passport

  1. A

    KERO Uhamiaji wameondoa uwezekano wa kuangalia ombi la passport kwenye website yao?

    Kuna option ilikuwepo kwenye website ya uhamiaji wakati mtu akiwa ameomba passport anaweza fatilia kuona ombi lake limefikia wapi, lakini kwa sasa kwenye website hiyo ya uhamiaji wameitoa hiyo option, so imekua vigumu mtu kujua ombi la passport limefikia wapi.
  2. A

    KERO Uhamiaji Shinyanga wanatuzungusha kutoa Passport na hakuna majibu ya kueleweka

    Hii ishu ya Passport naona kuna mazingira ya kuzungushwa kwa maksudi, maana hata mimi ni wiki sasa kila nikienda ofisi za Uhamiaji Shinyanga naambiwa kuna shida ya Mtandao, hata wiki jana nilienda sikuhudumiwa hadi nahisi kuchoka. Tunaomba mzitaarifu mamlaka za juu maana haya mambo yanakita...
  3. O

    Wakenya kuteseka kupata passport, yet people with questionable integrity kutoka mataifa mengine kupata kwa haraka- are our passport credible?

    A law firm has written to the Director General of Immigration Services, citing Article 35, demanding details on how 28 foreign nationals including Wicknell Chivayo and Sudanese individuals linked to RSF allegedly obtained Kenyan passports. Despite facing international sanctions and integrity...
  4. Mr Beach Boy

    Msaada kuhusu hili changamoto kwenye kupata passport

    Wakuu habari Nipo mkoani Tabora wilaya ya kaliua kata ya usinge Nataka kukata passport ya kusafiria Swali langu je Fingerprint Picha wanachukulia mkoani au hata wilayani? Mana Nina pesa kama 160k kwa ajili kufatilia Hilo suala viambato vyote vipo je lazima niende mkoani au hapa hapa wilayani...
  5. Bei rahisi Electronicks

    Uliza chochote kuhusu Passport na Namba ya NIDA

    PASSPORT NINI Ni hati rasmi ya kusafiria inayotolewa na serikali ya nchi, ambayo hutumika kuthibitisha utambulisho na uraia wa mtu, ikimruhusu kusafiri kimataifa na kuingia/kurudi nchini kwake, ikifanya iwe chombo muhimu cha kuvuka mipaka na kuomba ulinzi wa kibalozi nje ya nchi. Vigezo &...
  6. K

    Spika Zungu familia yake ilipewa passport Ugiriki kwa kudanganya ni wasomali

    Familia yake ilisema wote wamezaliwa na kutoka Somalia wakati sio kweli walizaliwa Tanzania. Document zote zipo. Document zote zimenaswa. Kapewa wiki moja tu kustaafu kabla ya ushahidi kutolewa huko Ugiriki na uraia wa familia yake kuchunguzwa https://youtu.be/rugDxfcjRBE?si=TxtBCPvquHQtM5Hc
  7. Genius Man

    PostGE2025 Jonh Heche, Tangu niachiliwe sijapewa passport yangu ya kusafiri bila sababu zozote za kisheria

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Jonh Heche, amedai kuwa tangu aachiwe huru na Jeshi la Polisi amekuwa akifuatilia pasipoti yake ya kusafiria bila mafanikio. Kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa X (zamani Twitter), Heche amesema pasipoti hiyo ni muhimu kwa ajili...
  8. Huihui2

    Heche usipotoshe; Wanaosema Polepole katekwa ndiyo wanaopaswa kuthibitisha Passport inaonyesha aliingia lini nchini

    Officially Humphrey Polepole alijiuzulu kazi akiwa Cuba na Serikali haikumpa mafao ya kusafirisha mizigo. Heche anaikosea Uhamiaji anapotaka iseme Polepole yuko wapi!! Utamtekaje mtu ambaye yuko Cuba He who alleges must prove
  9. Yoda

    Passport ya Singapore ndio namba moja kwa nguvu duniani, ukiimiliki unaingia nchi zote duniani bila visa

    Kwa raia wa Singapore anachohitaji ni pesa tu ya kuzunguka duniani, huna haja ya kusumbuka na maswali au foleni za kuomba visa.
  10. C

    Msaada wa kupata passport

    Wapendwa naomba mnisaidie mawazo ya Nini nifanye ili niweze kupewa passport yangu,inazaidi ya mwezi sasa yangu niombe,na uhamiaji wanataka nipeleke barua kutoka kazini kwangu,Jambo ambalo ni gumu maana I'm jobless at the moment,na Nina ihitaji before 25 this month.
  11. M

    Serikali ya CCM na Uhamiaji miaka 60 ya Uhuru wanashindwa kutengeneza passport , bila shaka hatuwezi kupata maendeleo CCM ikiendelea kuwa madarakani

    Wadau, Ni msiba mzito kwa Tanzania kuwa CCM priority yake ni kupambana kuendelea kuwa madarakani kwa gharama yoyote ikiwemo kupokea pesa chafu kutoka kwa watu ambao wakati mwingine inawaita mafisadi, kuua, kuteka na kulawiti wale wanaopingana nayo kwa hoja , yote hayo inaweza kuyafanya...
  12. and 998 others

    Polepole arudishe diplomatic passport

    Chap kwa haraka. Arudishe passport tajwa
  13. Mr Beach Boy

    Napataje barua ya uthibitisho wa safari? Ili kupata passport?

    Hello Fellas Nataka kuchukua passport kwa ajili ya matumizi ya baadae Changamoto inakuja kwenye barua ya uthibitisho wa safari Sina invitation letter nataka kuwa na passport in case anything happen natembea ughaibuni Naombeni njia za kupata barua ya uthibitisho aiseee.
  14. fundi msati

    Je utaratibu upoje ili upate passport ikiwa imekupoyea?

    Habari zenu wana jamvi, Kuna mtu wangu wa karibu amepotelewa na passport yake je utaratibu upi afuate ili kupata nyingine Msaada jamani kwa anae fahamu na gharama zake kama zipo. Natanguliza shukrani
  15. AY 5225

    Kuna shida kwa mtu mwenye dreadlocks wakati wa kufanya biometrics kwaajili ya passport na mengine yahusianayo?

    Heshima yenu wakubwa. Naomba kuuliza kama kuna shida kwa mtu mwenye dreadlocks (kubwa/nyingi) kwenye kufanya biometrics wakati wa kushughulikia passport? Pia kwenye kujaza form online, kwa mtu ambae mzazi wake alizaliwa 1950s na hana cheti cha kuzaliwa ila ana kitambulisho cha uraia, kwenye...
  16. music mimi

    Msaada: Natafuta digital camera na printer nzuri kwa ajili ya biashara ya passport size photos

    Wadau wa technology. Naomba msaada wa mawazo yenu, najua mpo wenye experience ya kutosha kwenye hivi vifaa. Nataka kununua digital camera na printer mahsusi kwa ajili ya kazi ya picha za passport. Nahitaji kwa ajili ya kutoa passport za haraka zile za dakika 3. Nachoitaji ni kusaidiwa jina...
  17. Yoda

    Chawa mwandamizi wa Ibrah Traore apewa passport mpya ya Burkina Faso

    Ni kijana Wode Maya kutoka Ghana ambaye amekuwa mstari wa mbele kuimba nyimbo na mapambio ya sifa kwa Ibra Traore, mtawala wa Burkina Faso. Hivi kwa nini wanaompamba sana Traore wengi wao kama sio wote wanatoka nchi za nje na sio raia wa ndani ya Burkina Faso?
  18. Hyrax

    Kama una kitambulisho cha NIDA na huna Passport ya Tanzania jua wewe ni mkaazi (Resident) wa Tanzania ila sio raia (Nationalist) wa Tanzania

    Wakati naahangaikia Passport ndio nimejua kuwa ukiwa na NIDA tu haitoshi kuwa raia wa Tanzania mpaka uwe na Passport ya Tanzania. Tafuteni passport aisee tunakosa mambo mengi sana yenye fursa.
  19. N

    Msaada wa ku renew passport nje ya Tanzania

    Nipo nje ya nchi na pasipoti yangu imeisha muda. Nimesha jaza maombi ya pasipoti mpya na pia nimefanya malipo kwenye tovuti ya Uhamiaji. Pia nimetuma barua pepe na copi Ubalozi. Lakini bado hawajajibu. Naomba kama kuna mtu anajua taratibu zao nje nilichokifanya. Na inachukua muda gani?
  20. KateMiddleton

    Naomba tafsiri ya ndoto ya kuachwa na ndege kisa kusahau passport

    Nahitaji msaada wa tafsir ya ndoto Nimeota usiku wa kuamkia leo tar 19 March 2025 Nimeachwa na ndege katika ndoto kwa sababu ya kusahau passport nyumbani, Sema hii issue inanipa mawazo kwa sababu kwa personality yangu mimi ni type A/planner/meticulous person kwa maana kwamba ni mtu ambaye...
Back
Top Bottom