ndege JOHN JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 25,009 Reaction score 61,259 Nov 29, 2024 #1 Swali linajieleza wakuu kwanini chanjo mfano ya corona au nyingine hawachomi mkono wa kulia
ndege JOHN JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 25,009 Reaction score 61,259 Apr 17, 2025 Thread starter #2 bado jibu
Nomadiq JF-Expert Member Joined Jan 5, 2025 Posts 8,572 Reaction score 22,919 Apr 17, 2025 #3 Kwasababu watu wengi watumia mkono wa kulia sana, hivyo chanjo huchomwa mkono ambao hauutumii sana ambao ni wa kushoto.
Kwasababu watu wengi watumia mkono wa kulia sana, hivyo chanjo huchomwa mkono ambao hauutumii sana ambao ni wa kushoto.