picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wananchi wa Tabora wakataa kupokea mwenge ulionakshiwa na picha ya Rais Samia

    Huko Tabora, mkuu wa mkoa acharuka kuwatishia wananchi kuhama kwenye mkoa huo kisa kukataa mwenge ulio na picha ya Rais Hii inaleta maana gani kwa Wananchi kuanza kukataa jambo la kitaifa, sababu tu linafungamanishwa na siasa za ccm? Ni kwamba, Rais hakubaliki sasa...! Ama wanataka kuona...
  2. JamiiForums Tanzania Picha: Maeneo mbalimbali ya Tanzania

    Wakuu, kama kuna picha za maeneo mbalimbali za Tanzania naomba tuje kushare hapa tupate kuona mandhari mbalimbali ya Tanzania Post kuanzia miji, vijiji hadi vitongoji. Naanza 1. ARUSHA Hapo ndio Chuga 2. MWANZA Jiji safi kabisa kutoka kanda ya ziwa 3. MBEYA Jiji zuri la nyanda za juu...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini picha hii sio halisi?

    Taja sababu moja tu ambayo haina maelezo mengi
  4. U

    JamiiForums Tanzania Pichani mshambuliaji wa Yanga Clement Mzize akiwa dukani kwake akiomba wananchi wamuungishe

    Mfike Kuungisha Wananchi๐Ÿ™
  5. JamiiForums Tanzania Ebu jaribu kukomenti uchambuzi mfupi mfupi kulingana na hii picha

    Mimi nitaanza: "Rafiki wa kweli ni Nafsi yako"
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 Picha: CCM aidha inakosa watu wenye akili wakaishauri au inaona Watanzania hawana akili

    Katika haya mawili. Moja ni sahihi. 1. CCM haina au haitumii washauri wenye akili imeamua kuongozwa na wasio au wenye akili ndogo. 2. CCM imegundua watanzania wengi hawana either au hawatumii akili
  7. JamiiForums Tanzania Tupia picha: Migomba na Mikungu Yako

  8. JamiiForums Tanzania Picha za zamani za black and white huwa zinanipa huzuni nikizitazama

    Mara nyingi huwa naishia tu kuziangalia karibia lisaa tu nikitafakari sana ๐Ÿ˜ข. Zinanipa hali fulani ya huzuni sio huzuni na sijawahi elewa ni kwa nini. Hata movies za Charlie chaplin hususani ile amecheza na kijana mdogo hivi ya black and white zinanipa huzuni sana.
  9. JamiiForums Tanzania Picha: Diamond Platnumz akiwa ametupia mwilini zaidi ya Tsh. Milioni 659!

    Msanii Diamond Platnumz ametupia mavazi na vito vya thamani kubwa vilivyogharimu jumla ya dola 265,259.95, sawa na Tsh. Milioni 659,171,100 akiwa ameunganishia mitindo ya kifahari kutoka Prada, Moncler, Louis Vuitton, Chrome Hearts, Balenciaga, na John Varvatos pamoja na mkufu wake wa Wasafi...
  10. JamiiForums Tanzania Ipe neno hii picha ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

    Ipe neno hii picha ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
  11. JamiiForums Tanzania Mwanaume unaomba vipi picha ya mwanaume mwenzako

    Kiukweli nimekufa moyo. Iko hivi ata kama una rafiki yako hamjaonana miaka buku usiombe picha yake iyo ni laana,unaomba picha eti umuone tu asa inakusahidia nini. Kama mtu hajataka kuposti picha yake kausha unaomba picha ya nini?
  12. JamiiForums Tanzania Hii picha ya Rais Samia imenibubujisha machozi ya furaha

    Wakuu Kiukweli Rais Samia anapambana sana kuinua hali za watanzania kiuchumi. Hii picha imenibubujisha sana machozi ya furaha.
  13. JamiiForums Tanzania Tafakuri ya picha

  14. JamiiForums Tanzania Bado najiuliza ni mimi peke yangu ndio nilikuwa na picha ya dj fetty kwenye simu au?

    Tuambiane maana ile picha kila sdcard lazma niirushe.
  15. JamiiForums Tanzania Kuna taarifa zinasambaa kuhusu kundi hili katia picha hii kwamba wakikutana na kuanzisha chama basi kitakuwa babkubwa

  16. JamiiForums Tanzania PICHA: Kumbe Tanzania inauza umeme nje!

    === Akiongea na wanahabari Mkuu wa Mkoa wa Kagera amesema Chini ya Rais Samia Serikali imetoa jumla ya TZS 103,376,838,198 kwa sekta ya nishati mkoani humo, ambapo vijiji vyote 662 sawa 100% na vitongoji 1,763 kati ya 3,665 (48%) vimeunganishwa na umeme, Miradi hii minne mikubwa ya umeme wa...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kutafsiri kitendo cha kupiga picha mwili wa marehemu kama udhalilishaji?

    Kuna tabia mpya imezuka nchini ya kuwalalamikia vitendo vya watu wanaopiga na ku-post picha za wapendwa wao wakiwa tayari wamefariki.....aidha wakiwa kwenye jeneza, kwenye matukio ya ajari au wakiwa mawodini... Je kuna ubaya gani mtu kuhifadhi kumbukumbu ya picha ya mpendwa wake akiwa katika...
  18. L

    JamiiForums Tanzania GE2025 PICHA: Ridhiwan Kikwete Apokelewa Kifalme na Wajumbe Jimboni Chalinze

    Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete Mbunge Wa Chalinze anayesubiria tu kuapishwa Baada ya kuwa Amepitishwa kuwa Mgombea pekee wa chama cha Mapinduzi Jimbo la Chalinze. kutokana na wanachama wengine kutochukua Fomu ya kugombea kutokana na kuridhishwa na uchapakazi wake pamoja...
  19. W

    JamiiForums Tanzania BASATA yawataka wabunifu, wapiga picha na graphics designers kuwa na kibali

  20. JamiiForums Tanzania Mwandishi wa habari aliyepiga picha hii Kenya anatafutwa na serikali ya Uganda

    Kosa ni kutumia picha ya raisi bila kuihariri na kuiongezea mivuto.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ