picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Picha Za Wakimbizi zilizotrend miaka ya hivi Karibuni

    Kazi ya UN JF Kati ya Watu Milion 60 «Kuna kitu unakijua HAPO unataka wenzako tuwe wakimbizi Kukijua" Fatima Adam Muhammad fled El Geneina in June 2023 after her teenage son was killed. She and her four surviving sons have found refuge at Aboutengue refug
  2. JamiiForums Tanzania NAUZA VIFAA VYA STUDIO YA KUPIGIA PICHA (PHOTOSHOOT)

    Wadau kama heading inavyojieleza hapo juu nina vifaa vyangu kwa ajili ya kupiga picha indoor na viuza kwa bei kitonga Sana Kuna studio background yenye vitambaa vinne ambavyo ni nyeusi, nyeupe, kijani na kijivu. Soft box mbili, miavuli minne na reflector Taa NNE na fleme zake, pia vitambaa...
  3. JamiiForums Tanzania Lugha katika picha; Usinene ukamala

    Kila mtu huwa na Imani fulani kwenye haya maisha,lakini usiweke Imani kubwa kwenye battle ,yaani sehemu ambayo watu wawili ama watatu wanagombea. Leo timu kubwa yenye mafanikio,mvuto na ya maana Duniani Real Madrid inacheza leo kwenye michuano ya ligi ya mabingwa ulaya. Ikiwa imemzidi...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Hii Picha Itadumu kwa Miaka Mingi Sana Na Kuonyesha kuwa hakuna picha Ya bahati mbaya Inayopigwa Ikulu

    Ndugu zangu Watanzania, Nimewahi elezea juu ya Picha hii siku za nyuma kidogo. leo tena nimeendelea kuiangalia picha hii na kuendelea kuitafakari zaidi na zaidi na kujikuta nikiguswa sana na Picha hiyo. Embu Fikiria hapo. Kutoka pichani Mheshimiwa Balozi DKT Emmanueli Nchimbi Amependekezwa na...
  5. JamiiForums Tanzania Picha ya wiki

  6. U

    JamiiForums Tanzania Picha bora kabisa ya mwaka huu mke wa Makamu rais us na wanae wawili

    Tazameni walivyopendeza
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Huu ni kama wizi unaofanywa na Chuo Kikuu Katoliki Ruaha (RUCU) kwa Wanafunzi wake

    Chuo Kikuu Katoliki Ruaha (RUCU), ulipaji wa ada wameweka kwa awamu nne kwa mwaka, Semester ya kwanza awamu mbili na ya pili awamu mbili. Ajabu wameweka deadline ya kulipa ada na mtu akichelewa kulipa anapigwa penalty ya 50k ina maana kwa awamu zote nne akichelewa kulipa ataongeza 200k nje na...
  8. JamiiForums Tanzania Hii picha katika ulimwengu wa kiroho ina maana gani?

  9. N

    JamiiForums Tanzania PICHA: Nimetazama hii picha BAWACHA walichomfanyia Mbowe nimebubujikwa na machozi

    === FREEMAN MBOWE kama kweli wewe ni mwanasiasa lazima ujue kuyatazama matokeo kabla ya Uchaguzi, Hii game umepigwa jiondoe ubaki na heshima yako
  10. JamiiForums Tanzania KWELI Picha hizi mbili zimetengenezwa kwa kutumia teknolojia ya Akili Mnemba

  11. JamiiForums Tanzania Atakayeona picha ya Bashite kwenye video hii, atueleweshe alipo!

    Iangalie hadi mwisho!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya picha ya Mbowe na Lissu : Maria aandika hivi

    Wapendwa ushauri huu 👇🏾 “Siasa usiweke kwa moyo. Weka kwa lungs” 😀😀 Haya msinitafute baadaye na ma presha huko! Siasa za nchi zetu hizi unaweza chizika bure kumbe! Haya muwe na usiku mwema 👊🏽 ............ User mwengine akajibu hivi; Siasa za Africa 🌍 ndivyo zilivyo Wanasiasa wanatofautiana...
  13. JamiiForums Tanzania Tukumbushane "surprise" ya engagement ya Wolper (picha)

    1. Mvalishwa Pete wala hakuonyesha kustuka. 2. Huenda Hata waandishi na MC aliwalipa yeye mwenyewe. 3. UMRI ukisogea Noma sana. Unafosi kila kitu. 4. Ni kama alijivalisha Pete mwenyewe. **PICHA kwa Hisani ya MC Garab
  14. JamiiForums Tanzania Picha ya siku

    Ipe maneno hasa ukimzingatia huyo Kigaila
  15. JamiiForums Tanzania Unakumbuka nini ukiona hii picha na ulikuwa mwaka gani

    Tuadhie vitoto vya 2000 huyu jamaa alikuwa anaitwa nani na mambo yake yalikuwaje😂😂😂😂
  16. JamiiForums Tanzania Picha: Basi kuna mwanaharakati anaona wivu huko anatamani angeitwa yeye (niyeye)

    Kuna watu wanaugua nafsi zao wakimwona mjomba angu anafanikiwa katika juhudi zake za kulinda kikoba kwa wivu mkubwa. Kama mnadhani ni rahisi sana, anzisheni chakwenu. Makamanda najua mnamwelewa sana kamanda wa anga, mjomba angu. Makamanda msiache kutoa hela za uanachama, lipieni kadi zenu...
  17. JamiiForums Tanzania Tunga sentensi yeyote kuhusu hii picha.

    😃😃😃😃😀😀😃😃
  18. JamiiForums Tanzania Picha: Mbowe akiwa na watu wake wa karibu ambao wanajulikana kama "machawa" wake

    Hawa ni watu wa karibu zaidi wa mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe ambao kama atashinda basi atavuka nao kama watu wake wa mkakati. Hawa kama hamjui ndiyo walipewa dili la Join The Chain kufyatua na kusambaza kadi za kielektroniki ambapo walikula mgao mnene. Hili ni moja ya madili...
  19. JamiiForums Tanzania Hii picha nimeona ameposti shabiki wa Yanga

    Angekua amepost shabiki wa Simba ningejua anamaamisha simba anaonea huko madogo maana yeye ni timu kubwa. Ila kwakua ameposti shabiki wa yanga anamaanisha Simba anacheza kombe la watoto (kubwa jinga).
  20. JamiiForums Tanzania Picha: Jameni Wakorea wanaoisaidia Urusi wanafyekwa hadi huruma

    Wanaisha jameni, yaani kiduku wa Korea Kaskazini anawarubini watu wake wanafia kwenye nchi ya watu kwa ajili ya ugomvi usiowahusu, nakumbuka hata wavaa makobaz wa kutokea Syria na kwingine walijaribu wakafyekwa wote.... Mrusi aachwe hiki alichokianisha kiendelee kumtokea puani. Ukrainian...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…