pesa

  1. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Kiboko ya Wachawi ashtakiwe arudishe pesa za watu, na afungwe iwe fundisho kwa wahuni wote wa aina hii

    Ee Mungu Baba wa rehema mjaza neema ndogo ndogo na kubwaa unayejibu kwa Moto Ahsante kwa kuwa unajibu sawa sawa na maombi yetu Kamwe hujawahi kushindwa kamwe hujawahi kumwacha mtu wako akitapeliwa wala kutaharika Tunakushukuru kwa yote ktk jina la mwanao Yesu Kristo alie hai Huyu Baba...
  2. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mtu mwenye wazo la Kibiashara ambalo litatusaidia kutengeneza pesa nyingi

    Je,unafahamu Tooth Pick Kwa Kiswahili inaitwa "Kimbaka",Kuna muda nawashangaa sana BAKITA na haya Majina Yao! Any way Wakuu nahitaji mtu yeyote mwenye wazo la Kibiashara ambalo liko tofauti na biashara ambazo zimezoeleka hapa Bongo!,Binafsi ninafanya biashara ya nafaka,pia Nina mashamba...
  3. Introvert Music

    JamiiForums Tanzania Ni aibu jitu zima kuwa masikini halafu mtoto kama mimi nina pesa

    Hivi inakuaje jitu umri umeenda halina pesa linahangaika tu Kila siku aisee hua nacheka sana yaani jitu hata pesa ya kumhudumia kifamilia chake halina hivi mwanaume kama huyu si lofa maana mtoto wa kiume uwezi ukashindwa kumhudumia mwanamke wako na watoto au mnataka tajiri niwe nawalia wake...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ukimiliki pesa, umemiliki hisia za kujiamini; na ukizikosa basi umepoteza sehemu ya kujiamini

    Linapokuja suala la umiliki wa pesa basi tunazungumzia hisia ziletwazo na pesa ambavyo kwa namna yoyote unatakiwa hisia hizo zisikushinde bali uzitawale.Wengi hatutafuti pesa kama zilivyo karatasi bali tunatafuta ile hisia ambayo mtu anakuwa nayo akiwa na pesa ndio maana leo hii mtu akiwa na...
  5. Introvert Music

    JamiiForums Tanzania Nina pesa nyingi kuzidi baba zenu

    Nyie masikini Mimi ni mtoto mdogo sana ila pesa zangu ni nyingi kuzidi hata za baba zenu na mtaumia sana na utajiri wangu sababu nyie ni mafukara tafuteni hela sio mnakaakaa kizembe humu Mimi ndio tajiri wenu nyie mafukara mnabidi mnipigie magoti Leo nitarisha masikini kwenye sikukuu ya maulid...
  6. Introvert Music

    JamiiForums Tanzania Mimi ni mtoto mdogo ila pesa imejaa

    Huwa nashangaa mtu anaumri mkubwa halafu ni fukara wakati nipo Mimi mtoto mdogo tu miaka 28 ila pesa nyingi. Hivi mnafikiri kuwa na umri mkubwa ni sifa wakati mfukoni hamna kitu tafuteni hela nyie wazee. Huwa najiuliza hivi binadamu unakosaje kuwa na pesa yaani pesa nayo ni kitu Cha kukosa...
  7. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Maisha ya umasikin ni mabaya sana kijana mwenzagu usimchukie binti pale anapokukataa sababu hauna pesa

    Aman iwe nanyi wapendwa katika BWANA Habari za jumapili ya kongamano la ekrist takatifu Nimeamua leo nije niongee na nyinyi vijana wezangu ambao bado mnajitafuta katika maisha Mda mwingine huwa inauma sana pale unapoona kila binti anakupiga kibuti, kila binti anakutaa ukijiuliza why...
  8. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Jamaa yàngu ndàni ya wiki Mbili kanunua Bajaji Kwa Pesa za uganga wa jadi WA mchongo, wateja wakiwa waomba Ajira

    Kwema Wakuu! Nimeamini Mjini mipango. Haka kajamaa bhana kama ungebahatika kukutana nako Mwezi wa Saba mwishoni ungeelewa Kwa nini Wazazi na ndugu Zake walikakatia TAMAA. Ungeelewa Kwa nini hata Mchumba wake alimbwaga. Kajamaa kalikuwa kamejichokea haswa. Moja haisomi Mbili haikai. Sasa...
  9. Shaas

    JamiiForums Tanzania Napenda pesa

    hi Mimi jamani napenda pesa sana 😢 nashindwa jizuia shemeji yenu kanikopa pesa lakini haja lipa nataka nimdai leo
  10. Sea Beast

    JamiiForums Tanzania Mkataba wa kupanga chumba kama hujauelewa unaweza dai pesa kuhama

    Wadau ukipanga nyumba ukipewa mkataba wake ukawa hujaelewa sheria zake unaweza kuda pesa yako kusepa ndio siku ya kwanza.
  11. Ushimen

    JamiiForums Tanzania Kijana wa leo: Kuwa na pesa ama kutokua na pesa isiwe kipimo cha mapenzi/upendo.

    Ebu skilizeni niwaambie kabla sijalewa..... Mwanangu: Usije ukadanganywa na ukakubali kwamba pesa zako ndio ishara ya upendo wa kweli. Binti zangu skilizeni.... Mwanaume akikununulia gari, nyumba or any goods haimaanishi kwamba huo ni upendo kwako. Yawezekana Mudi amepata pesa ya urithi na...
  12. Last_Joker

    JamiiForums Tanzania Kwanini Blockchain Si ya Wenye Pesa Tu, Ni ya Kila Mtu!

    Sikiliza, kuna maneno ambayo yamekuwa yakizunguka sana kwenye mitandao siku hizi – blockchain, crypto, Bitcoin. Na mara nyingi, watu wanavyosikia haya mambo, wanahisi ni kwa ajili ya matajiri au wataalam wa teknolojia tu. Lakini ukweli ni kwamba, blockchain siyo tu kwa wenye pesa au magwiji wa...
  13. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Mjamzito afariki kwa kukosa pesa ya mafuta gari la wagonjwa, wakati Mama ananunua magoli

    Wakati anaupiga mwingi, kwa kununua magoli ya Yanga na Simba kuna watu wana safa sana kwa huduma za afya. Kule Kilosa Mama kafariki kwa kukosa pesa za mafuta ya Gari ya kubebea wagonjwa. Mkuu wa Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro, Shaka Hamdu Shaka ametoa siku tatu vyombo vya usalama kuchunguza...
  14. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa sasa unafanya kazi ya ulichokisomea au ulipoteza tu muda na pesa shule funguka

    Kijana huyu hapo chini kwenye picha ni mwanasheria lakini anafanya kazi ya kuuza genge baada ya kuona ajira hazieleweki. (eastafricaTv) Mdau hebu tuambie je Kwasasa unafanya kazi ya ulichokisomea?
  15. Magical power

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kutunza pesa yako

    Ukitaka kutunza pesa yako, jitahidi kuepuka hivyo vitu vitatu unavyoviona hapo kwenye picha. #women #betting #alcohol
  16. JEJUTz

    JamiiForums Tanzania Je Mwanamke anajua kutumia pesa kuliko mwanaume

    Wanawake wanajua kunitumia pesa kuliko kunitafuta pesa kuliko kuitumia na hapa ndipo mahali AMBAPO MUNGU alifanya mwanaume kulazimika kuwa na mwanamke kwenye maisha yako ila pia KWENYE KUZALIANA mwanaume hupoteza pesa nyingi sana kwenye kutumia kuliko mwanamke na wakati mwanamke hupoteza pesa...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Pesa ya China kwa Africa $50B kwa miaka 3 ni ndogo sana

    Mradi mmoja tu wa Tanzania wa reli ni zaidi ya $10B sasa China kusema watawekeza $16.6B kwa mwaka kwa miaka 3 kwa Africa nzima ni kichekesho kwa nchi kubwa vile na haita badilisha chochote. China wanaimarisha vitu tu ambavyo vinawasaidia wenyewe kama kusafirisha shabba ya Zambia lakini hawajali...
  18. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Machawa wanapata wapi pesa? Aristote amjengea ghorofa la kwenda mlinzi wake

    Kwenye kipindi ambacho Watanzania wengi wanaishi kwenye vibanda umiza, mfanyabiashara na chawa maarufu nchini Aristote ameshusha bonge la ghorofa maalum kama sehemu ambayo mlinzi wake atakuwa anaishi yaani Servants Quarters Aristote alitumia ukurasa wake wa Instagram kuonesha ghorofa hilo...
  19. Vichekesho

    JamiiForums Tanzania Wamenimalizia pesa zote za semina

    Dodoma kuna watoto wazuri asikwambie mtu. Ilivyobaki Laki 1 nanusu ndiyo akili ikarejea. Nimeambiwa kipindi cha Bunge ndiyo mambo yanakuwa hivi. Hili nalo mkalitizame.
  20. G

    JamiiForums Tanzania Kero: Ndugu, marafiki na jamaa wanaanza kukutafuta baada ya kutoboa, ni kwanini hawapo direct kuomba pesa wakati uhusiano wenu ni wa maslahi pekee?

    Mawasiliano yawe direct hakuna haja ya kona kona, tamka maneno mawili, "NAOMBA FEDHA" ikiwepo utapewa kama hakuna tuangalie utaratibu mwengine atasalimia kukujulia hali, kujua upo wapi, family inaendeleaje, n.k. lakini mwisho wa siku lengo lake ni moja tu, FEDHA !! Hajakutafuta miaka na miaka...
Back
Top Bottom