pesa

  1. JamiiForums Tanzania TFF na Bodi ya Ligi, inaeendelea kujidharirisha baada ya CRDB kuijibu Yanga SC kuwa pesa walishatoa

    Haya CRDB wamemwaga mboga Baada ya Ally kamwe kumwaga ugali TFF na Bodi ya Ligi kuna changamoto Kubwa sana, haya njooni miwape majibu Yanga SC pesa mmepeleka wapi? Pia soma > Ali Kamwe: Hatutacheza mchezo wa kombe la Shirikisho CRDB mpaka tulipwe pesa zetu za Msimu uliopita --- TAARIFA KWA...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHAUMMA adui yenu ni CCM au CHADEMA? mmesahau kama mmeahidi kuiondoa CCM lakini kutwa ni CHADEMA, mmekula pesa ngapi?

    Wakuu CHAUMMA ni chama cha upinzani ambacho viongozi wake wengi wa sasa ni wale walioamua kuyasaliti mapambano kupitia CHADEMA. Ni kama usaliti wao umekuwa jumlajumla kiasi cha kutwa kuijadili na kuishambulia CHADEMA yenye kupambania masuala ya kitaifa ambaye wote adui yao mkuu ni CCM...
  3. JamiiForums Tanzania Tabia za baadhi ya wanawake kutaka wapewe pesa na zawadi zinawafanya wanaume weengi kuamini kuwa tendo la ndoa halina umuhimu kwa mwanamke

    Inaweza ikakushangaza lakini huu ndio ukweli wenyewe. Katika jamii zetu za kiafrika wanawake walio wengi wanakuwa hawapo tayari kushiriki tendo pasipo ahadi ya kupewa pesa au zawadi fulani. Yaani ili mwanamke akupe tendo basi ni lazma utoe kitu flani. Hali hii inafanya wanaume wengi kuamini...
  4. JamiiForums Tanzania Usimkopeshe pesa mke wa mtu

    Wakuuuu habari za mida ikiwa ni weekend tulivu kabisa Kwa heshima naandika hapa nilimkopa mke WA MTU pesa sahizi nimeitwa kwa mwenyeketi Nina kesi ya kujibu
  5. JamiiForums Tanzania Unaweza Kupata Pesa kwa Kutumia AI Bila Kuacha Kazi Yako

    Unaweza Kupata Pesa kwa Kutumia AI Bila Kuacha Kazi Yako Nafanya hivi, masaa 3 kwa siku ⏳💰 Watu wengi wanadhani lazima waache kazi ili waanze maisha mapya ya kujiajiri online. Mimi nilifikiri hivyo pia. Ukiangalia mitandao, unaona Influencers, wafanyabiashara, watu wa YouTube, wataalam wa...
  6. JamiiForums Tanzania Kijana katuambia anataka kufanya harusi (kuoa) yeye kaandaa laki moja tu, anaomba aongezewe pesa iliyobaki

    Kijana kaomba aongezewe pesa iliyobaki ili aweze kufanya sherehe kabambe. Wakuu mtu kama huyu anasaidiwa vipi huko kwenu?
  7. JamiiForums Tanzania Jinsi Mwanafunzi wa Form Six Anaingiza Pesa Mtandaoni Kupitia Freelancing

    Jinsi Mwanafunzi wa Form Six Anaingiza Pesa Mtandaoni Kupitia Freelancing Wakati vijana wengi waliomaliza kidato cha sita wakisubiri majibu ya chuo au kutafuta “kazi ya kuajiriwa,” kijana mmoja kutoka Mwanza aliamua kuchukua njia za tofauti. Jina lake ni Festo kijana mnyenyekevu, mpole lakini...
  8. JamiiForums Tanzania Mapenzi na Pesa: Utata wa Uaminifu

    Audio: Chanzo:
  9. JamiiForums Tanzania Ukifanya mambo haya manne kama hufanikiwi nipigie simu nikirudishe pesa zako

    1.Sadaka ya fungu la 10 2. Kusaidia wahitaji mfano yatima na wajane 3.Wazazi au walezi wako 4.Ujenzi au kuchangia kazi za Mungu mfano ujenzi wa nyumba za ibada. Hii ndo njia halali ya kutoboa kimaisha, anza na ulichonacho
  10. JamiiForums Tanzania Je, pesa uliyonayo itamudu gharama za maisha yako kwa miaka mingapi bila kufanya kazi?

    Habari wana jamvi! Binafisi nimepga hesabu gharama nazotumia kuendesha maisha yangu ndan ya mwaka mzima, nimepata jumla Tsh2,150,000. Na huku makadirio ya kipato changu kwa mwaka(nimejiajiri) nimepata wastan wa Tsh 4,000,000. Kwa mwaka faida inabaki 1.8M.. - Nimegundua bado nahitaji...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nyomi la CHAUMMA jijini Mwanza kwenye uzinduzi wa C4C laishtua CCM. Hakika ni chama Mbadala kwa siasa za upinzani

    Hakika sasa Tanzania imepata chama mbadala cha Upinzani. Watanzania kiungeni mkono chama chenu, kipo tayari kuwaletea ukombozi wa kweli na hapa kipo uwanja wa furahisha kuzindua kampeni ya CHAUMMA for Change (C4C). CHAUMMA oyeeee!
  12. W

    JamiiForums Tanzania Watu wanaongelea pesa za kichawi bila uthibitisho, Kama ni kweli zinapoingia kwenye account anaetuma ni nani ?

    Naweza kuamini pesa inaweza kupatikana kwa njia nyeusi na hatarishi kama ujambbazi lakini si nguvu za giza. Yani utoke tu huko kwa mganga uzikute zimedondoka chumbani kama furushi la magimbi, hizi bi hadithi za sungura na fisi. Kama ni muamala benki zinarekodi kila kitu, jina huwa ni la nani ...
  13. JamiiForums Tanzania Gwajima aandaliwe pesa angalau milioni 500 kumtuliza kama anayoyasema ni kweli

    Kuendelea kushindana na Gwajima ndo kunafanya chama tawala kiendelee kuchafuka zaidi. Hapo hamna hamna wamuandalie fungu zito angalau milioni 500 kumtuliza mambo yasiwe mengi. Njia ya kutumia nguvu kumtuliza inazidi kukibomoa chama tawala. Pia kama atapatwa na jambo baya lolote basi...
  14. JamiiForums Tanzania Njia sahihi ya kutunza pesa

    Habarini wana jf mimi naomb wenye kujua njia ya kutunza pesa ukiachan na bank na mitanndao ya sm .....nnaingiza milioni moja kwa mwezi
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Responded Wananchi wa Vijiji viwili Jimbo la Namtumbo warudisha t-shirt na fedha za Mbunge wao Vita Kawawa!

    Nimeona hii clip, wenyeji wa huko tuambieni kama ishu ina ukweli hii? ====================================== Wakizungumza na Wawakilishi wa Mbunge wa Jimbo la Namtumbo, Vita Rashid Kawawa, Wananchi wa Kijiji cha Mlalamiwa na Matepwende wamedai hawawezi kupokea zawadi za Mbunge wao wakati...
  16. JamiiForums Tanzania Njia za kuwezesha kupokea pesa globally nje ya binance na skrill

    Kama inavyojieleza hapo juu, naombeni msaada wa mawazo yenu wakuu
  17. JamiiForums Tanzania Kilimanjaro ndio mkoa huwezi kusikia Mbunge anachaingiwa pesa za kuchukua Fomu, Wachaga sio Mafala hata kidogo

    Kwenye maendele bila shaka wote tunajua Kilimanjaro iko juu sana na wale hawajaanza kuwa na maendelo leo ni tangu enzi za ukoloni. Kwenye maendeleo ya watu achana na maendeleo ya vitu basi Wachaga wanapiga fimbo mikoa karibia yow Tanzania hii. Ila kwa Wachaga huwezi sikia wachaga wanakaa...
  18. JamiiForums Tanzania Vituko vya Wakubwa Tz. Kuna Wabunge pia waliwahi kuwa Madada Poa

    Ma IGP wana vimbwaga!. IGP Pundugu alifukuzwa kazi na Nyerere ile issues ya Mwinyi kujiuzulu. IGP Mahita aliupata u IGP kwa kumpiga mabomu ya machozi Lyatonga Mrema, wakati huo akiwa RPC wa Moshi. Kumbe mabosi sometimes wanajipooza na wale madada!, Mahita akiwa IGP akajipooza mahali na mdada...
  19. JamiiForums Tanzania Huwa sipendi kumpa mtu pesa

    Leo ndo ninemegundua Tatizo langu kubwa ni kutopenda kumpa mtu pesa. Nimeombwa pesa ya Kununulia umeme nikamwambia Tuma miter namba, kilichofuata mtu kaka kimya hajibu sms Wala simu Hapokei. Baada muda akatuma sms "Yaani wewe ni Mgumu sana kumpa mtu pesa, mtu akikuambia anashida unamuuliza...
  20. JamiiForums Tanzania Uchaguzi uliofanyika mwaka 2020 na kupitisha Wabunge wa CCM kwa mizengwe unalighalimu taifa letu. Hawa sio wabunge ni Wapigaji wa pesa za umma.

    Fuatilia mijadala yao Bungeni kwa ujumla utaona kuwa wapo kwa ajili ya kupata posho na mshahara tu. Mbunge anaropoka hovyo kuwa Watu washughulikiwe kwa kutekwa! Mbaya Zaidi anakazia kuwa Waanziwe wana CCM baadae wapinzani na wasio wapinzani. Msukuma hovyo kabisa... Bunge hili ni lile ambalo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…