Paul Christian Makonda born 15 February 1982 is the Regional Commissioner of Arusha, Tanzania.
Makonda gained popularity during a constitutional amendment referendum, where he was among a few members of a special parliamentary session that was tasked with drafting a new Constitution.
He would later become more prominent in politics, first acting as the District Commissioner(DC) for Kinondoni before being appointed Regional Commissioner(RC)of Dar es Salaam by the late President, John Pombe Magufuli, in 2016.
Akizungumza kwenye Mkutano wa hadhara Mjini Arusha, Mrisho Gambo, Ameongea mengi sana.
Lakini liko moja lililowaamsha Wananchi na kuanza kwa minong'ono, Bwana Gambo amewauliza Wananchi kwamba , Nanukuu " Kati yangu mimi na yeye nani kaumiza wengi? " Mwisho wa kunukuu.
Baada ya swali hilo...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amewataka viongozi wa kisiasa hususan wabunge kutojisikia vibaya pindi watu wengine watakapoingia kwenye nafasi zao, kwani ni jambo la kawaida.
Katika Jambo ambalo Dola inataka kuwachezea watanzania, ni kuwaandaa Hawa wahuni wawili kama possible successors wa Urais endapo Huu upuuzi wa Uchafuzi Mkuu 2025 wataendelea kuulazimisha Kwa Bunduki ,utekaji na mauaji uendelee kama ulivyopangwa !!.
Dola ambayo ndio inayowaongoza CCM Kwa...
Arusha ni mji wa wafanyabiashara huwenda kuliko miji yote Tanzania
Arusha kila mtu ni mfanyabiashara
Arusha wahuni ni wengi saana
Juzi nipo na wazee na viongozi baadhi waandamizi wa CCM mkoa wa Arusha, wengi wanaonesha kukerwa sana na Anayoyafanya Makonda kwa Gambo.
Wazee hawamkubali kabisa...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, amemtaka Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Gambo kuomba radhi kwa watu aliowaumiza, huku akitaja kuwa aliwafitinisha.
Makonda amesema hayo wakati akizungumza katika maadhimisho ya Miaka 61 ya Muungano yanayofanyika leo kimkoa katika uwanja wa Soko la...
Angalieni, Kama ni Wizi kufanyika, Report ya CAG imejiweka wazi yenyeweee!!.
Ila hatujawahi sikia Serikali imechukua Hatua yoyote Kwa Wahusika.
Sasa angalia Maajabu, Majuzi hapa, Mbunge Mrisho Gambo, Kwa "Takwimu na shahidi" aliwekwa wazi namna gan Ujenzi wa jengo la utawala Arusha ,Kuna...
Lile like Kundi ambalo linawapitisha Msoto akina Lissu na Heche.
Kundi lilelile ambalo lilikubali Samia awe Rais Kwa makubaliano naye.
Kundi lilelile ambalo lilimuacha Samia afanye anavyopenda huku likiendelea kumkusanyia taarifa za wanaojipendekeza Kwa Samia .
Kundi lilelile ambalo baada ya...
Watu wa aina hii hawapaswi hata kualikwa kua wageni rasimi.
Dini iaachane na unafiki wa kuchangiwa Pesa na viongozi wenye Dhuluma.
Biblía ninayoisoma toka nikiwa mtoto Mdogo, inachukia DHULUMA, UONEVU, WIZI NA WATAWALA WABAYA .
Biblía hii hiii, sehem kubwa, Mungu anatumia Viongozi wa Dini...
My Take
Nakubaliana kabisa na Paulo ,hao wanaojiita Maaskofu kazi zao ni porojo za Kisiasa kushabikia Wapinzani huku wamemsahau Yesu.
Wakidhibitiwa watasema uhuru wa dini unainhiliwa wakati wanageuza majukwaa ya dini kufanya siasa.
===================
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda...
Unakumbuka Machi 11, 2025, Rais Samia Suluhu Hassan alipoagiza wateule wake, wakiwemo wakuu wa mikoa wenye nia ya kugombea nafasi mbalimbali, kutoa taarifa mapema, ili nafasi zao ziweze kujazwa kwa wakati?
Sasa hali hiyo inajidhihirisha wazi, kwani baadhi ya viongozi hao, hasa wakuu wa mikoa...
Wakuu,
Sasa hivi kila jicho ni kwa waislamu, I wanda ni kwanini?🤔🤔 Ni ama kuna wajinga wengi ambao wanaidia kupitisha ajenda zao kirahisi au ni watu muhimu sana ambao bila kukuunga mkono umekisha!
====
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda amekabidhi Zawadi maalum kwa Maimam wa Misikiti na...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha mesisitiza kuwa hana woga wa vitisho wala hofu ya ushirikina, akisema wazi kuwa hata wale wanaojaribu kuloga hawawezi kumtikisa.
Akizungumza kwa katika uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (Mama Samia Legal Aid Campaign) kwa Mkoa wa Arusha,, Makonda...
Nilipata nafasi nikahudhuria tafrija hiyo fupi iliyoandaliwa na ofisi ya Mkuu wa mkoa Arusha ,
Kuna mambo machache sana nilijionea yaliyonitoa machozi Kwa muda mfupi niliokaa hapo.
Kwanza kabisa watu waliokuja kupata iftari wengi wao walikuwa watu wa kawaida au tunaweza sema watu wa hali ya...
Wasalaam
Bila shaka kama kusingekuwa na makandokando yanayosemwa au kutuhumiwa,pamoja na kauli yetu ya kukiri udhaifu.."binadamu hajakamilika"...lakini basi lau tukachukua katika mizania mtu kama mhe.Antony Mtaka angekuwa anafanya kazi hizi za Makonda...basi Mhe.Paul Makonda ni kiongozi bora...
Zaidi ya vijana 1,000 wa Mkoa wa Arusha, leo Machi 26, 2025 wamefika katika ofisi za mkuu wa mkoa huo kwa ajili ya kufanya usaili wa kuwania nafasi za ufadhili wa masomo nchini India.
Vijana hao wamejitokeza kufuatia tangazo la Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda kuwa Serikali ya India imetoa...
Huyu mtu uliyetuwekea kuwa katibu mwenezi uwezo wake ndio kama hivyo tena, fanya hima kuteua mmoja kati ya hawa niliokutajia, hawa ndiyo wanatakiwa huku mtaani.
Vinginevyo utaaibika mama, usidhani kuwa waliokuzunguka wanakupenda.
Asante.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha ameomba Mashindano ya Quran Tukufu yakafanyike Mkoani humo mara baada ya Ramadhani na usimamizi wa mambo yote utakuwa chini yake yeye.
Akitangaza kwa watanzania Shekh Kishki alimpongeza Mheshimiwa Makonda kwani toka kipindi alipokuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar aliwaunga mkono...
Kiukweli wewe ni kiongozi bora sana umeufanya mkoa wa Arusha kuwa bora binafsi nakuona ukienda kuwa kiongozi mkubwa zaidi serikali baada ya mwezi wa kumi mwaka huu 2025. Mungu akusaidie hii ndoto itimie. Mimi ni moja ya vija wako kutoka Arusha ninaye kukubali sana kutokana na utendaji wako wa...
Tanzania ina viongozi vijana wachache sana wenye moyo wa kujituma, na kubuni fursa mbalimbali kwa ajili ya maendeleo ya taifa.
Binafsi mh Makonda nikiaangalia kwa jicho la tatu, ni kiongozi bora kwa Tanzania.
Huyu kila nafasi anafaaaa, kwa sababu huwa anafanya ubunifu wa hali ya juuu sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.