Nimefatilia habari za Siasa kwa kipindi che Mwezi Aprili Pekee nimeshuhudia mikutano mikubwa na maandamano ya hiari ya wananchi takribani Kanda Zote za Nchi na Mikoa mingi sana.
Tunajua Chadema sio chama tawala lakini kuuliza si ujinga.
Kuendesha mikutano Pande zote za Nchi sio jambo dogo...
"SIKU MOJA MOJA SIYO MBAYA"
Leo nimekumbuka mwaka 2020 kipindi cha Pasaka, Jijini Arusha, hapo dili la ku-design michoro ya Majengo kadhaa ya Taasisi ya Kanisa limetiki na nka kabidhiwa pesa ya Advance Millioni +.
Sikukuu ya Pasaka ilipofika mwenyeji wangu akasema twende kusherekea kwenye Bar...
Inaaminika kuwa ni ujanja kula Hela ya mtu na kukimbia na kutangaza kuwa sio taipu yangu, mshamba, kajipendekeza etc.
Spiritually ( kiroho) mtu akikupa kitu chake, ukapokea, tayari umejiunganisha naye chochote atakachotamka dhidi yako kitakupata, akikulaani, laana hiyo itakupata, hujaolewa/...
Utafiti wangu mdogo nilioufanya nimegundua, watu wanaojua matumizi ya hela akaunti zao zinasoma hela ndogo ndogo tu; kama elfu kumi, ishirini au hamsini na haizidi laki; ila kwa wale wasiojua matumizi ya pesa akaunti zao zimenona, zinaweza kusoma kuanzia milioni nakuendelea.
Hii inatafsiri...
Rais akishakuteua kafanye kazi hachana na mambo ya kumpenda Rais ni wajibu wake kuteua maana hawezi kufanya kazi mwenyewe, watu wa CCM wao kila wakati wanahangaikia uteuzi tu, Rais Magufuli yeye alikuwa anachukua pesa ya umma anawapa wapinzani wamuunge mkono.
Pia soma
Hakuna Rais aliyekuwa...
Wanajamvi naomba ushauri wenu Kwa kuwa napitia kipindi kigumu kutokana na mfumo wa maisha yangu ni kama naisi unaniangusha au nina gundu naitaji kuondoa mkosi.
Mimi sinywi pombe wala sivuti sigara wala bhangi sivuti Kwa ujumla Mimi si mtu wa mambo ya starehe na katika mfumo wa maisha...
Pesa au fedha Uzalishwa wapi??
Pesa ni chombo cha kubadilishana bidhaa na huduma katika ya watu.
Katika lugha ya kiswahili. Chombo hicho kina majina kaza wa kaza
Fedha, mshiko, chapaa, na mengine mengi
Baada ya kutafuta taarifa kwa kina hatimaye nimepata majibu ambayo wengi pia wanaweza kuwa...
Kama unasoma uzi huu basi u buheri, pole kwa wenye changamoto.
Hawa vijana wanaosajili laini za simu mitaani wamekuja na mbinu mpya kukuibia pesa.
Wanatumia app za kampuni husika, TIGO PESA APP AU MPESA APP n.k. Wanawahadaa wateja kuwaunga 5G wapate intaneti yenye kasi bure kama ofa...
Mi nimezaliwa Dar na Nimekua Dar, nimejipambania kutafuta kile Mungu amenijalia kilicho kidogo changu, Ila nafsini mwangu mi sitaki chochote Cha urithi iwe kwa Familia yangu niliozaliwa yaani kwa baba na Mama Yangu.
Ingawa sijawaeleza ndugu zangu.Kua sihitaji chochote.
Ikitokea wazazi wetu...
Nimeona wanaume wengi kwenye mitandao ya kijamii wakilalamika jinsi wanawake wa siku hizi wanavyopenda pesa, ukiwachunguza hao walalamikaji utagundua hawana hela Ila wanatamani kuoa. Hivi umewahi kuchunguza - ni katika tamaduni gani mwanaume asiye na kitu alipewa mke?
Kwa maoni yangu binafsi...
Kama mda inavyojieleza rafiki yangu anauliza njia nzuri ya kudai haki yake anauhitaji ila boss wake hajamlipa pesa week ya 3 leo toka mwezi umekishwa tunaombeni ushauri
Report za CAG zinatoka tunashuhudia hasara kwenye mashirika na pesa zinaibiwa.
Kuna haja gani ya kuendelea kuhitaji watu wenye uzoefu mkubwa kusimamia hayo mashirika?
Ndugu wanajamii forum hao watu wenye uzoefu tunaowatafuta uzoefu wao unafanya kazi gani?
Mfanyabiashara, Mohammed Dewji wiki hii alianza kampeni yake ya 'Mo Cares' akiielezea kama Moo anajali watanzania ikiwemo kuwapa zawadi washindi wataojibu maswali yake. Dewji anasema alitekwa miaka mitano iliyopita na wasiojulikana na anawashuru watanzania wote waliomuombea.
Miongoni mwa...
Ni ukweli ulio wazi kwamba maisha yana kupanda na kushuka, wakati mwingine inatokea mambo yanakuwa magumu kama vile biashara kuyumba nk,
Kwa mfanya biashara ukichukua mkopo ili ku boost biashara yako pale ukwamapo siyo mbaya,
Niwape kisa kimoja
Kuna rafiki yangu alichukua mkopo kama ML 15...
Hivi kwanini kusiwe na utaratibu mazuri wa namna ya kutunza cash za noti? Unakuta noti za elfu kumi, elfu moja, elfu mbili au elfu tano zinawekwa ovyo sana kwa kukunjwa kunjwa na watu kiasi ambacho Ile durability tunayoambiwa haipo tena.
Nchi zilizoendele noti zote zipo electronically na hakuna...
Mambo yanaenda kasi sana.
Ujuzi ndio kila kitu.
1: Dogo wa kwanza anatengemeza Website, Apps, Systems, na projects zake kama akipata connections ninza mamillioni. Kama haitoshi huwa anawafanyia projects wanafunzi wa mwaka wa mwisgo wa chuo. Huyu anajituma sana, huwa anaingia maktaba ya taifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.