Paul Christian Makonda born 15 February 1982 is the Regional Commissioner of Arusha, Tanzania.
Makonda gained popularity during a constitutional amendment referendum, where he was among a few members of a special parliamentary session that was tasked with drafting a new Constitution.
He would later become more prominent in politics, first acting as the District Commissioner(DC) for Kinondoni before being appointed Regional Commissioner(RC)of Dar es Salaam by the late President, John Pombe Magufuli, in 2016.
Mtachagua wenyewe sasa!!
Muwe na Waziri Mkuu ambaye hatoweza kuhudhuria Mikutano ya Umoja wa Mataifa katika Ardhi ya US.
Mtu ambaye hata Ulaya hakanyagi !!.
Nimezaliwa na kukuwa Arusha.
Hakuna uchochoro wa mji ambao kwakweli siufahamu.
Naona Makonda kama mvamizi tu.
Mji haujui, hajui watu wake, matatizo yake na wala hawezi kuyasemea matatizo ya watu wa Arusha kama vile angewasemea watu wa kule kwao koromije.
Arusha kwake ni kama ngazi ya...
Makonda angalau ana ushawishi 60-70% anaweza akamsaidia katika mambo fulani fulani.
Kama Makonda naye akiamua kukaa pembeni, aisee shughuli itakuwa pevu.
Baadhi ya wananchi katika Jimbo la Arusha Mjini wameeeleza nia yao ya kumuona Mbunge wa jimbo hilo anayemaliza muda wake, Mrisho Gambo akirejea tena katika jimbo hilo kwa kipindi cha mwaka 2025- 2030 ili aendelee kuwasemea wananchi wakimtaja kuwa mfanyakazi hodari na mwenye kuijua vyema Arusha...
Biblia inasema Samwel aliagizwa na Yehova kwenda nyumbani kwa Yese kumpaka mafuta mmoja wa WATOTO wa Yese ishara ya uteuzi wa kifalme kutoka kwake Yehova Mungu wa mbinguni
Samwel aliletewa WATOTO wote wa Yese waliokuwepo barazani akawatazama na kusema haoni mteule pale na akauliza ‘je ndio...
Ndugu zangu Watanzania,
Wakati wowote ule Nitawaleteeni CV nzito na ndefu ya Mheshimiwa Paul Christian Makonda mtia nia ya Ubunge Arusha Mjini kupitia CCM 2025.
Ambapo nitawaeleza kwa kina juu ya Paul Makonda ni nani hasa. Amefanya nini mpaka alipofikia hapo. Amepitia wapi na wapi kiuongozi...
Mwanasiasa mchumia tumbo Daudi Bashite ajiitaye Paul Makonda anajulikana kwa tamaa na kupenda madaraka.
Sasa ni rasmi kuwa atagombea Arusha. Kama anajiamini, kwanini asigombee kwao au hana kwao? Je Arushwa watakuwa mazezeta wamchague mtu muovu
Je akibwagwa, atarejeshwa tena kama iivyotokea...
Wakuu,
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amemshukuru Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kumuamini mara mbili ikiwemo kumpa nafasi ya kuwa Katibu Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na baadaye Mkuu wa Mkoa wa Arusha ambapo Makonda amesema licha ya baadhi ya Watu...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewasili kwenye ukumbi wa AICC kwa ajili ya kushiriki Kongamano la wanawake kama mgeni rasmi, leo Juni 24, 2025.
Balozi Dkt. Nchimbi amepokelewa na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda, pamoja na...
Huyu jamaa Classmate wake ni kaka yangu ambaye wamelingana umri wamesoma wote Primary
Makonda Ana miaka 53 sasa Ila kaamua kupunguza miaka kumi .
Hii haifai kabisa
Kazi pekee ambayo unaiweza na nashangaa kwanini Mama (Mwenyekiti CCM Taifa) Samia Suluhu Hassan hakuamini nayo ni ya kuwa Mwenezi wa CCM na nina uhakika kuwa hapa ungemsaidia mno na angekuja hata Kukushukuru baadae.
Labda nikusaidie tu kukuambia Makonda kuwa Siku zote Umaarufu wako unatokana na...
Yuko wapi Makonda simuoni kwenye vichwa vya habari au na yeye ni no reforms no ELECTION kama wakina mpina ?
Makonda amepoa sana kuelekea uchaguzi mkuu vipi anaunga mkono yanayoendelea au haungi mkono.
"Wangapi mlienda kwenye mkutano soko kuu? mlisikia maneno aliyoyapiga mke wangu? baada ya pale walienda kumsimamisha kazi na sasa yupo nyumbani ana amani kabisa na yupo tayari akiambiwa achague kazi au mume wake atachagua mume wake. Wanasema hana vigezo tukaulizana vigezo hana baada ya kuongea...
Kuna fukuto kati ya makonda na Gambo kugombea Ubunge jimbo la Arusha mjini, maneno na maoni ya wananchi na wanachama muhimu wa CCM yamekuwa mshale mkali dhidi ya makonda.
Nimezunguka kutaka kufahamu maoni ya wanachama waandamizi wa CCM mkoa wa Arusha kuhusu mkuu wao wa Mkoa na hamu yake ya...
Ubunge kwa maana halisi ya uwakilishi wa wananchi ni kwa yule mzawa ama mkazi wa muda mrefu wa eneo husika na sio aliyekwenda kwa ajili ya kutafuta fursa ya "ulaji".
Je Makonda ana asili ya Arusha? iweje kung'ang'ania Jimbo la Arusha alikopelekwa kwa kazi ya kiserikali ya ukuu wa mkoa? mpaka...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda leo Jumanne May 20, 2025 ameungana na Watanzania wengine kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura kwenye kituo cha Hospitali ya AICC, Mtaa wa Mahakama Kata ya Sekei Jijini Arusha ambapo amesema kwa sasa yeye ni Mpiga kura halali wa...
Mrisho Gambo (MP) usilalamike wala kuumia stay strong !
That is ur karmic debt. - huu ndo muda unavuna kile ulichokipanda ukiwa RC na ukiwa DC , matatizo huwa hayakosei njia .
Mtalalauana Sana na VITA yenu haitoisha salama lazima mtajane na kuvuana nguo.
Jambo lolote baya au zuri alifanyalo...
Watanzania wanatakiwa wajuez Watu wachafu wanakawaida ya kuvaa mavazi masafi.
Makonda aliumiza Clouds Media
Makonda aliumiza wafanyabiashara wengi sana kwa Kutumia Jina la Magufuli.
Makonda ametajirika isivyoajabu kwa Matendo ya kihuni na na kikatili aliyonayo .
Ilifika wakati Makonda...
"Kuna mambo mengine sikutaka kuyasema kwasababu nina uwezo mkubwa sana wa kupuuza lakini nimechokonolewa sana na baadhi ya watu kiasi ambacho inawezekana kuna baadhi ya watu mkachanganywa. Kwahiyo kwasababu nimelazimishwa, mengi nitapuuza, nitasema walau moja, naomba mnikubalie.
Kuna mtu mmoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.