peke yangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Gushleviv

    Mimi ni mtumiaji wa Vodacom. Nakatwa salio langu Tsh.100 ya huduma ya Mdundo bila ya ridhaa yangu

    Habari zenu Wakuu, Mimi ni mtumiaji wa Vodacom. Hivi karibuni nimekuwa nikikutana na hali ya salio langu kukatwa kiasi cha Tsh.100 kila baada ya mida flani bila ya ridhaa yangu. Nikiwapigia Vodacom wananiambia kuwa nakatwa salio sababu nimejisajili kwenye huduma ya "Mdundo". Na zaidi sasa...
  2. Michael mbano

    Jambo hili naliona peke yangu tuu?

    Kumekuwa na mfumuko wa nyimbo za dini hasa kwenye baadhi ya makanisa ya walokole ambazo hata hazijengi muumini kiimani na kumfanya awe mtulivu kutafakari bali zinamfanya mtu acheze kama burudani na zinawezakuhamasisha anasa kutokana na staili yake ya uimbaji na uchezaji.Nyimbo zinaimbwa kwa...
  3. GENTAMYCINE

    Hii Vita isiyo rasmi na ya chini chini yenye Mafumbo mengi baina ya Maaskofu wa Katoliki Tanzania na Mtume Mwamposa naiona peke yangu au?

    Sasa ni mwendo wa Mafumbo na Kukomoana tu.. Baadhi ya Maaskofu wa Katoliki.. "Wakatoliki mnaokwenda kwa Mwamposa ni Wendawazimu na tutaanza Kuwatenga Kanisani Kwetu kwani hatupendi Waumini wanaotangatanga wakati katika Ukatoliki kuna kila Kitu" Mtume Mwamposa wa Kanisa lisilo na Jina na...
  4. sky soldier

    Napenda kumtongoza Mwanamke anapokuwa na wenzake

    Ku approach ni kumfata mwanamke kwa lengo la la kuanzisha mahusiano ya mapenzi au urafiki. Iwe ni enzi hizo shuleni, chuoni, sokoni, barabarani, n.k. huwa napenda kujitosa kwa mwanamke ambae yupo na rafiki zake / yake. huwa nawasalimu kwa heshima wote kwa pamoja, kisha naweka wazi nimemfata...
  5. sky soldier

    Kwanini ninachelewa kusinzia nikisikiliza hiizi nyimbo? Nipo peke yangu

    Kuna playlist yangu nikijiroga kuiweka huwa kulala ni saa tisa kama muda huu niliopost Huenda kuna wanasaikolojia hhumu waniambie chanzo Saa 2 kasoro iabidi niwe kazini, hapa kuamka saa 1 kasoro 2 berry - Na Wewe Tu Mike tee - Sintobadilika JI - Kidato Kimoja MB Dogg - Natamani Mr Paul -...
  6. XII Tz

    Msaada: Nawezaje kuacha tabia ya kuongea peke yangu?

    Binafsi ni mtu wa kujitenga sana, sio mtu wa kujichanganya kabisa na sijawahi kuwa bored ni simply because I have a tendency of talking alone, ninaweza kukaa peke yangu na kuanza kuongea kwa muda mrefu hata masaa mawili. Mtu akiniona huwa nashtuka sana na kuanza ku-pretend kama naimba...
Back
Top Bottom