Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.
Serikali itusaidie kuhusu suala la kalavati sisi Wakazi wa Matosa Uzaromoni, Mtaa wa Mikumi, Kata ya Goba, Wilaya ya Ubungo Jijini Dar es Salaam, huu unaenda mwaka wa tatu sasa tangu tuombe turekebishiwe lakini hakuna kilichofanyika mpaka sasa.
Tumesharipoti kwa mamlaka mbalimbali wanatuahidi...
Niaje waungwana
Kwa sasa Trump asha panic, anagombana na kila nchi ili apate msaada wa kupambana na Iran.
Iran hii ambayo yeye (Trump) alipoingia madarakani 2016 - 2020 aliiongezea vikwazo vikali mno ili kuidhoofisha kijeshi na kiuchumi.
Iran hii ambayo maraisi wote wa Marekani, na washirika...
Punguzen haya mambo mnaonekaana vituko na usaniii
Yaan kila.mtu akienda misiba ya wakubwa anataka vid anataka picha arushe fb nani anahitaji picha zenu kwenye fb ama vid zenu
Kufika n inada uhitaji kutujuza umefika msiban mbona amtuambii na michango.mmetoa sh ngapi???
Kuna kichekesho...
Hello
Hope mko salama..
Hii kitu inanikata sana unakutana na kijana mzuri tu ila unamuuliza anasali wapi anakwambia nasali kwa Mwamposa au nasali kwa Kuhani Musa..
Anyway sio mbaya kila mtu na imani yake ila kwa upande wangu sifurahishwi na wanaume wahumini wa makanisa hayo yanayo trend na...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika Tuna Rais Imara ,tuna Rais wa Viwango ,tuna Rais Hodari ,tuna Rais shupavu ,madhubuti na Makini kwelikweli. Tuna Rais Ambaye alistahili na amesitahili kuitwa Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya ulinzi na usalama.
Tuna Rais Mwenye Hadhi ya Uamiri Jeshi Mkuu Wa...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika Tanzania Tupo level za juu sana, tupo mbali sana ,tunacheza katika anga letu linapokuja suala la mikakati na mipango. Sisi ni Taifa kubwa ,sisi ni Taifa La Mungu ,Sisi Ni Taifa Barikiwa,Sisi Ni Mpango wa Mungu.
Napata raha sana ,napata furaha sana ,nakoshwa...
Katika ishara ya upendo pamoja na hisia kali ambayo imegusa mamilioni ya watu, mchezaji kandanda wa Uhispania Ángel Martín alivua tisheti yake na kuonesha tattoo ya kushangaza. Tatoo yenye uhalisia wa hali ya juu kifuani mwake akimheshimu marehemu mpenzi wake.
Mchoro huo umebeba ujumbe mkubwa...
JamiiAI imeonesha kiwango cha juu cha usahihi, kasi, na uthabiti wa kimfumo katika utambuzi wa picha na uchambuzi wa historia ya taarifa, kama inavyothibitishwa na vielelezo (screenshots) vya mafanikio yake ya kiutendaji. Mfumo huu umefanikiwa kuchanganua taswira kwa undani mkubwa, kubaini...
Ndugu zangu Watanzania,
Kuna Faida ya Kuwa na Kiongozi Mcha Mungu ,kiongozi Mwenye Hofu ya Mungu ,kiongozi mwenye moyo wa Huruma ,upendo ,ukarimu na unyenyekevu kama ilivyo kwa Mama na Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
Kwa Hakika tumepata kiongozi wa Mfano...
Kwanza, tunajua kuwa watajwa hapo juu ni 'watu na mitume' wa kufikirika ambao, bila imani na vitisho, hawawezi kuwa walivyo. Je, sababu ni kutokuwapo na teknolojia ya picha jambo ambalo dini halikiri bali kuleta ima picha za uongo au kudai ni haramu kupiga au kuonyesha picha ya mhusika hasa...
Picha tunayoitumia kwenye vitabu haionyeshi uhalisia wa hali ya waafrika miaka hiyo ya 1905. Yaani hii picha haikufaa kabisa kuendelea kutumika. Hiyo ni picha ya kuchorwa na mkono. Picha inamuonyesha Kinjeketile kama Mtu mwenye kitambi/kiribatumbo, yupo tumbo wazi, anamduara ule kichwani...
Meneja wa Huduma kwa Wateja na Watumiaji wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Mhandisi Kadaya Baluhye, amewataka waathirika wa unyanyasaji mitandaoni, ikiwemo uvujaji wa picha za utupu, kutoa taarifa kwa Jeshi la Polisi ili wapate msaada unaostahili.
Wito huo umetolewa wakati wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.