Asalam Aleykum,
Bwana Yesu Asifiwe,
Tumsifu Yesu Kristu,
Mwanakondoo Ameshinda,
Bwana ni Mwema.
Ama baada ya salamu hizo, naomba niende kwenye mada tajwa hapo juu.
Baada ya uchaguzi wa CHADEMA kukamilika, wale waona mbali lazima walijua kile ambacho kitaipata CCM.
Hawa jamaa watatu ni hatari...