Ni nadra sana kukuta Mchezaji wa Mpira wa Miguu mwenye Matege mabaya kama yake akawa anajua Mpira.
Ilitokea bahati tu kwa Marehemu Ramadhan Lenny kuwa nayo na hakika alikuwa na Kipaji cha hali ya Juu hasa katika Nafasi ya Kiungo wa Juu na cha Chini.
Hebu upesi sana Kocha Hemed Morocco amtoe...
Shalom jukwaa!
Nilipokuwa mwanfunzi nilikuwa nina tabia ya kutofika shuleni kwa sababu nilikuwa sipendi shule kuliko kitu chochote kwa kipindi kile lakini wazazi walikuwa wananilazimisha kwenda shule hata kwa fimbo wakati mwingine (nawashukuru sana kwa hilo).
Kule kutokupenda shule kulinifanya...
Eti wakuu Nina kama mwezi hivi ninanunua vichwa vya chaji na cable karibia laki imenitoka nikibadilisha kichwa hasa cha oraiomo ndo naona vinapatikana sana madukani vinafanya kazi baada ya week kinaanza kuzingua pia hata cable nabadilisha zinazingua baada ya muda.
Naombeni uzoefu wenu watu...
Kila nikiangalia Picha za Matukio mbalimbali ya Haji Manara na Mkewe Zaylisa naona ni kama vile Haji Manara ni Mtumwa Tukuka, analazimisha Kupendwa na Mkewe Zaylisa halafu ananyenyekea kiasi kwamba huenda hata huwa anampigia Magoti Mkewe Zaylisa ili asimuache.
Na hata nikimuangalia Mkewe...
Dakika chache zilizopita Rais Samia ametoka kumtaja Rais Mstaafu Kikwete kuwa Rais badala ya kumtaja kama Rais Mstaafu katika Utambulisho wake kabla ya kuanza kutoa Hotuba yake. Kama kawaida najua kuna wale Watetezi hovyo watakuja Kubisha hivyo naomba warejee matangazo ya TBC1 ili waweze...
Unapozaliwa tayari kuna risiti ya kifo huandaliwa, Kifo ni uhakika hakiwezi kukwepeka.
Utaratibu uliozoeleka hapa kwetu mazishi hufanyika kwa staili ya kuumezesha udongo mwili, kaburi litachimbwa mwili utawekwa ndani yake kisha kufukiwa.
Lakini mimi nimekuwa na approach tofauti kabisa...
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu(LHRC) kimelaani hatua ya Jeshi la Polisi kuwashikilia baadhi ya Viongozi na Wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na baadhi ya Waandishi wa Habari, baada ya Chama CHADEMA kupanga kufanya kongamano la maadhimisho ya siku ya Vijana Duniani...
Maisha yangu kwa muda mrefu nimekuwa nikiwa mdau wa kupenda sana ku hang na marafiki, nilipofika kwenye 25 nikaanza ku hang zaidi na small circle ya marafiki watano tu ambao tupo karibu sana
Kwa sasa nina 36, nimeanza kuona hata hao wachache wa karibu ni kweli tunajuliana hali, kutembeleana...
1. Nachukia tabia ya mtu kutopenda kwenda na muda na anajifanyia tu Mambo yake Kienyeji Kienyeji.
2. Nachukia tabia ya mtu ambaye hajui Kujipanga Kiratiba na yupo yupo kama Zombie fulani hivi duniani
3. Nachukia tabia ya Mtu kuamka asubuhi akiwa hajui hata atafanya nini Siku nzima
4. Nachukia...
Rais Samia alituambia kwa uhakika kuwa hadi Mwezi ujao Machi Mgawo hautokuwepo tena na TANESCO nao wakasema hadi Mwezi huu wa Februari kutakuwa hakuna tena Mgawo wa Umeme na hatimaye jana nimesikia ( labda niwe nimesikia vibaya ) kuwa sasa Mgawo wa Umeme tutaenda nao na utaisha Mwezi June...
Katibu wa itikadi na Uenezi CCM bwana Paul Makonda amesema tangu ameanza kufanya mikutano ya kisiasa na kwenda kwa wananchi hawaoni watoa taarifa wakifanya mikutano!
Anasema amechoka kufanya mikutano peke yake anauliza eti watoa taarifa wanafanyia mikutano wapi? Mbona wanamuacha anatamba peke...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akitembelea maeneo yaliyoathiriwa na mafuriko katika Mji wa Katesh Wilaya ya Hanang Mkoa wa Manyara na Kuzungumza na Wananchi Katika Uwanja wa Shule ya Msingi Katesh.
https://www.youtube.com/watch?v=5Glwj_n88M8
Rais Samia...
amiri jeshi mkuu
ccm
hanang
huzuni
jeshi
kipaumbele
kuongea
kuzungumza
manyara
mimi
mji
mkoa
mkuu
mtu
pekeyangu
rais
rais samia
samia
sare
shughuli
viongozi
viongozi wa ccm
vitu
wahanga
wananchi
yangu
ziara
Nikiwa ketu huku usukumani, nikija likizo mjomba huwa ananiwekea li kuku king size ili nile nishibe.
Sasa nyie wa mjini ati vi fried chicken vya Chick King au Mary Brown, najua hamshibi.
Nataka watu wengine twende karibuni wote Bariadi.
Habari wadai I hope jtatu iko jema kwenu Nina tatizo ambalo nikiri sijawahi kulisikia kwa mtu yeyote nimeamua kuliweka hapa kama yupo mwenye tatizo kama langu au mwenye ufahamu a share experience yake.
Iko hivi huwa napatwa na shambulio la moyo pindi nking'atwa na nyuki au nyigu (bee & wasps...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.