pekee

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Magical power

    JamiiForums Tanzania WANAUME ni watu pekee ambao tunaweza kuvaa pair moja ya kiatu kwa Mwaka mzima ili tu tutimize mahitaji ya familia zetu

    WANAUME ni watu pekee ambao tunaweza kuvaa pair moja ya kiatu kwa mwaka mzima ili tu tutimize mahitaji ya familia zetu. (chakula, ada za watoto, matibabu, mavazi, malazi nk.) Wakati mwingine tunadharaulika na kudhalilishwa sehemu tunakotafuta riziki lakini hatuchoki.✊️ Much respect to us🤛
  2. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Zuchu ndio msanii pekee wa kike anaeweza kusimamisha jiji la Dsm na likasimama

    Zuchu ndio msanii namba moja kwa sasa East and Central Africa. Lakini hii sio point yangu kwa leo. Zuchu ndio msanii wa kike anaeweza kusimamisha jiji la Dar es Salaam na likatii amri kwa kifupi hana mpinzani. Nyota yake inazidi kuwa kali kila kukikucha. Katoa album kali sana sijui mara ya...
  3. Mbangaizaji wa Taifa

    JamiiForums Tanzania Wakili Edward Heche atangaza kumuunga mkono Tundu Lissu aseme ni mtu pekee anayechukia rushwa kwa moyo na roho yake yote

    Mpaka Sasa Mawakili wote Tanzània bila kujali I tikadi zao wanamuunga mkono TUNDU LISSU,
  4. incredible terminator

    JamiiForums Tanzania Mzee makongoro nyerere ndieo mwanasiasa pekee Tanzania ninaeweza kufuatilia hotuba zake bila kuchoka

    Kusema kweli mzee makongoro nyerere hachoshi katika hotuba zake, Huyu mzee kwa mimi binafsi ningetamani sana apate wadhifa wa juu, kwa hii nchi ilivyo kwa sasa inahitaji watu wa aina hii, tunahitaji kuchekeshwa sasa.
  5. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Ni Tanzania pekee ambako Serikali inahudumia Law Soceaty, za huko Duniani zinajihudumia zenyewe

    Mpaka sasa nimekamilisha kupitia Law societies za nchi kadhaa ila zote nimekuta zinajiensesha zenyewe kwa michango yao, hi ni tofauti na TLS ambayo sasa ni semeu ya Serikali. Inafikirisha sana pale unapo ona Watu wanao tegemewa kwamba hawa ndio msaada wa mwisho au tumaini la mwisho, wanapo unga...
  6. MAKA Jr

    JamiiForums Tanzania NJIA PEKEE YA KUJITENGA (AU KUWA SAWA) NA WANYONYAJI KUTOKA ULAYA NA MAREKANI NI KUFUATA NYAYO ZA CHINA NA URUSI

    Baada ya Shirika la ndege la Tanzania (ATCL) kupigwa marufuku kukanyaga anga la Ulaya, mimi binafsi nimefurahishwa na hoja nzuri za kizalendo zilizotolewa na Watanzania wengi. Wengi wao wanalaani na kulaumu njia za kinyonyaji za Umoja wa Ulaya (EU) pamoja n washirika wake. LAKINI mimi naona...
  7. MAKA Jr

    JamiiForums Tanzania Njia pekee ya kujitenga (au kuwa sawa) na Wanyonyaji kutoka Ulaya na Marekani ni kufuata nyayo za China au Urusi

    Baada ya Shirika la ndege la Tanzania (ATCL) kupigwa marufuku kukanyaga anga la Ulaya, mimi binafsi nimefurahishwa na hoja nzuri za kizalendo zilizotolewa na Watanzania wengi. Wengi wao wanalaani na kulaumu njia za kinyonyaji za Umoja wa Ulaya (EU) pamoja n washirika wake. LAKINI mimi naona...
  8. Daudi Kempu

    JamiiForums Tanzania Kuna wakati dawa pekee ya maumivu ni kukubali ukweli kuwa unaumia

    Utofauti ni kuwa, wewe unaumia sasa hivi, mwenzako aliumia jana, mwingine aliumia juzi, na mwingine aliumia miaka mingi iliyopita. Umewahi kujiuliza, kama hayo maumivu utaishi nayo miaka kumi zaidi, yatakuumba kuwa kiumbe cha aina gani? Kila mtu ana zamani yake ambayo, kama ingewezekana...
  9. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ni tahira pekee atakemea udikteta wa serikali juu ya wapinzani huku akiona ni sawa tu Mbowe kuwa mwenyekiti wa CHADEMA kwa zaidi ya miaka 20

    Kila siku wapinzani hasa wana CHADEMA huchukizwa pale viongozi wake wanapowekwa selo kwa makosa madogo madogo au kwa makosa ya kusingiziwa. Lakini si mara nyingi tukiona wapinzani wakilaani udikteta wa Mbowe kukaa kwenye kiti kwa zaidi ya miaka 20. Ina maana hakuna mtu mwingine mwenye maono au...
  10. econonist

    JamiiForums Tanzania CHADEMA inahitaji uongozi mpya sio uenyekiti pekee.

    Kwa maoni yangu naona CHADEMA inahitaji uongozi mpya kabisa. Naona watu wengi wanaangalia cheo Cha Mwenyekiti na kuacha kuangalia vyeo vingine. CHADEMA inahitaji Mwenyekiti mpya mwenye msimamo sio Leo anasema hivi kesho anabadilika. CHADEMA inahitaji mwenyekiti atakaye kuwa nembo ya chama...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Je wajua, Jerusalem ni Jiji pekee linalopatikana Duniani na Mbinguni?

    Salaam, Shalom!! Yapo majiji mazuri duniani Hilo halipingiki, Lakini, Pana Jiji liitwalo Jerusalem, Jerusalem ni Jiji pekee ambalo lipo duniani na Mbinguni. Na hayupo na hatokuwepo atakayeingia Mbinguni ikiwa Si Mwisrael wa mwilini au wa rohoni. Ikiwa unapenda kuwa mmoja wa raia wa Jiji hili...
  12. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu ndie kiongozi pekee wa kisiasa Tanzania ambae ni kielelezo cha uzalendo na nembo ya umoja wa kitaifa na kimatafa

    Nia na dhamira yake njema ni ya wazi na yenye lengo la kuhakikisha umoja, amani na utangamano miongoni wananchi na Tanzania kwa ujumla, ni imara licha ya utofauti wa mirengo ya kisiasa au kidini, lakini kama Taifa tunabaki kua ndugu, jamaa na marafiki kwa maslahi mapana ya Taifa. Dr.Samia...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Kuna utofauti sana kati ya biashara inayomilikiwa na muajiriwa na biashara ya mtu aliyejiajiri pekee

    👉Biashara inayomilikiwa na muajiriwa Ina possibility kubwa ya kusurvive kuliko ya aliyejiajiri pekee sababu zifuatazo 👉 Mikopo kwa waajiriwa ni rahisi kuicover Bila kuathiri asset zao ambazo hazihamishiki 👉 Biashara za walioajiriwa unaweza Pata wa kukushika mkono na kukuwekea safety wenye D2...
  14. sergio 5

    JamiiForums Tanzania Offen Chikola: Nyota wa Kandanda anayeng'ara ndani na nje ya Uwanja

    Offen Chikola ni mchezaji mwenye kipaji cha hali ya juu. Nilipata nafasi ya kumsikia akihojiwa mara moja, na jamaa huyu sio tu kwamba anajua mpira, bali pia ana akili nyingi za maisha ya kawaida. Anajulikana kwa kuwa mtulivu na mwenye akili timamu, iwe uwanjani au nje ya uwanja.
  15. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Yawezekana Rais Mkapa ndiyo rais pekee ambae hakuwa mbinafsi

    Ndiyo! Rais mkapa hakua mbinafsi hata kidogo na yawezekana ndiyo Rais ambae hakupendelea kwao kabisa mpaka anaondoka madarakani Rais mkapa hakupeleka vitu vingi sana kwao mtwara zaidi ya daraja la rufiji na zile barabara na hata barabara zilikamilika kipindi cha Kikwete si mkapa.Mkapa kwa nafasi...
  16. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kwanini chanjo inachomwa mkono wa kushoto pekee

    Swali linajieleza wakuu kwanini chanjo mfano ya corona au nyingine hawachomi mkono wa kulia
  17. Metronidazole 400mg

    JamiiForums Tanzania Mnafeli pekee aliyepona kwenye gharika la Nuhu (Mfalme Ogu au Uj Bin Anaq-kiarabu)

    Mfalme Ogu anatajwa kwenye vitabu vya dini kuu tatu za mashariki ya kati yaani Uislam, Ukristo na Uyahudi. NB: Nimezingatia dini zote tatu zinavyomzungumzia Inaelezwa alikuwa ni mfalme aliyetawala eneo la Canaan (Palestina/Israel ama jordan ya sasa)katika ulimwengu wa kale takriban miaka zaidi...
  18. W

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Nani analinda kura ya HAPANA kwa mgombea wa chama kimoja pekee?

    Kwa mujibu wa kanuni za uchaguzi wa serikali za mitaa za mwaka huu hakuna mgombea atakaepita bila kupigwa badala yake kutakuwa na kura ya NDIO au HAPANA kama itatokea mgombea ni mmoja katika nafasi husika. Vyama vya siasa vina haki ya kuweka mawakala katika vituo vya kupigia kula ikiwa vimetoa...
  19. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Watu Wenye Uzoefu Pekee Watakwambia Haya

    Kuepuka kuumia wakubali watu kama walivyo na sio kwa vile unavyotaka wao wawe. Kwasababu hawawezi kuwa kama unavyotaka Tafuta amani kwa kufanya mambo yako na sio kufuatilia maisha au mambo ya watu wengine Jiangalie na kujithamini wewe mwenyewe kwasababu lolote likikupata watu wanaendelea na...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Marekani kuna wizi wa kura, vitambulisho haviruhusiwi kupiga kura kwenye majimbo ya Democrats, Ni Majimbo pekee aliyoshindwa Trump.

    hadi Marekani wanaojinadi ni wakuu wa Demokrasia haya mambo yapo Majimbo mekundu alikoshinda Trump ID zinahitajika, Majimbo ya Blue alikoshinda Kamala ID hazihitajiki, kama zinahitajika zisiwe na picha NON PHOTO ID - Mpiga kura anahitaji nyaraka yoyote isiyo na picha kuthibitisha utambulisho...
Back
Top Bottom