pesa

  1. D

    JamiiForums Tanzania Tupeane mbinu mpya za kuhifadhi pesa za vikundi naona vm-koba kazi inataka kuwashinda

    Dalili ya Mvua ni Mawingu ndungu zangu, Hawa Mkoba online naona kama kazi inataka kuwashinda! Naomba tupeane Mbinu mpya ya kuhifadhi pesa za vikundi ambapo unaweza kuhifadhi kirahisi na kuipata kwa haraka muda wowote 24/7
  2. JamiiForums Tanzania Pesa haileti mafanikio ila pesa inamfata aliyefanikiwa

    Habari Karibu tufungue ubongo . Kwanza nikueleze pesa haiendi kwa mtu asiye na potential cha kwanza uwe mtatua matatizo fulani basi pesa ndio itakufata
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Selcom inatukata pesa nyingi kama 'penalty' kila unapokosea muamala

    Kero yangu ni selcom penalty, Selcom ulikuja kama mtandao (mobile wallet) mbadala kutokana na kuwa na makato madogo. Ila kwa sasa hali imebadilika umekua ni mtandao wa kukata watu hovyo ukifanya muamala imepelea hata shilingi moja pengine kwa kujua au kutokujua hawatumi meseji kuwa salio...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga-Tanga Watumishi wanadai malimbikizo ya pesa za Kujikimu

    Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga-Tanga , watumishi wanadai malimbikizo ya pesa za Kujikimu, pesa za Kupanda kwa madaraja, pesa za Uhamisho tusaidie...
  5. JamiiForums Tanzania Kama una nyota ya ng'e tamka maneno haya kuvutia pesa kwako

    Watu wenye nyota ya ng'e ni watu wote waliozaliwa kati ya tarehe 23 oktoba mpaka tarehe 21 Novemba Kama unataka kufanikiwa kwenye jambo lako hasa linalohusu uchumi na kuvutia pesa kwako jizoeshe kujitamkia maneno yafuatayo mara kwa mara, sema : 1. Ninapokea na ninaikubali hela yoyote au zawadi...
  6. JamiiForums Tanzania Ndoa ni zaidi ya hofu ya kupoteza pesa au mali

    Ndoa si Biashara: Kujibu Hoja za Wanaokimbia Ndoa kwa Hofu ya Kiuchumi Katika miaka ya hivi karibuni, kumezuka Wimbi jipya la wanaume wanaopania kukaa mbali na ndoa. Hoja yao kuu? "Wanawake wanatumia ndoa kama mradi wa kujitajirisha." Ingawa ni kweli kuwa kuna visa vya watu kutumia vibaya mfumo...
  7. JamiiForums Tanzania Ukiwa na Pesa halafu Hendisamu kuna vitu huwezi fanya kwa mwanamke

    Huwezi hangaikia mwanamke. Kumfukuzia au yeye akuzungushe. Na ukiwa naye huhitaji kumfanya mpaka amalize. Ukimaliza wewe mwenye uhitaji inatosha. Sisi wenye pesa na mvuto mwanamke anamaliza kwa wakati. Mi nawaza issues za maana nikazane masaa mawili ili akojoe? No way. Siwezi. Nina pesa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ukiachana na msemo " maisha yenyewe mafupi " ni msemo gani mwingine hutumia kujifariji ukitumia pesa nyingi kwenye starehe?

    Ukiachana na msemo " maisha yenyewe mafupi " ni msemo gani mwingine hutumia kujifariji ukitumia pesa nyingi Kwenye maisha kuna mambo mengi sana, kuna wakati mtu unaamua kujipa kafuraha unatumia pesa, ukistuka kibinda kimeenda kikubwa kiasi unataka kuumia roho ila unatafuta kamsemo ka kujifariji...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Umasikini unavumilika ukiwa unajitegemea, hakuna umasikini mbaya kama unapokuwa na familia inayokutegemea halafu huna pesa

    Fikiria mtoto wako, damu yako ameptwa na tatizo la kiafya. Matibabu yake ni shilingi laki 8, lakini huna pesa. Unashuhudia kila pumzi yake ikijaa uchungu, bila kuwa na uwezo wa kumsaidia, ni huzuni ambayo inavunja moyo kwa kiwango kisichoweza kuelezeka. Fikiria familia yako, wakiketi mezani...
  10. JamiiForums Tanzania Tujifunze kutafuta pesa kwa jasho na damu

    Linapokuja suala la pesa unatakiwa uweke mambo mengine pembeni, HURUMA,DINI,HOFU leo nmemfunza kitu huyu bodaboda. Nilikua nataka nyama ya nguruwe kwa ajili ya kulia na pilau ya pasaka, nikamcall bodaboda akanifuatie nyama akadai yeye muislamu habebi kitimoto, nikamwambia sawa. Alivyokata...
  11. O

    JamiiForums Tanzania Jamaa Kila akifunga shop anaweka PESA bank na kuxitoa KWENYE ATM siku hiyo hiyo

    Nilivyomuuliza huoni unapoteza fedha nyingi Kwa MAKATO akasema lengo lake ni kuchukua noti mpya akatunze home. Ilikuwa kicheko na masikitiko. Basi namkumbuka Rafaeli, Tukalewa Tukalewa tukalewaaaa..... Mbege ya kibosho
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu Halmashauri ya Mkinga -Tanga hatujapewa Pesa ya Kujikimu

    Sisi Waalimu wa Halmashauri ya Mkinga -Tanga, Tumekua Tukiahidiwa Pesa ya Kujikimu kuwa tutapewa lakini mpka Sasa pesa hiyo imekua ni danadana, Halmashauri wamekua na maneno Matamu ya KESHO , KESHO na ukizingatia Tunafanya kazi katika mazingira magumu Sana, Awali tuliambiwa Tusaini fomu , fomu...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini fikra zetu kuhusu pesa ni hasi?

    Kama ilivyo picha ya huyo mwanamke hapo juu, ndo zilivyo fikra za watu wengi linapokuja swala zima la kuwa tajiri. Ukisikia neno tajiri nini kinakuja kichwani kwako haraka? Kila Muda neno tajiri linapotajwa watu hufikiria kuhusu mtu mwenye mavazi ya kisasa, anaye miliki saa ya milioni kadhaa...
  14. JamiiForums Tanzania Naweza Vipi Ku-deal na Mwanamke Mwenye Kiburi cha Pesa na Tabia ya Ubinafsi?

    Wadau naomba ushauri wenu. Nimekutana na mwanamke ambaye kiukweli yuko vizuri kifedha kuliko mimi. Tatizo linalonichanganya ni kwamba ana tabia ya kujiangalia yeye tu na wakati mwingine anaonesha dharau kidogo. Nina interest naye na natamani kuingia naye kwenye mahusiano, lakini najiuliza: Je...
  15. JamiiForums Tanzania Kipi bora kati ya pesa na furaha?

    Kipi bora kati ya pesa na furaha?
  16. M

    JamiiForums Tanzania wakamaria maarufu hupata pesa kupitia codes na referral links, haijalishi mkeka umetiki au umechanika, usijidanganye kuwa mpo boti moja.

    Betting Codes Mkamaria anasuka mkeka wake kisha anashare betting codes za mkeka huo, mfano 72HD82. Wateja wengine hawahitaji kusuka mkeka kutoka mwanzo; wanachagua tu code, na mkeka unajisuka moja kwa moja. Ukiweka dau, mkamaria hupata sehemu ya asilimia fulani, mfano 4%. Kwa mfano, ikiwa watu...
  17. JamiiForums Tanzania Hapa mjini pesa ipo sana

    Cha msingi ujue namna ya kua anonymous (Don't blame anyone to be addicted for something) Uzi tayari 🧵 🍺 🍻
  18. JamiiForums Tanzania Nimeambiwa mahari Millioni 18. Sina Pesa hiyo na nataka kuoa, nifanyeje?

    ‎Ndoa ni utapeli, ndoa ni biashara! Nimekuwa nikikutana na hizi kampeni za kataa ndoa humu jukwaani nikawa nazichukulia kama ni porojo tu, sikuwa nazichukulia kwa uzito hadi leo yamenikuta. Back to the topic, Wakuu, naomba nishirikishe hali yangu na kupata ushauri wenu. Nina binti niliingia...
  19. JamiiForums Tanzania Safaricom wanajali faragha kwa kuficha namba za anayetuma pesa

    Wakuu, Nimeona kampuni ya Safaricom wamekuja na mfumo mpya wa kuficha baadhi ya tarakimu kwenye namba za mtu anayetuma pesa, nadhani ni wazo zuri sana. Mfano, ukituma pesa, mpokeaji ataona namba kama 0754****00. Ikitokea ukitaka kujua namba nzima, wewe mpokeaji utalazimika kufoward huo muamala...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kuchangisha pesa Wafanyabiashara kila kunapokuwa na ugeni wa kitaifa (siasa) katika Mkoa

    Mimi najiuliza sana, inakuwaje ofisi ya Mkuu wa Mkoa Njombe, wanatuma barua kwa Wafanyabiashara wakiomba mchango kwaajili ya Meimosi na kiasi wamekuandikia kabisa, ina maana hauna machaguzi hapo, ni kama unafanya biashara kwa hisani, wakati kodi unalipia na fee zote unalipia. Sasa kwanini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…