pesa

  1. JamiiForums Tanzania Serikali kama mmeweza ku-mobilize Pesa ya kumpa zawadi muokoaji Majaliwa ikapatikana, kwanini msifanye ya kununua Vifaa vya Uokoaji Majini?

    Hongereni sana Serikali ya Tanzania (chini ya CCM) kwa kupata Credits kwa Watanzania wengi (japo siyo Wote) walio Goi Goi (Mazuzu) kwa Kitendo chenu Watendaji Wakuu (hasa Premier Majaliwa na RC Chalamila) cha kufanya Mobilization ya Kufa Mtu mpaka Pesa za Kumzawadia Muokoaji Majaliwa...
  2. JamiiForums Tanzania Pesa ya Kombe la Dunia Qatar

    Pesa ya Kombe la Dunia huko Qatar 2022 hii hapa: • Winner - USD $42m (97.9b tsh) • Runner-up - USD $40m (93.2b tsh) • Third Place - USD $27m (62.9b tsh) • Fourth Place - USD $25m (58.3b tsh) • Quarter-Finals - USD $17m (39.7b tsh) • Round of 16 - USD $13m (30.3b tsh). Unashabikia timu gani na...
  3. JamiiForums Tanzania Nimeota ndoto naokota pesa

    Wakuu heri, nimeota ndoto npo na mzee anayefanana na marehemu mengi, nikawa namueleza changamoto zng za kutafuta ajira, akanpeleka kwenye ofisi moja akanambia nitafanya kazi hapo. Wakati tunarudi akawa ananipa pesa za noti elfu tano tano kwa kuzdondosha chini mi naokota, niliokota mpaka likawa...
  4. JamiiForums Tanzania Tarimba Abbas: Wezi wote wa pesa za Serikali wana jeuri hadi kwa Rais

    "....wanaoiba hizi mali za Umma si wadogo kama tunavyofikiri ni watu wazito na ndiyo maana jeuri yao si kwa Bunge pekee bali ni jeuri hadi kwa Rais." Tarimba. NB: Mtanikumbuka si kwa mabaya yangu bali kwa mazuri yangu.
  5. JamiiForums Tanzania Yanga Basi tuna pesa tunawanunua mpaka Simba?

    Kuna watu wanasema unbeaten ya kununua? Toka mwaka 2019 mechi za simba za ligi tunazinunua ? Mbona hawajashinda? Simba kwanini mnapenda Sana propaganda yaani yanga kukwama tu game moja ya kimataifa mwaka huu ndio kelele zote hizi? Hivi kwa mashabiki wa simba mlivyo na kelele Kama ndio timu...
  6. JamiiForums Tanzania Harmonize amtema Anjella, akana kumdai pesa

    Bosi wa lebo ya Konde Music, Rajab Abdul ‘Harmonize’ leo Jumamosi Novemba 5, 2022 amethibitisha taarifa za kuachana na msanii wake Angelina Samson ‘Anjella’. Angela alitambulishwa kwenye lebo hiyo Machi 11, 2021 ambapo aliachia wimbo ‘Kama’ aliomshirikisha Harmonize na mpaka sasa wimbo huo...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini wana Yanga SC na Uongozi wao haujakanusha kauli ya shabiki mwenzao kuwa ushindi wao NBC ni wa Tigo Pesa tu?

    Nimeshashuhudia wana Yanga SC wakijitokeza kwa nguvu zote kutetea kauli za kuwachafua na kuwatuhumu ila kwa hii ya mmoja wa shabiki na mwanachama wao hivi majuzi baada ya kutoka Suluhu na Club Africaine ya nchini Tunisia kusema kuwa Unbeaten Record yao na ushindi wao katika Ligi Kuu ya NBC ya...
  8. JamiiForums Tanzania Kukopa Trillion 4 ndani ya wiki 1 huku Mradi wa Bwawa la Nyerere umekwama kwa kukosa pesa si busara

    Hizo trillion 4 zinaenda wapi wakati hata pesa za miradi muhimu kabisa hakuna?! Ni kwanini tusikope fedha kukamilisha miradi strategic ambayo tumeshaianza?
  9. JamiiForums Tanzania Kwa huduma ya CRDB cardless endapo hujatoa pesa atm, transaction itaexpire kwa mda gani pesa irudi kwenye account?

    Habari ndugu zangu, niliokosea kutoa pesa kwa njia ya crdb cardless kwa kutaka kutoa 137000, kumbe ni lazma uweke katika figures za 10000, je ili pesa irudi itatumia muda gani kufika.
  10. JamiiForums Tanzania Pesa ya boom yapunguzwa

    Habari wakuu kwa wanafunzi wa continuous naona kumekua na tofauti kwnye pesa ya meal and accomodations kat ya chuo na chuo mfano wanafunzi wa udsm imepungua kutoka 524k mpaka 510k sasa hii imekaaje?
  11. G

    JamiiForums Tanzania Unawakomeshaje wanawake wapenda pesa? Ila tutafute pesa

    Wakuu, Kwanza nakubaliana na ule msemo tafuteni pesa, Bana kuna hawa gold digger yani mwanamke anapenda pesa yupo radhi akuchune mpaka senti ya mwisho, bila kujali alafu ukishiwa hataki hata umtumie sms, Wengine wanaenda mbali zaidi wanakuwambia sio type yangu🤣, Kweli hatukatai wanawake na...
  12. JamiiForums Tanzania Mwanaume kila unapoombwa pesa na mwanamke ukitoa unaonekana mjinga

    Unaweza ukajiona mjanja mbele za mwanamke kwa kumpa pesa kila anapokuomba kumbe mwenzako anakuona huna akili, unajipendekeza, mjinga, lofa. Mpe pesa mke wako, mpe pesa mama yako mzazi, mpe pesa dada yako, inatosha. Hao wanawake wengine ambao wanakuomba pesa kwa silaha ya jinsia yao wanyime kila...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tafuta pesa acha tantalila za kizembe

    Hatuna muda wa kujadli matokeo ya sensa kizembe, oga ishu current sasa ni how do you convert some of these men and women into ur prospective customers. Review your strategies with ur business plans, re adjust several variables of exploiting opportunities. Tafuteni pesa Acheni uzembe wa kushangaa...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Baada ya kufuma messages za kumtumia muamala mchepuko, mke aja juu nae achukua kiasi cha pesa huku akiapa kutokirudisha. Busara ni kufanya nini hapa?

    Ndo hivyo wadau! Mke afuma muamala wa 20k kwenda kwa mchepuko huku msg za kushukuru na malavidavi nyingi tu. Mke akasirika na kuzama mfukoni mwa suruali ya mumewe wakati yupo bafuni na kutoka na 30k huku akijiapiza kutoirudisha hiyo kwa madai kuwa anapata tabu kumbe hela zinaenda kwa malaya...
  15. JamiiForums Tanzania CHADEMA sio kwamba mnalazimishwa kuwa kama ACT Wazalendo bali mnakumbushwa kuwa waaminifu kwa pesa za umma

    Mnadhania pesa alizochanga Sabodo kwa ajili ya ujenzi wa ofisi haikuwa mali ya umma? Mnadhania michango mliyokusanya kwa zaidi ya miaka 30 sio mali ya umma? Kwa nini msitumie vyema mali ya umma? Kujenga ofisi ya kudumu ni dalili kuwa mna uwezo wa kusimamia rasilimali na mali za umma. Miaka 30...
  16. JamiiForums Tanzania Wazee wa jamvi - mkeka ; pesa (boom🤑) uliyomla muhindi-kanji ulifanyia nini Cha kujivunia? Njoo tutoe ushuhuda

    Ni kweli watu hushinda hadi mamilioni ya pesa Ila asilimia kubwa ya pesa hurudi kwa muhindi. Binafsi naweza kujivunia kwa kukumbuka niliwahi mla muhindi laki tatu (premier bet), Nikanunua simu mwaka 2013. Hadi leo nikipigo na kujifariji ligi haijachangamka huku kuliwa kuliwa kikubwa mno.
  17. JamiiForums Tanzania Nyie wanawake mnadhani sisi wanaume pesa tunaokota? Huyu mwanamke kwa siku 1 ananipigia zaidi ya mara 30 sipokei simu yake

    Hi! Niliwahi kuleta Uzi nikasema wanawake maskini hasa wa mjini hawana mapenzi ya dhati kwa wanaume wapenzi wao. Wengi ni kama wapo na wanaume ili watatue shida zao za kiuchumi. Watakuigizia kukuita baby mara dear ili ujisikie unapendwa lakini kwa kweli ukifulia au yeye akipata mwanaume...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Mnaosema mapenzi ni pesa "hampendwi!!". Tazama huyu aliyeyapatia mapenzi

    ...........,................................................................... UPDATES. Nimebaini kuwa mapenzi yanajengwa na mambo ya kijinga na kipuuzi kama;- -kujitumikisha kama huyo mama pichani. - kunyonya kamasi za mwenza. -kusafisha sehemu za haja kubwa za mwenza kwa ulimi, n.k. ©Kungwi...
  19. JamiiForums Tanzania Marekani ni nchi moja ya raha sana. Wakiishiwa pesa wanachapisha tu

    Ukisikia nchi ni superpower usichukulie jambo dogo. Kuna faida nyingi sana. Mfano Marekani wakiishiwa pesa wanachapisha tu na kununua vitu kokote. Wanasafiri kutalii nk. Anachofanya ni kuhakikisha anaendelea kuwa superpower na kumdunda yoyote anayeleta fyokofyoko. Ukiwa raia wa nchi kama hiyo...
  20. A

    JamiiForums Tanzania Nini unaweza fanya na pesa zilizotumika nunulia mtandao wa Twita takriban Trilioni 102 Tsh?

    Siku chache baada ya tajiri mkubwa duniani kukamilisha ndoto yake ya kumiliki mtandao wa twita wengi wetu ambao hizo namba tunaona ni pesa za kawaida ila sio hivyo kwani tukija mezani unagundua hiyo pesa ya twita tu mwamba Elon musk akiamua tumia bilioni kila siku kwenye matumizi yake, kula...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…