pesa

  1. N

    DOKEZO Hospitali ya Wilaya ya Ubungo, pesa za vipimo zinazolipiwa Maabara bila stakabadhi zinaenda sehemu sahihi?

    Picha: Ubungo Manispaa Mwaka 2021, Mwenge wa Uhuru ulizindua Hospitali hii ya Ubungo ili kusaidia Wakazi wa maeneo hayo kuwa na Hospitali ya Wilaya. Hospitali hii inatoa huduma nyingi na za msingi kuanzia huduma ya mama na mtoto, kujifungua, hadi upasuaji. Licha ya kuwa hospitali hii yenye...
  2. Je, Tanzania inataka kuchapisha pesa mpya hivi karibuni? Instagram Algorithm imetushtukia

    ‘Instagram Algorithm’ ni mfumo wa unaotumika kwenye matangazo mbali mbali ya kibishara amabpo mtumiaji huwa analetewa matangazo yale yanayomusu kwankiwango kikubwa kulingana na viashiria mbalimbali (data collection) inavyovipata mtandaoni. Sasa Tanzania tunaletewa hili tangazo la mfumo wa...
  3. Watanzania ni kwanini wepesi kwa kuchangia pesa katika jambo je ni huruma yetu au

    Watanzania ni wepesi sana kutoa mchango au kuchangia pesa jambo kwenye shida yoyote au furaha pia je ni utamaduni wetu au Mila yetu au huruma yetu yaaani unaweza zua ata kitu cha uongo ukahitaji pesa na watu bila kuhoji kutaka kujua hela inaenda tumikaje basi waanachanga bila tatizo lolote Au...
  4. DOKEZO Baadhi Watumishi wa Wakala wa Mbegu za Kilimo(ASA) walalamika kuwa hawalipwi posho

    "AGRICULTURAL SEED AGENCY" Hii taasisi imekuwa na ukiritimba sana kuhusu posho za wafanyakazi, Baadhi ya wafanyakazi huwa wanajigharamia wenyewe kwa safari zinazohusu taasisi wakijua kuwa baada ya kumaliza kazi wataandika Madokezo na Kisha kulipwa pesa zao ila hali imekuwa ni chungu sana Kwa...
  5. Mtaji wa Tsh 300,000 naweza kufanya mradi gani?

    Hello wana JF, chuo hivi punde, na nina pesa taslimu 300,000 je, nifanyie nini? Kuku naweza fuga,ila interview kila mara mkoani
  6. Pesa huwa na tabia ya kuitana na kualikana

    Hili linaweza kuwa jipya kwako... Hata visivyo na uhai kwenye ulimwengu wa roho vina yoho.. Kimojawapo ni pesa ama fedha, ukipenda ziite shekeli.. Ni wazi umeshawahi kusikia watu wakisema.. Fulani bwana pesa imemkubali.. Ama Fulani bwana pesa imemkataa! Licha ya pesa kuitana na kualikana...
  7. Unafuta Sherehe za Uhuru kuokoa pesa wakati huo huo wale wote walio husika na upigaji report ya CAG mwaka huu umewasamehe kwa asilia 100

    Rasi Samia anafanya hadaaa za kiwango cha juu kabisa, na pia anacheza na akili za wajinga kwenye hii Jamhuri ilio jaa wajinga. Report ya CAG mwaka huu watuhumiwa wote wamesamehewa kwa asilimia 100 kwa kuombewa msamaha na kamati ya CCM ya kuombea watuhumiwa mbalia mbali msamaha kwa raisi...
  8. G

    Kwa migogoro inayoibuka baada ya vifo vya wenye hela, nadiriki kusema "kuwa na pesa nyingi ni kukaribisha balaa kwa familia"

    Tuliyaona kwa Dr. Mengi. Tukayaona kwa Mrema. Tukayaona kwa bilionea Msuya. Tukayaona kwa Dr. Likwelile. Tumeyasikia kwa Hans Pope. Na sasa yameibuka kwa Dr. Mwele. Ndipo hapa naona hakuna maana ya watu kutafuta pesa kwa ajili ya watoto wao. Usije na wimbo wa kwamba "watu waandike wosia...
  9. Pesa Sio kila Kitu unajidanganya

    Kabla ya kuja Kwa monetary system African people walikuwa wanaishi kupitia burter trade.. Msingi ukiwa ni kilimo uvuvi na ufugaji. Dunia ya Sasa Hela Sio kila Kitu kama utakuwa una moja Kati ya Amani katika familia Afya bora, Kilimo Ukiwa mkulima Kwa namna yoyote either directly or indirectly...
  10. B

    Kupata upendo/ Mapenzi sio pesa lakini kupata ngono ni pesa

    Hii natoa testimony 5 ambazo zitakudhirishia mapenzi sio pesa 1. Mpenzi wa kwanza. Wakala wa pesa kupitia mitandao ya simu. 👉Huyu demu mimi nilikua naenda kuweka miamala na Sina maisha miamala yangu ilikuwa haizidi elfu kumi (alifunguliwa duka LA huduma za fedha mkoa x na jamaa ake) nilikua...
  11. Broo Jinsi unavyoiona Simu yako Ikiwa Haina Bundle Ndio jinsi Mwanamke wako anakuona ukiwa huna Pesa

    Broo Jinsi Unavyoiona Simu yako Ikiwa Haina Bundle Ndio jinsi Mwanamke Wako Anakuona Ukiwa Huna Pesa...
  12. Somo lingine la pesa na mwanaume

    Somo lingine la pesa na mwanaume. Jifunze kusikiliza mitetemo ya mawimbi ya nishati kati yako na mwanamke unayeanza naye mahusiano. Kuna wakati unaweza kujisikia mzito sana kumfungulia wallet yako mwanamke fulani. Usidharau kabisa hiyo nguvu inayokusukuma kusunda kibunda chako. Siyo kila...
  13. Hawa Yas wanaiba pesa za watu kisingizio wasema wapo kwenye urekebishaji

    Mpaka sasa hivi milioni mbili yangu hata sijui ntaipataje Msitumie huu mtandao kama mnapenda pesa zenu
  14. Nasikia eti pesa zikija zinatafunwa na makamanda wa juu tu ila huku chini hazifiki ndiyo maana kelele nyingi

    Ndiyo nipo kwenye vijiwe vya kahawa ndiyo habari kubwa ni hiyo ya makamanda wanalalamika eti pesa zinaliwa na wachache tu huku juu tu ila makamanda wa chini hawaambulii hata thumni ndiyo maana chama kinalega lega na kuleta migogoro ya mara kwa mara kabisa! Mmmmh ngoja tuone linaishaje hili saga...
  15. Huduma ya Mixx by Yas (zamani tigo pesa) haipo hewani

    Tangu mtandao ubadili jina yaani ni majanga tupu. Ni zaidi ya lisaa sasa, huduma ya Mixx by Yas (zamani Tigo pesa) haipo hewani. Sio kwa menu ya kawaida wala kwenye App yao. Nilikuwa nilipie bidhaa fulani nimeshindwa, huu ni utapeli sasa
  16. L

    Pesa Mtandao

    Kwa wale tuliozoea neno 'Tigopesa' na uhusiano wake na huduma inayopatikana ya 'Pesa' kwa njia ya mtaandao wa TIGO, mnaonaje matumizi ya neno jipya la 'Mixx by Yas' lisivyo na uhalisia/ufanani na huduma inayotolewa ya 'Pesa'! Inawezekana wahusika na kubadilika kwa jina hilo wana maana nzuri tu...
  17. Wakuu hivi M pawa ukiweka pesa unapata riba asilimia ngapi

    Nataka niweke pesa m pawa be nitapata riba asilimia ngapi Kwa mwaka na je pesa ya riba napata Kila mwezi
  18. WAKUU HIVI NI MTANDAO GANI UKIWEKA PESA INAKUA SALAMA

    WAKUU naombeni kujua ni mtandao gani kati ya hii iliyopo nchini UKIWEKA PESA kwenye huduma za miamala Ina ulinzi mzuri yaani ngumu watu kuiba pesa kati ya hii tigo Vodacom Airtel na halotel
  19. Wataalamu wa marketing kwanini sio Yas pesa ni Mixx by yas?

    Tigo sasa ni Yas na Tigo Pesa ni Mixx by Yas. Hakutakuwa na mabadiliko yeyote kwenye huduma au bidhaa zetu . Ujumbe wa Tigo kwa sasa ni Yas , ki branding kwinini isiwe Yas pesa?
  20. LGE2024 RC Makonda: Piga kura ondoka katafute pesa, kulinda waachie mawakala

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda baada ya Wananchi kutimiza wajibu wao wa Kikatiba wa kuchagua viongozi wasipoteze muda wa kulinda kura kwani sio wajibu wao. "Achana na Habari ya kukaa kituoni kulinda kura hiyo ni kazi ya mawakala wa vyama vya siasa wewe kapige kura ukimaliza ondoka nenda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…