimisha yakiwa uchi huku yamenyanyua bunduki

    Ndio imekua sharti sasa, kama hautaki kuuawa wakati unajisalimisha, lazima uvue nguo kisha unyanyue bunduki yako..... An apparent Hamas member with his hands up hands over an assault rifle after surrendering to troops in northern Gaza's Jabaliya, on December 7, 2023. (Social media: used in...
  5. Picha mpya ya Yesu yamuonesha akiwa kwenye maporomoko ya majengo yaliyosababishwa na mayahudi

    Picha hiyo ilizinduliwa rasmi kwenye misa ya Jumapili iliyopita mjjini Jerusalem alipozaliwa nabii Issa a.s (Yesu) ambapo padri Munther Isaac alisema huo ni ubunifu wa wanafamilia wa kikristo kuungana na wenzao wapalestina kuomboleza madhila wanayopata kutoka kwa mayahudi. Akimalizia misa yake...
  6. Tupia picha zinazoonesha uzuri wa nchi yetu ya 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿

    Mi naanza na My Motherland 🇹🇿 🇹🇿
  7. F

    Tutegemee nini kama hii picha ikimuonesha waziri mkuu na Lengai Ole Sabaya wakifanya mazungumzo ni ya kweli?

    Kama hii picha ni ya siku za karibuni yaani baada ya Sabaya kutoka maabusu, basi watanzania tuna kila sababu ya kujawa na hofu kubwa kuhusu uongozi wa nchi yetu na mustakabali wa nchi yetu!
  8. Picha: Ni kama Wana Israel wakivuka bahari ya Shamu

    Mambo CCM inapenda kuyaona, hawa viumbe wa CCM hawataki waone unapata raha hasa wewe mlipa kodi utapigika kisawa sawa
  9. Picha: Taifa limepata faraja inayostahili toka kwa Rais Samia

  10. Tazama picha hii vizuri ugundue viongozi wetu walivyo waoga

  11. Serikali kwanini inaficha picha za Katesh, Hanang?

    MANYARA: Mafuriko yaliyosababishwa na Mvua zilizonyesha kuanzia Desemba 2 huko Hananga ,yameleta maafa makubwa,vifo , uharibufu wa Mali. Maporomoko ya mawe, miti , Tope kutoka Mlima Hanang yakielekea katika Mji wa Kateshi yakiwa na nguvu yamebomoa nyumba za wananchi. Lakin mpaka Sasa bado...
  12. Tovuti za ponografia(Ngono) zinaweza kutumia utambulisho kwa njia ya picha na 'Credits cards' ili kulinda watoto

    Ofcom imesema kujitambulisha kwa umri, mbinu za kulipa mtandaoni ambazo hazihitaji mtu kuwa na umri wa miaka 18, kama vile kadi ya benki, au masharti ya jumla. Tovuti zinazoonyesha maudhui ya ponografia(Video za ngono) zinaweza kulazimika kutumia ukaguzi wa kadi ya Benki na kulinganisha...
  13. Ndio naanza kupata picha kwanini HAMAS walishambulia, walijipanga sana, mahandaki 800

    Nilikua najiuliza kwanini HAMAS wafanye kitu ambacho kimekuja kuwaletea hasara mara mia na kusababisha wafutwe Gaza..... Aisei hiki kilikua kiama kwa Israel, hawa jamaa walijiandaa kwa muda mrefu sana, mpaka sasa Israel imegundua mahandaki 800 na imefumua 500, bora ishikilie hapo hapo, safisha...
  14. R

    Niwaombe viongozi wa Tanzania wapunguze picha /selfie kwenye majanga; watofautishe furaha na kilio

    Viongozi wa serikali waliokwenda Hanang hakuna kazi serious waliyokwenda kufanya; Jeshi limetekeleza wajibu wakuokoa Raia viongozi wametekeleza wajibu wakupigwa picha na vyombo vya habari. Picha za viongozi zinazosambaa zimezima kabisa coverage ya uharibifu uliofanyika. Naamini wapo viongozi...
  15. Picha: Wazungu washindwa kuchomoa ndege iliyotua majini. Sisi tulivuta kwa kamba maisha yakaendelea

    Dege la kivita limetua majini nchini Marekani toka Novemba 20, wiki mbili sasa. Ni baada ya rubani kupitiliza runway ya uwanja kama Precision ya Bukoba Sasa wanasema wanahitaji mamilioni ya dollar kuichomoa, na ukisoma hiyo article bado wanajadili njia muafaka ni ipi Sisi tulivuta kwa kamba...
  16. Manyara UPDATE: Waliofariki kwa Mafuriko Wilayani Hanang wafikia 80 na Majeruhii 133

    Serikali imetoa taarifa kuhusu maendeleo ya hali baada ya maafa ya maporomoko ya tope, mawe, magogo na mawe kutoka mlima Hanang Wilayani Hanang Mkoa wa Manyara, ambapo imesema hadi kufikiasaa 6:00 mchana leo December 08,2023 idadi ya vifo imefikia 80 (Watu wazima ni 48 wakiwemo Wanaume 19 na...
  17. Picha ya kufungia mwaka hii hapa

    Huyu hapa ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema , akiwa na Askari baada ya kumaliza Mkutano wa Hadhara kwenye Jimbo la Kilolo, Mkoani Iringa. Toa maoni yako.
  18. Unaelewa nini ukiangalia picha hii ya Gigy money?

  19. Majura, Askari wa Kituo cha Mabatini-Kijitonyama anayefanya kazi akiwa amelewa

    Huyu Askari anafahamika kama Majura yupo Kota za FFU Mombasa karibia na shule ya msingi. Nae alikuepo kwenye kikosi kinachovamia bar na bunduki kutafuta mabinti wanaojiuza. Huyu Askari huwa yuko chakari (kalewa) muda mwingi wa kazi na hata boss wake wa Mabatini anajua na hajawahi kumchukulia...
  20. Picha bandia za akili mnemba (AI) zilivyotumika kuwadanganya waarabu mpaka wakaanza kuandamana

    Tatizo uwongo huwa haudumu, hizi picha bandia za kutengenezwa kwa kutumia Aritificial Intelligence (AI) zilisambazwa sana kwenye mitandao na kusababisha Waarabu kuandamana hatimaye zimeanza kugunduliwa na wataalam. The war between Israel and Hamas has generated so much false or misleading...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…