philosophy

  1. S

    Wakuu naombeni desa la Educational Foundation kwa kozi Principles of Education, Philosophy of Education, Comparative Education, Sociology of Education

    Wakuu habarini za jioni, naombeni mnisaidie desa za Principles of Education, History of Education, Comparative Education, Sociology of Education, Philosophy of Education. Naombeni hasa zile ambazo zinatumika kama slides za kufundishia Chuo Kikuu. Natanguliza shukrani
  2. bahati93

    Tanzania ipo kwenye balehe...

    Nchi yaweza kuchukuliwa kama kiumbe ambacho kina baathi ya sifa ambazo mwanadamu anazo na sifa ambazo haiwezi kuzipata kutokana limitation ya kwamba nchi inaexist katika mind construct ( shared belief) kwamba watu ambao wapo ndani ya mipaka ambayo inaweza kuwa physical au imaginary line drawn...
Top Bottom