pesa

  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Eric Shigongo adai Buchosa kuna watu wamesambaza pesa ili wamuondoe kwenye jimbo lake

    Wakuu, Inashangaza sana kuona mtu ambaye alikuwa anahonga wananchi Matisheti analalamikia kuhusu rushwa kwenye Uchaguzi Yaani hapa kasema kabisa yeye hana hela na kwamba huko Buchosa kuna watu wanasambaza hela ili wachukue nafasi yake. "Mtakachokifanya kesho wazazi kisitegemee ni kiasi gani...
  2. JamiiForums Tanzania Aisee kongole sana kwa AI, kuna vitu imenipa solution wmbavyo labda ninge gharamika pesa na muda kuvipata

    Kuanzia tiba, marekebisho, mpangilio, garden yangu, etc Mimi natumia GROK a.i, wewe mwenzangu unatumia a.i ipi?
  3. JamiiForums Tanzania Kama unaingiza pesa kupitia mtandaoni tupe mbinu na sisi

    Kama unaingiza pesa kupitia mtandaoni tupe mbinu na sisi. ==================== Nasimamia mitandao ya kijamii (social media manager) kama Facebook, Instagram na TikTok kwa gharama ya 350,000 Tsh kwa mwezi
  4. JamiiForums Tanzania Kama unaingiza pesa kupitia mtandaoni tupe mbinu na sisi

    Kama unaingiza pesa kupitia mtandaoni tupe mbinu na sisi. =============== Nafanya usimamizi wa Mitandao ya kijamii kama Facebook, Instagram na TikTok kwa gharama ya 150,000 kwa mwezi. Karibu. Mawasiliano: 0756704145, nipo mkoa wa dar es salaam
  5. JamiiForums Tanzania Ukweli Kuhusu Kutengeneza Pesa Online — Usifuate Kelele, Fuatilia Mwelekeo Sahihi

    Katika ulimwengu wa sasa wa kidijitali, kauli kama “Unaweza kutengeneza mamilioni ukiwa nyumbani” zimekuwa maarufu sana kwenye mitandao ya kijamii. Lakini ukweli ni upi? Je, kila mtu anaweza kweli kutengeneza pesa mtandaoni? Je, kuna njia halali na rahisi au kila kitu ni ‘scam’? Blogpost hii...
  6. JamiiForums Tanzania Hata Biblia Inajua...

    Mhubiri 10:19 "Karamu hufanywa kwa ajili ya kucheka, divai hufurahisha maisha; bali fedha hujibu kila kitu." Mungu huwapendelea wanaojituma. Miujiza haiji kwa wavivu, huja kwa wale walio tayari kuipokea kupitia kazi. Fedha huleta suluhisho kwa mahitaji ya maisha: chakula, afya, elimu, malazi...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi gharama zilizotumika kuchora mawe nchi nzima. Je, hizo pesa alipata wapi?

    Yule jamaa aliyechora mawe nchi nzima , zile pesa alizipata wapi ?.
  8. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuishi bila kukopa kopa pesa

    Panga bajeti ya mapato na matumizi. – Bajeti inakusaidia kujua unachopata na kutumia bila kupitiliza. Tumia pesa kwa vipaumbele, si kwa mazoea au tamaa. – Tofautisha kati ya mahitaji ya lazima na anasa au starehe. Epuka maisha ya kushindana na watu wengine. – Kuiga maisha ya wengine hupelekea...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Baadhi ya Taasisi za Serikali hazilipi tena pesa ya likizo kwa watumishi wake

    Heshima yenu wakuu , Rejea kichwa cha habari hapo ,kuna hili jambo limekua sana kwa sasa ,tangu baadhi ya Taasisi kupokea barua ya kufutwa kwa pesa ya likizo maarufu kama mshahara wa 13 kwa mwaka ..Basi na pesa ya nauli ya likizo hawalipi tena . Kulingana na mwongozo wa serikali ni lazima...
  10. JamiiForums Tanzania Waganga rudisheni pesa za wateja wenu waliokatwa ubunge

    Huu ni msimu wa mavuno kwa waganga wengi kama jadi ya watia wenu uamini huwezi pita bila babu,watu wameliwa pesa zao na majina hayajarudi huku wakiaminishwa. Sio fair mganga unampa uhakika mtia nia kwamba atapata ubunge then anakatwa jina.
  11. JamiiForums Tanzania GE2025 Mtia nia Ubunge Arusha: Mikopo ya kausha damu tutaifuta, najua mahali nitapata pesa zisizokuwa na riba

    Wakuu Mtia nia wa ubunge kupitia CCM Hussein Gonge akiomba kura kwa wajumbe ameahidi kuifuta mikopo ya kausha damu huku akieleza kuwa anfahamu mahali atakapotoa fedha zisizokuwa na riba.
  12. JamiiForums Tanzania Kodi kwenye kituo cha biashara Ubungo ni pesa ngapi?

    Naona Leo wanazindua kituo cha biashara Afrika Mashariki, Ubungo. Kodi ya frame hapo ni pesa ngapi?
  13. JamiiForums Tanzania Tunapambana sana kutafuta pesa sema sasa MAZINGIRA na wanaotuzunguka ni kikwazo👇👇😠😠😡

    Kuna TAPELI huwa anakuja kwa sura ya kutoa msaada au huduma mwisho wa siku ni maumivu na kurudi nyuma Kuna WAZAZI mara nyingi wazazi wa ki Africa wanataka watoto waishi kwenye mawazo Yao na kusahau kua alie zaliwa ana mawazo yake na falsafa yake MARAFIKI the way ulivyo mzoesha rafiki ndivyo...
  14. JamiiForums Tanzania Passive Income Haiwezi kukutajirisha - Wanakudanganya.

    Imeandaliwa na Smart Finance SW Siku hizi, watu wengi wanapenda kusikia kuhusu habari za passive income. Wanavutiwa na njia za kutengeneza pesa kupitia mfumo huu. Kama hujui passive income ni nini, nitaeleza kwa ufupi lakini unaweza pia kufanya utafiti wako binafsi. Passive income ni kipato...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Ngwaru Jumanne Maghembe!!! Acha kigawa pesa 50000 per head

    Mtoto wa Jumanne Maghembe,amekusanya wamama masikini wenye kadi za CCM Wana anawapa 50,000 Kila mmoja hapa Kijiji Cha mgagao kilichopo wilaya ya mwanga !! Anapata wapi fungus fungus kubwa hivyo!?
  16. JamiiForums Tanzania Huenda waha wa Kigoma wakamshukuru Rais Samia kwa miaka mingi ijayo hii SGR ya kutoka Tabora hadi Kigoma ni nani angeijenga kwa pesa nyingi namna hii

    https://youtu.be/CR33rwJsPKg?si=q0zQsyQ7wFv3SY8h Mnafahamu, Rais Samia anajenga mradi wa SGR kutoka Tabora hadi Kigoma kilometa 506 kwa TZS5.1Trilioni sawa na $2.2bn Mtaku,buka mradi wa reli ya kisasa (SGR) kutoka Tabora hadi Kigoma ni sehemu ya awamu ya sita ya ujenzi wa reli ya Standard Gauge...
  17. JamiiForums Tanzania Pesa ya Online: Jinsi ya Kutengeneza Kipato Bila Kuwa na Duka, Mtaji Mkubwa au ‘Connection’”

    Zamani, kupata pesa ilihitaji uanze na mtaji mkubwa, duka la mtaa au hata leseni ya biashara. Sasa sivyo tena. Dunia imebadilika. Leo, unaweza kutengeneza pesa mtandaoni ukiwa nyumbani — hata kwa kutumia simu yako tu. Watu wengi Tanzania wanapata maelfu hadi mamilioni kila mwezi kupitia simu...
  18. JamiiForums Tanzania Je, unajua? Kama huna pesa ya kununua mikate, ukipata wageni kumi nyumbani kwako, unaweza kuwalisha slesi moja ya mkate – wakala wote na kushiba!

    Watu wengi wanafikiri kwamba ili uwe mkarimu lazima uwe na pesa na mali nyingi. Na wengine wanaogopa kupokea wageni kwa sababu wanaona hawana chakula cha kutosha. Leo, nakupa habari njema: unaweza kuwalisha wageni kumi nyumbani kwako kwa slesi au kipande kimoja tu cha mkate, wakala na kushiba...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Nyie machalii wa Rachuga mnafamu mkoa wenu umepokea TZS3.5Trilioni ila mjue hiyo pesa ni karibu sawa na bajeti nzima ya nchi ya Burundi

    Mkoa wa Arusha umepokea TZS3.5Trilioni pesa ambayo ni karibu sawa na bajeti nzima ya nchi ya Burundi ambayo haizidi TZS5Trilioni. Rais Samia ametoa kiasi cha fedha cha TZS3.5Trilioni ambazo hata hivyo zilitumika ili kutekeleza shughuli mbalimbali za maendeleo kwenye sekta mbalimbali kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…