pesa

  1. JamiiForums Tanzania NAKAZIA: Acha ujinga, usimpe pesa mwanamke ambaye si mke au mchumba wako

    Wanaume, Acheni kutoa pesa kirahisi kwa wanawake. Wanawaona mapimbi tu mkiwapa pesa. Penzi huja automatically, halinunuliki. Unaweza kupewa mpaka maku lakini hupendwi, just unaonjeshwa tu utelezi ili akuchune zaidi. Wanaume wengi waliyodhani wanapendwa kumbe wanaliwa tu, baadaye hufilisika na...
  2. JamiiForums Tanzania Nilivyopata pesa nyingi nilipokuwa askari wa TANAPA

    Hello Nilivyomaliza kidato cha 6 kulingana na hali yangu ilinilazimu nikatae na kusitisha mipango ya kusoma chuo kikuu. Target yangu ni kufukuzia ajira za uhamiaji, TISS au PCCB. Yaani nilikuwa naota taasisi hizo tu. Sasa kulingana na maisha ya kifukara na uyatima (Mimi si yatima kabisa nina...
  3. JamiiForums Tanzania Je, ukipokea pesa kutoka nje ya nchi kunamakato ya kodi? Ni lazima ukatwe kama mtu wa mshahara?

    Nahitaji kujua ni makato gani mtu anakatwa akiwa anapokea pesa illiyotumwa kutoka nje ya nchi? Na kama yapo, anaweza kufanya nini ili pesa isikatwe sana au isikatwe kabisa akiipokea..??
  4. JamiiForums Tanzania Njia Kuu 4 za kutengeneza Pesa

    Kuna njia kuu nne za kutengeneza pesa, kutoa muda wako kwa ajili ya pesa, kutoa taarifa ili kupata pesa, kutoa bidhaa au huduma kwa ajili ya pesa na kuweka kitu au mtu kufanya kazi kwa niaba yako na ukapata pesa. Njia ya kutoa muda wako ili kupata pesa ni njia inayotumika unapoajiriwa, utakuwa...
  5. JamiiForums Tanzania Pesa isiwe kipimo cha Utu, familia na taifa litaangamia

    PESA ISIWE KIPIMO CHA UTU; FAMILIA NA TAIFA LITAANGAMIA. Anaandika, Robert Heriel Kuhani Nataka watu waelewe kuwa Maisha hayana maana yoyote Kama hautajali utu wako na utu WA watu wengine. Tafsiri sahihi ya Upendo ni kujijali utu wako na utu wa wanaokuzunguka. Koo kubwa zote zenye nguvu...
  6. JamiiForums Tanzania Mtoto wa miaka 8 aomba kazi apate pesa ya kutimiza malengo yake

    8-year-old boy applies for restaurant job to buy Xbox Nash Johnson applied to be a dishwasher at Drake's in Kentucky, (Credit: Drake's) LEXINGTON, Ky. - At only 8 years old, Nash Johnson knows the value of hard work and its rewards. This is why he had no problem applying for a job as a...
  7. JamiiForums Tanzania Serikali kama mmeweza ku-mobilize Pesa ya kumpa zawadi muokoaji Majaliwa ikapatikana, kwanini msifanye ya kununua Vifaa vya Uokoaji Majini?

    Hongereni sana Serikali ya Tanzania (chini ya CCM) kwa kupata Credits kwa Watanzania wengi (japo siyo Wote) walio Goi Goi (Mazuzu) kwa Kitendo chenu Watendaji Wakuu (hasa Premier Majaliwa na RC Chalamila) cha kufanya Mobilization ya Kufa Mtu mpaka Pesa za Kumzawadia Muokoaji Majaliwa...
  8. JamiiForums Tanzania Pesa ya Kombe la Dunia Qatar

    Pesa ya Kombe la Dunia huko Qatar 2022 hii hapa: • Winner - USD $42m (97.9b tsh) • Runner-up - USD $40m (93.2b tsh) • Third Place - USD $27m (62.9b tsh) • Fourth Place - USD $25m (58.3b tsh) • Quarter-Finals - USD $17m (39.7b tsh) • Round of 16 - USD $13m (30.3b tsh). Unashabikia timu gani na...
  9. JamiiForums Tanzania Nimeota ndoto naokota pesa

    Wakuu heri, nimeota ndoto npo na mzee anayefanana na marehemu mengi, nikawa namueleza changamoto zng za kutafuta ajira, akanpeleka kwenye ofisi moja akanambia nitafanya kazi hapo. Wakati tunarudi akawa ananipa pesa za noti elfu tano tano kwa kuzdondosha chini mi naokota, niliokota mpaka likawa...
  10. JamiiForums Tanzania Tarimba Abbas: Wezi wote wa pesa za Serikali wana jeuri hadi kwa Rais

    "....wanaoiba hizi mali za Umma si wadogo kama tunavyofikiri ni watu wazito na ndiyo maana jeuri yao si kwa Bunge pekee bali ni jeuri hadi kwa Rais." Tarimba. NB: Mtanikumbuka si kwa mabaya yangu bali kwa mazuri yangu.
  11. JamiiForums Tanzania Yanga Basi tuna pesa tunawanunua mpaka Simba?

    Kuna watu wanasema unbeaten ya kununua? Toka mwaka 2019 mechi za simba za ligi tunazinunua ? Mbona hawajashinda? Simba kwanini mnapenda Sana propaganda yaani yanga kukwama tu game moja ya kimataifa mwaka huu ndio kelele zote hizi? Hivi kwa mashabiki wa simba mlivyo na kelele Kama ndio timu...
  12. JamiiForums Tanzania Harmonize amtema Anjella, akana kumdai pesa

    Bosi wa lebo ya Konde Music, Rajab Abdul ‘Harmonize’ leo Jumamosi Novemba 5, 2022 amethibitisha taarifa za kuachana na msanii wake Angelina Samson ‘Anjella’. Angela alitambulishwa kwenye lebo hiyo Machi 11, 2021 ambapo aliachia wimbo ‘Kama’ aliomshirikisha Harmonize na mpaka sasa wimbo huo...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini wana Yanga SC na Uongozi wao haujakanusha kauli ya shabiki mwenzao kuwa ushindi wao NBC ni wa Tigo Pesa tu?

    Nimeshashuhudia wana Yanga SC wakijitokeza kwa nguvu zote kutetea kauli za kuwachafua na kuwatuhumu ila kwa hii ya mmoja wa shabiki na mwanachama wao hivi majuzi baada ya kutoka Suluhu na Club Africaine ya nchini Tunisia kusema kuwa Unbeaten Record yao na ushindi wao katika Ligi Kuu ya NBC ya...
  14. JamiiForums Tanzania Kukopa Trillion 4 ndani ya wiki 1 huku Mradi wa Bwawa la Nyerere umekwama kwa kukosa pesa si busara

    Hizo trillion 4 zinaenda wapi wakati hata pesa za miradi muhimu kabisa hakuna?! Ni kwanini tusikope fedha kukamilisha miradi strategic ambayo tumeshaianza?
  15. JamiiForums Tanzania Kwa huduma ya CRDB cardless endapo hujatoa pesa atm, transaction itaexpire kwa mda gani pesa irudi kwenye account?

    Habari ndugu zangu, niliokosea kutoa pesa kwa njia ya crdb cardless kwa kutaka kutoa 137000, kumbe ni lazma uweke katika figures za 10000, je ili pesa irudi itatumia muda gani kufika.
  16. JamiiForums Tanzania Pesa ya boom yapunguzwa

    Habari wakuu kwa wanafunzi wa continuous naona kumekua na tofauti kwnye pesa ya meal and accomodations kat ya chuo na chuo mfano wanafunzi wa udsm imepungua kutoka 524k mpaka 510k sasa hii imekaaje?
  17. G

    JamiiForums Tanzania Unawakomeshaje wanawake wapenda pesa? Ila tutafute pesa

    Wakuu, Kwanza nakubaliana na ule msemo tafuteni pesa, Bana kuna hawa gold digger yani mwanamke anapenda pesa yupo radhi akuchune mpaka senti ya mwisho, bila kujali alafu ukishiwa hataki hata umtumie sms, Wengine wanaenda mbali zaidi wanakuwambia sio type yangu🤣, Kweli hatukatai wanawake na...
  18. JamiiForums Tanzania Mwanaume kila unapoombwa pesa na mwanamke ukitoa unaonekana mjinga

    Unaweza ukajiona mjanja mbele za mwanamke kwa kumpa pesa kila anapokuomba kumbe mwenzako anakuona huna akili, unajipendekeza, mjinga, lofa. Mpe pesa mke wako, mpe pesa mama yako mzazi, mpe pesa dada yako, inatosha. Hao wanawake wengine ambao wanakuomba pesa kwa silaha ya jinsia yao wanyime kila...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Tafuta pesa acha tantalila za kizembe

    Hatuna muda wa kujadli matokeo ya sensa kizembe, oga ishu current sasa ni how do you convert some of these men and women into ur prospective customers. Review your strategies with ur business plans, re adjust several variables of exploiting opportunities. Tafuteni pesa Acheni uzembe wa kushangaa...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Baada ya kufuma messages za kumtumia muamala mchepuko, mke aja juu nae achukua kiasi cha pesa huku akiapa kutokirudisha. Busara ni kufanya nini hapa?

    Ndo hivyo wadau! Mke afuma muamala wa 20k kwenda kwa mchepuko huku msg za kushukuru na malavidavi nyingi tu. Mke akasirika na kuzama mfukoni mwa suruali ya mumewe wakati yupo bafuni na kutoka na 30k huku akijiapiza kutoirudisha hiyo kwa madai kuwa anapata tabu kumbe hela zinaenda kwa malaya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…