Nape awapa ushauri wa bure wenye roho mbaya!

leonaldo

JF-Expert Member
Oct 26, 2014
1,906
2,000
Ujumbe huo unasema: Nyani waliposikia kuwa aliyekuwa akiwafukuza wasile mahindi amekufa, walishangilia sana. Mwaka uliofuata walipata njaa kali maana hakukuwa na mahindi. Ndipo walipogundua kuwa mtu aliyekufa ndiye alikuwa mkulima. Ujumbe: Jifunze kuishi na adui yako maana anaweza akawa ndiye nguzo pekee ya maisha yako.”
Chanzo gazeti mwananchi.
Unahisi Nape anataka kufikisha ujumbe gani kwa taifa lake hasa kwa watu wanaotaka Lisu aendelee kuumizwa baada ya kuumizwa kwa kuwa tu yeye sio mwanafamilia wa ukoo wa nyani?
 
godfrey wilson

JF-Expert Member
Jul 2, 2016
447
500

Muulize hilo swali yaonekana wewe ndio mwenye shida na màana walaka huo umekukuna.Upinzani wa Tanzania mashaka sana Huyu Nape kwao Leo mzuri sana. wqmesahau goli la mkono na bunge live.na kelele zao zote wqmesahau wanatamani.Leo awe kwao watasubili sana. wqjipange kivingine si kwa Nape.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
PumziNdefu

JF-Expert Member
Dec 14, 2018
566
1,000
Ujumbe huo unasema: Nyani waliposikia kuwa aliyekuwa akiwafukuza wasile mahindi amekufa, walishangilia sana. Mwaka uliofuata walipata njaa kali maana hakukuwa na mahindi. Ndipo walipogundua kuwa mtu aliyekufa ndiye alikuwa mkulima. Ujumbe: Jifunze kuishi na adui yako maana anaweza akawa ndiye nguzo pekee ya maisha yako.”
Chanzo gazeti mwananchi.
Unahisi Nape anataka kufikisha ujumbe gani kwa taifa lake hasa kwa watu wanaotaka Lisu aendelee kuumizwa baada ya kuumizwa kwa kuwa tu yeye sio mwanafamilia wa ukoo wa nyani?
Lissu ndio mkulima na manyani ni CCM. Huu ni ujumbe wao.
 
Chief Kabikula

JF-Expert Member
Jan 1, 2019
6,449
2,000
Tunaxoma nae namba naona akili zinamrudia ,unafikiri Jiwe ni mtu ,waliomsaidia kupata madarakani wanaisoma namba yeye anatumbua na Bashite .
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom