Nina wasi wasi ana upigaji unaoendelea kupitia mambo ya el nini, Kuna baadhi ya watu nawajua kupitia hii el nino wameshajenga nyumba na kuisha,
El nino hatutaki itokee, lakini maandalizi na vikao vya kuikabili El nino inasemekana zimeshatafuna 1/3 ya bilioni 780, hivyo , tunasuburi Sasa itokee...