picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hii ndio picha Yako rasmi, endelea kurinha, tunakucheka kwa dharau

  2. JamiiForums Tanzania Hii Baiskeli ya rushwa imetolewa ili watu wamchague flani kwenye uchaguzi hii ni rushwa

    Hii Baiskeli ya rushwa imetolewa ili watu wamchague flani kwenye uchaguzi hii ni rushwa. Kama mtu anaweza kutoa rushwa kama hivi ili achaguliwe inamaana yeye ni rushwa rushwa tu kwenye maisha yake anaweza kupokea rushwa pia anaweza kuuza rasilimali za nchi. "Mimi sitaki rushwa na ninapinga kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Mpiga picha nzuri anahitajika

    Habari, nahitaji mpiga picha mzuri aje ofisini kwetu kuwapiga picha staff wakiwa kwenye uniform .Hizo picha zinahitajika na ofisi zitumike kwenye marketing. Idadi ya picha ni nne tu Tupo mikocheni 0679464974
  4. JamiiForums Tanzania Katuni hii ya CCM inakupa picha gani?

  5. JamiiForums Tanzania Katuni hii ya Samia na Polepole inakupa picha gani ?

  6. N

    JamiiForums Tanzania Ebu fikiria hizo kelele Zingezo pigwa kama Huyo Muafrika Angeanza chini kwenye picha

    Na bado tungepiga kelele kwanini wamuwe kichwani mdomoni na wanajua kabisa huyo ni Mamba🤣😁
  7. JamiiForums Tanzania Tetesi: Pamoja na Mchungaji Msigwa kubeba picha ya Samia na kuukana Msalaba bado kakatwa

    Tunajua kwamba Mch Msigwa alichukua kozi ya week tatu kusomea uchungaji. Tunafahamu tena pasipo shaka elimu ya Msigwa juu ya theology ni ndogo sana na ikitokea akaenda katika makanisa ya kueleweka labda atapewa nafasi ya kufundisha watoto wadogo kuimba na kucheza. Kwa hakika Mch Msigwa hawezi...
  8. JamiiForums Tanzania Picha: Tani Boy kaharibu

    Kaambiwa weka gari pale kaweka mtaloni😂
  9. JamiiForums Tanzania Affordable Servant Quota Design Ya Vyumba 3. PICHA ZA SITE DOWN

    Sio kila mtu huanza na nyumba kubwa — wengine hujenga ndoto kidogo kidogo. Hii servant quota design ni ndogo, affordable na imebeba kila kitu unahitaji: Master bedroom (self-contained) Chumba cha pili (self) Chumba cha tatu kinatumia public toilet Sebule ya kustarehe, dining, na jiko Hii ni...
  10. JamiiForums Tanzania Picha: Iran yaonyesha namna inaweza kutumia nyuklia kuifuta Israel, hivyo inapaswa kupigwa kila inapojaribu kupata nyuklia

    Mshauri mkuu serikalini aonyesha picha ya namna ya kuifuta Israel kwa kutumia mabomu mawili ya nyuklia, hizi ndio sababu kwa nini hao magaidi wa waislamu hawapaswi kumiliki silaha zozote zenye maangamizi makubwa, maana adhimio lao kuu huwa kumaliza Wayahudi. Kila wakipanga kujihami kwa nyuklia...
  11. JamiiForums Tanzania PICHA: Nilichoshuhudia ni ishara mbaya sana kwa jamii

    Asalaam alykhum. Tumsifu Kristu. Kuna lile tukio lilitokea kule Serengeti (kama sijakosea) la simba dume kutongozana na kuanza kufanya ufuksa. Basi leo siyo Serengeti ni mjini kabisa hapa Zanzibar, nikiwa napelekwa kupumzika kule Pwani mchangani kufika eneo moja la jeshi karibu na chuo cha...
  12. JamiiForums Tanzania Mtoto wa nyoka ni nyoka. Tazama picha.

    Watoto walimsalimia baba akiwa gerezani. Baba Alivyotoka, akajikuta anarudi tena gerezani ila mara hii kumsalimia mwanae.
  13. JamiiForums Tanzania Hii picha imenifikirisha sana

    Huyu wa kushoto amekaribishwa na huyu wa kulia katika nchi yake bila shurti ya maelekezo ya kufuata utamaduni wake na itikadi yake na baada ya muda atafanya maandamano kushinikiza tamaduni yake ifatwe ingawa yupo ugenini na kwa bahati yake nzuri atasikilizwa. ILA, Huyu wa kulia akienda kwenye...
  14. JamiiForums Tanzania Nimeona hii picha nikakumbuka wale jamaa wa OYA

    Aisee kausha damu sio cha mtoto🤣🤣
  15. JamiiForums Tanzania Mkeo kumtumia kaka yake picha ya damu ya blidi,je ni sahihi?

    Mkeo ana tatizo la kutokwa damu muda mrefu sana,Siku ya siku ya anakwambia ameamua kumtumia picha ya damu kakaake ili ajue madhila anayopitia, Huamini unaamua kuchukua simu yake ili ujionee mwenyewe kweli unakutana na picha sambamba na ujumbe unaosema "Hii ndio hali ninayopitia dada yako kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Simba SC mlituambia kuwa Elie Mpanzu ana Miaka 22 sasa ila leo katupia Picha yake akiwa na Mwanae mkubwa wa Kiume na Wajukuu Wawili

    Kama kuna Kitu kinachoniuma kwa Simba SC yangu hadi sometimes huwa naamua hata Kuisusa na Kuinanga vibaya sana Mitandaoni ni Viongozi wa Simba SC na hasa Msemaji wa Simba SC kuwekeza zaidi katika Propaganda (Kudanganya) Mashabiki. Mlisema kuwa Mchezaji Elie Mpanzu ndiyo Kwanza sijui ana Umri wa...
  17. JamiiForums Tanzania Wataliban wa Mbagala basi wakiona hii picha wanapepesuka balaa

  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Picha: Kinachoendela Kenya kinatisha, Gen Z wapanga kuandamana kwa siku 7 mfululizo

    Hawa Gen Z wanateketeza nchi yao na hashtag yao ya #RutoMustGo
  19. JamiiForums Tanzania Picha inazungumza zaidi kuliko maneno; Tizama picha na sema umeelewa nini ?

    Tafakari kuhusu kauli ya Rais Samia aliyoitoa mwishoni mwa juma katika uzinduzi wa kanisa la Mwamposa 'Arise and Shine' kwamba Bosi wake ni Kikwete ilivyoibua mijadala. Ikumbukwe kuwa Rais ndio Mkuu kabisa wa Nchi ambaye anapewa madaraka na wananchi.
  20. JamiiForums Tanzania Katuni hii ya Rais Samia na mzee Kikwete inakupa picha gani ?

    ?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…