pesa

  1. U

    JamiiForums Tanzania Ili uwe na nguvu nchini unahitaji hivi vitu vitatu

    Kwahiyo pambana sana kijana, hili ni somonhasa kwa vijana lazima uwe na nguvu tatu muhimu uweze kuheshimika 1. Nguvu ya kiserikali, lazma uwe karibu na serikali na watu wake wa juu ikiwemo Rais, waziri, rcs , wabunge, igp, mabeyo, 2. Nguvu ya uchawi - maadui ni wengi unahitaji ulinzi wa...
  2. JamiiForums Tanzania Wanadamu wameipa pesa kipaumbele kuliko kitu chochote hapa duniani

    Habari za mchana natumaini nyote wazima kbsàa poleni na tabu za maji,umeme na joto Kali kwa wale wakazi wa Dar. Bila kupoteza muda tuende kwenye mada yetu ya leo ndugu zangu. Kwa siku za hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa au naweza sema ni wimbo wa Taifa kila Mtu anaimba TAFUTA PESA ,TAFUTA...
  3. JamiiForums Tanzania Davido kutoa msaada wa 68M kwa Yatima baada ya kuchangiwa pesa na mashabiki

    Nyota wa muziki miondoko ya Afrobeats Davido anasema atatoa naira milioni 250 ($608,000; £450,000) kwa mayatima nchini Nigeria baada ya mashabiki wake kumtumia pesa. Mapema wiki hii, mwanamuziki huyo maarufu aliwaomba mashabiki wanaoamini kuwa "Aliwapa wimbo mzuri" kumtumia pesa kwenye akaunti...
  4. JamiiForums Tanzania Kinyaa penati ya Yanga vs Namungo

    nimeita kinyaa kwa sababu ya maamuzi yenye kinyaa. Bila aibu...refa anaamua penati kabisa hata akili ya mtoto mdogo inakataa. Sidhani kama ni hakuona ukweli wa namna beki alivyocheza....refa hakua mbali na tukio... Hata kama refa alisubiria tukio hilo si kwa kwa uwazi ule. Azam Tv wamewekeza...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Serikali na TAKUKURU imulikeni NBC Premier League, Pesa za GSM kwa Marefa ili Kuibeba Yanga SC zinaharibu Soka letu

    Nashukuru leo nilibahatika Kukaa Ukumbi Mmoja waliokuwa baadhi ya Wakufunzi wa Waamuzi nchini, Kiongozi Mmoja wa TFF na Mchezaji wa zamani wa Yanga SC Magomeni Mapipa ambapo Wote kwa pamoja walionekana Kuchukizwa na Penati ya Kiuonevu dhidi ya Namungo FC na ya Kuipendelea ( Kuibeba ) Yanga SC...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Yanayoendelea kwenye ujenzi wa Shule na Zahanati wa pesa za mkopo wa IMF

    Habarini wapenda maendeleo. Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa ufupi tu mimi ni mdau katika maendeleo ya nchi yetu na nimekuwa ziarani katika mikoa mbali mbali ya tanzania nakuona muamko wa wadau mbali mbali katika ujenzi wa vituo vya afya na ujenzi wa madarasa...
  7. JamiiForums Tanzania Kwa wale WordPress site developers: Plugin inayoweza kutoa na kupokea pesa Mpesa/AirtelMoney Imekamilika

    Abdul mobile payment plugin, hii haijawahi tokea. kwanza kama umeshawahi kujiuliza ikiwa kuna uwezekano wa mtanzania kutengeneza wordpress plugin, yenye kiwango cha hali ya juu kama hii ya kufanya malipo mtandaoni. Jibu ni kwamba yupo na anaitwa Abdul Bunju. Kwa historia fupi. Abdul Bunju ni...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nashauri Pesa za Sherehe za Uhuru 9 Disemba, 2021 zisitishwe na Pesa zielekezwe katika Changamoto za Umeme na Maji nchini

    Kusheherekea kwa Mbwembwe zote miaka 60 ya Uhuru huku Taifa likiwa na Changamoto muhimu za Maji na Umeme huenda Kikatafsiriwa kuwa ni Kielelezo tosha cha Uzuzu ( Ujuha ) mwingi unaopatikana Afrika na kwa Waafrika wengi ( japo siyo Wote )
  9. JamiiForums Tanzania Pata machukizo kukaa na pesa cash

    Huu ni ushauri wa bure.. usikubali kuishi na pesa cash, iwe ipo mkononi ama ipo kwenye account. Jiulize mwenyewe, ni kwanini ukishakuwa na pesa yanaibuka matatizo ambayo utatuzi wake ni hiyo pesa? Utashangaa unapokea simu mama ako kalazwa, mjomba kapata ajali, umeibiwa site mirror ya gari...
  10. JamiiForums Tanzania Nguvu ya mitandao: Nimeokota handbag yenye pesa kabla vibaka hawajaiwahi na kumrudishia aliyeidondosha kupitia Instagram

    MUHIMU: Tahadhari inabidi zichukuliwe, Wema wako unaweza kuku gharimu! kabla hujachukua uamuzi wa kumrejeshea mtu vitu vyake ni lazima upate taarifa zake (ni mzima?, kapata tukio lipi?, nk) lasivyo unaweza kuingia mtegoni au kuhusishwa na kesi.. kama huna taarifa ni bora utafute njia ya...
  11. JamiiForums Tanzania Risper Faith amemwanikaTanasha Donna kwa madai ya kushindwa kulipa deni lake

    Mwanasosholaiti Risper Faith amemwanikaTanasha Donna kwa madai ya kukosa kulipia pesa za upasuaji wake. Jumbe zilizopakiwa kwenye ukurasa wa Instagram wa Edgar Obare, Risper alidai kuwa Tanasha alimwendea na kumuuliza kuhusu upasuaji wa urembo na uzoefu wake. Risper alisema kisha...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia anatamani gwaride la 9 Desemba huku akiwahofia wazungu waliompa pesa za Covid-19

    Huku akitamani kukagua gwaride la 9 December Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameingiwa na wasiwasi wa ni namna gani wazungu waliompa pesa za Covid watamchukulia endapo ataandaa kusanyiko takatifu la kiwango kile la watu. Duru za kweli kabisa zinatabanaisha kuwa huenda maadhimisho ya...
  13. JamiiForums Tanzania Ndugu yangu wa damu hana uaminifu kwenye pesa, amenidhulumu mara kadhaa

    Wakuu hopefully amjambo ngoja niende kwenye point .. Nina Kaka yangu ambae ndie first born wafamilia .. nashindwa kumuelewa kabisa .. kila Ela yangu ikipitia mkononi mwake hua airudi Ni Mara kwa Mara ili tatizo linajirudia .. Mwaka Jana nilikuw na kias cha pesa over 700k pesa niliotaka ku...
  14. JamiiForums Tanzania Sipendi kuzungushwa na mabinti ninaowatongoza

    Habari wazalendo, Mimi sipendi kuzungushwa na hawa watu wanaojiita pisi kali, yaani unamtafuta anakuzungunsha wakati ndio atakula pesa yako yaani nitafute pesa kwa shida halafu nikubebeleze uje kula pesa zangu. Nikikutongoza siku tatu haueleweki nafuta na namba, dunia ituzungushe nawe...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Malipo kupitia NCARD wakati mwingine ni changamoto! Wanafyeka pesa bila taarifa

    Hawa jamaa wa NCARD sometimes Yes sometimes No! Wapo kianalog analogi sana! Mwanzoni January walinifyeka 10000 bila kutumia chochote. Nikapiga customer care wakaahidi kushughulikia lakini holaa! Juzi tena nimeweka elfu hamsini nayo wakalamba kimya kimya bila kutumia! Taarifa nimewapa lakini...
  16. JamiiForums Tanzania Agiza Mashine za kutengenezea mkaa wa taka kutoka China to Tanzania.Na uanze kuatengeneza pesa

    Mashine za kutengeneza mkaa wa taka zinarahisisha sana Maisha ya wajasiriamali mbali mbali. Piga 0756 591 943. Tukuletee mashine hadi nyumbani. Tukianza na taka zinazotumika kutengenezea mkaa kwenye izi mashine. Ni taka kama: Biomass shells: Coffee husk, olive shells, palm shells, bamboo...
  17. JamiiForums Tanzania Hizi pesa ni za nani na zilikuwa ni kiasi gani?

    Arusha. Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imeonyeshwa video ya matukio yanayodaiwa kutokea benki ya CRDB Arusha, tawi la Kwa Moromboo Januari 22 mwaka huu. Video hizo zimeonyeshwa leo Novemba Mosi, 2021 mbele ya Hakimu Mkazi, Patricia Kisinda anayesikiliza kesi ya uhujumu uchumi namba 27 ya mwaka...
  18. JamiiForums Tanzania Maisha Yana maajabu Sana limao Lina pesa kuliko chungwa.

    Bei ya limao moja kwasasa ni tsh 500 wakati chungwa moja ni tsh 100. Inamaana limao moja ni machungwa matano TAFAKARI.
  19. JamiiForums Tanzania Mzigo mkononi, Pesa mfukoni

    WapambanaJi.. Nahitaji samaka wabichi aina ya Kambale (ukubwa wowote). Kiasi chochote nahitaji, kuanzia kilo 100, 200, 500 n.k kwa bei ya jumla, Nahitaji kutoka kwa wavuvi.. Bei maelewano (0783343629)
  20. JamiiForums Tanzania Hamisha pesa directly toka payoneer mastercard kuja airtel money haraka

    Kwa wale ambao mlikuwa mnapata tabu ya makato pale mnapoenda kudraw pesa kwakutumia payoneer mastercard sasa airtel wamesolve hilo shida. Airtel wana huduma ya kuhamisha pesa kutoka mastercard au visa kuja airtel, hivyo unaweza tumia njia hiyo hamisha pesa toka payoneer account kuja airtel...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…